hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,539
..ndiyo maana nimetumia udhaifu mkubwa uliionyeshwa na viongozi wa CDM kutamka kwamba hakiwezi kuwa Chama sahihi Cha mabadiliko kwa watanzania!
Ninakubali tunaitaji mabadiliko watanzania ila mabadiliko ya Kweli kamwe "hayako CHADEMA"
Mkuu, unaposema udhaifu mkubwa unamaanisha upi?
-au hukisoma post niliyokujibu mwanzoni...hatumhukumu mtu/kikundi kwa mabaya tu aliyoyafanya..so, ukitaka kujenga hoja FIKIRIA HILO kwanza!
Pili, mabadiliko hayako CHAFEMA, wala CCM, no else where...SISI as wananchi ndiyo tutakaobadilisha! lakini kwa sasa hicho chombo cha kutufikisha hapo katika mabadiliko na kwa pamoja ni CHADEMA!
Tatu, katika uchunguzi wako, uligundua ni Chama gani kitatuunganisha katika kufikia mabadiliko?