Mzanaki
Member
- Feb 25, 2011
- 20
- 11
Ni kweli..ndio maana serikali makini ingekabiliana na CHADEMA kwa kuthibiti mfumuko wa bei za bidhaa, kuongeza mishahara ya wafanyakazi, kubana matumizi ya serikali ili kujenga uwezo wa serikali kuwapunguzia wananchi ugumu wa maisha n.k.Tatizo raisi huyu hana strategists; na aliowaweka wengi rafiki zake hawana uwezo na wanatumbua raha huku yeye akitetemeka kuwajibu CHADEMA.