Chadema sio chama sahihi cha mabaliko

Ona mjitu mingine hii, limeacha kunyonyesha mtoto wake linaleta ***** hapa. GAMBA MKUBWA.

Hivi nyie CDM lini mtajifunza ustaarabu? mtu kutofautiana mawazo na itikadi ndio mnamtukana kiasi hichi! hapo hamjachukua nchi je mkishika nchi itakuwaje? si mtaongoza kwa visasi! acheni hizo.
 
Nerd!!!! Kama unaona kupinga posho kubwa na kutembelea mashangingi ni dhambi kubwa ya kukituhumu chama! How about mikataba feki ya madini inayotusababishia upotevu wa mamilioni kila siku. How about richmond, Kiwila, nk nk....... scandals ambazo zimefanyika chini ya Magamba na zinaendelea kutuweka kwenye umasikini kila siku.
How about wizi wa kura kwa washindi halali ikiwemo uraisi 2010 uliomweka jk madarakani kwa kuiba kura! You must be crazy enought not to see what ccm has done to us. Ur problem and that is the problem of many Tanzanians, mnaleta ushabiki wa vyama this is not simba na yanga it is your destiny, ur life and ur future. amka wewe usinziaye
 
Basi CUF ndio wanaweza wasaidia wananchi twende uchaguzi mtasema mengi sana

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkuu kiwaya, nadhani ungetambua kuwa hakuna kilicho kikamilifu( INGAWA simaanishi hakiwezi kuwepo).

Ungewaeleza "hao vijana" au "sisi watanzania" kuwa CHADEMA si chama sahihi hasa labda kwa sera zake, mipango mibovu n.k kwa kuonyesha huko kutokuwa SAHIHI ni kupi? na si kwa udhaifu wa kufikirika uliouonyesha!

Nimefurahi uliposema, "CHADEMA si chama sahihi cha (MABADILIKO)"..Inaonyesha kuwa unatambua kuwa kuna mabadiliko yanayopaswa kufanyika!

Nashurukuru sana! Chama kinaweza kuwa na sera nzuri ila kikakosa viongozi bora kama CDM, viongozi wanapoonyesha udhaifu mkubwa ndani ya chama hii inamaanisha hawawezi kutuongoza wananchi ndiyo maana nimetumia udhaifu mkubwa uliionyeshwa na viongozi wa CDM kutamka kwamba hakiwezi kuwa Chama sahihi Cha mabadiliko kwa watanzania! Ninakubali tunaitaji mabadiliko watanzania ila mabadiliko ya Kweli kamwe hayako CHADEMA
 
Vijana wengi tunaitaji mabadiliko ya KIUCHUMI,KISIASA NA KIJAMII ila CDM sio chama sahihi cha mabadiliko nasema haya kwa baada kufanya uchunguzi wa kina na kugundua kuwa hiki ni chama ambacho kinawatumia vijana kwa kuwapotosha ni si kuwajenga kupambana na Changamoto! Juzi tu Jijini Mwanza tumeona Mbunge wa CDM akitoa pesa ya kuandika mabango na kununua viroba ili wamzomee Waziri mkuu wa Tanzania kwel Chama hiki sio Sahii kwa madiliko! Viongoz wajuu wa CDM ndio chanzo kikuu cha kuanzisha vulugu na fujo ukiaangalia Arusha Katibu mkuu wa CDM Dr Wilboard SLaa anawashawishi wananchi wakavamia kituo Cha Polsi huyu kiongoz alikuwa hana nia nzur, pia Kiongoz huyu Alitamka maneno haya km CDM haita shinda nchi haita karika anamaana alikuwa tayar kuingia mstuni hii ina maana yeye ni Kiongoz asiyekubari kushindwa! Pia ni kiongoz mwenye uruho na madaraka na sio kuwakomboa watanzania! Ni wabunge wa CDM ndio waliongoz Bungen kutomtambua Rais hii inamaanisha wanakataa maamuz ya wananchi wa Tanzania walipoamua kumpa Ridhaa kuwa Rais, Wabunge wa CDM ndio waliokuwa mstari wa mbele kupinga posho, mishahara na magari ya kifahar ya wabunge ila hii wanatembelea Magari yale yale Kifahar na posho na mishahara wanapokea km kweli walikuwa na nia nzuri kwanin pesa hizo wasipokee na kuzileta kwenye shughuli za maendeleo! Watanzania ni muda muafaka sasa wa kutafakar kwa kina sio Tudananywe na maneno, VIJANA TUNAITAJI MABADILIKO KAMWE CHADEMA SIO CHAGUO SASA KWETU

tuambie ktk uchunguzi wako umegundua ni chama gani kinafaa kwa mabadiliko ya kiuchumi,kijamii na kisiasa?
 
Tanzania kuna vyama 22 vilivyosajiriwa. Ila Chama kisichokuwa na maadili na kinaongoza kwa ubaguzi ni CHADEMA, hakina nia dhati ya kumkomboa mwanachi mwenye kipato cha chini
 
Jamani tujaribu kujenga hoja, unapotoa matusi napata wasiwasi mkubwa na upeo wako wa kufikri, tubadilike sio mtu ukiambiwa ukweli unaanza kutoa matusi hii inamaanisha hujui chochote unapelekwa na mawazo ya mtu. TUACHENI AKILI ZA KUSHIKIWA


Ebu tueleze ni wapi wewe umejenga hoja?, Umepost thread ya kip...uu..zi ndo maana unaona kila mtu anakijibu kwa matusi na jazba. Acha kusababishia watu ban humu ndani bw...ege wewe.
 
Tatizo kubwa humu ndani kila mtu anaepost watu wanaamini majibu wanayo ila unapopost mada inayohitaji hoja za msingi watu wanapata jazba na kutoa matusi hii inaashiria kwamba hawana kingine cha zaidi, Tusitegee makubwa wakati uwezo mdogo, Na ukiona mtu yeyote ukimwambia kitu anapata jazba na kutoa matusi ujue hana uhakika na msimamo wake au hajui lolote kuhusu anachosimamia
 
mimi nashukuru Mungu ndugu zangu walio vijijini hakuna anaeitamani ccm hata kwa kanga na tshirt..
 
Nerd!!!! Kama unaona kupinga posho kubwa na kutembelea mashangingi ni dhambi kubwa ya kukituhumu chama! How about mikataba feki ya madini inayotusababishia upotevu wa mamilioni kila siku. How about richmond, Kiwila, nk nk....... scandals ambazo zimefanyika chini ya Magamba na zinaendelea kutuweka kwenye umasikini kila siku.
How about wizi wa kura kwa washindi halali ikiwemo uraisi 2010 uliomweka jk madarakani kwa kuiba kura! You must be crazy enought not to see what ccm has done to us. Ur problem and that is the problem of many Tanzanians, mnaleta ushabiki wa vyama this is not simba na yanga it is your destiny, ur life and ur future. amka wewe usinziaye

Nazani umeendika bila kutafakari mimi nimeandika ukweli kuhusu CDM na viongozi wake sio ushabiki wa vyama, kama leo CDM imeshindwa kuwa waamifu kwa kidogo je kikubwa watakiweza unapoongelea mikataba mibovu ya madini Zito alikuwa kamati Gani bungeni na amesaidia nini! Wewe ndie mshabiki kwani unajaribu kufanya yellow kuwa red. Tuwe wakweli pale inapotakiwa kusema ukweli tusije kuungia kwenye shimo ili tujute, Hiki sio chama sahihi kwa watanzania
 
Tengeneza hoja hapo ntakuana huna wazo mgando! Kama kweli una akili timamu tafakari sio unamezeshwa sumu nawe unakunywa na kung,ang,ania kuwa ni soda UTAKUFA
Hujatueleza chama makini kwa mabadiliko ni chama gani?
 
...Chama kinaweza kuwa na sera nzuri ila kikakosa viongozi bora kama CDM,...udhaifu mkubwa uliionyeshwa na viongozi wa CDM kutamka kwamba hakiwezi kuwa...Ninakubali tunaitaji...mabadiliko ya Kweli kamwe hayako CHADEMA
Hawa viongozi wa CDM unaosema dhaifu, ndio wamewafungua macho Watz! Hao viongozi 'dhaifu' wa CDM ndio wanaoiendesha serikali ya CCM, wanawaelekeza cha kufanya.
Hujawasikia wana CCM wakimbeza JK, ati anatekeleza Ilani ya ya CDM? Huoni? Hapo nani dhaifu sasa?
 
Mabadiliko ya kweli yataletwa na hawa wafuatao:

1/Watoto wa vigogo wa CCM wanaopewa vyeo ndani ya CCM(Eg. Le Mutuzi)

2/Familia ya Sultani Kikwete(Jakaya, Salma, Ridhwani, Miraji, Mwanaasha)

3/UVCCM wa Morogoro(Wale waliogomea uchaguzi mpaka wapewe kwanza chai)

4/UVCCM wa mkoa wa Mara(wale waliopigana viti wakigombea rushwa)

5/Marry Chitanda(Katibu wa CCM Arusha, yule aliyegoma kutambulisha Dume la Mbegu la wanaCCM wote Tz)

6/Wazee wa Bastola(Rage, Malima, Kigwangwala, Bashe)

7/Kamanda wa polisi Paul Kamuhunda na Dr. Emanuel Nchimbi(mzee wa kamati)

8/Wasanii wa bongo wanaopenda kukaa uchi na pia hawavaagi chupi (Eg. Wema Sepetu, Anti Ezekiel, Nakaaya Sumari)

9/Makada wafuatao wa CCM(Nape, Mukama, Mwigulu, Lusinde, Martin Shigella)

10/Anna Makinda(Spika wa kwanza mwanamke wa Tz)

11/Watangazaji wa Clauds Fm(Ephraim Kibonde, Gerald Hando, Mbwiga Mbwiguke, Diva)
 
Nazani umeendika bila kutafakari mimi nimeandika ukweli kuhusu CDM na viongozi wake sio ushabiki wa vyama, kama leo CDM imeshindwa kuwa waamifu kwa kidogo je kikubwa watakiweza unapoongelea mikataba mibovu ya madini Zito alikuwa kamati Gani bungeni na amesaidia nini! Wewe ndie mshabiki kwani unajaribu kufanya yellow kuwa red. Tuwe wakweli pale inapotakiwa kusema ukweli tusije kuungia kwenye shimo ili tujute, Hiki sio chama sahihi kwa watanzania

Naongea nini na huyu kipofu?
 
Back
Top Bottom