Chadema ndani ya Bukoba

kwa kweli ofisi ya cdm dodoma inatia kichefuchefu anzisheni hata kaharambee.
yaani du.
 
Naona watu wa maofisini wameacha shughuli zao wanafuatilia maandamano.Msafara unaenda kwa taratibu sana kwakuwa barabara imeshona sana.Mjii umepambwa kwa vidole viwili na bendera nzuri za CHADEMA.
 
Mama sisi tunaomba tu AMANI itawale na kusiwe na maneno ya uchochezi na ya kuleta chuki na mifarakano miongoni mwa jamii kiasi cha kuleta vita katika jamii.

CHADEMA KUMBUKENI MDOMO ULIKIPONZA KICHWA
Miongoni mwa mambo yanayosemwa katika mikutano hiyo ni pamoja na sababu za ugumu wa maisha unaowakabili watanzania leo. Kwa bahati mbaya sana sababu zote zinahusishwa moja kwa moja ama Sera zisizotekelezeka au kutowajibika ipasavyo kwa Serikali na ndo ukweli wenyewe. Na kubwa zaidi ni kulea ufisadi. Ni nani anayeweza kufurahia hayo??? Je, huo ndo uchochezi??
 
Naona watu wa maofisini wameacha shughuli zao wanafuatilia maandamano.Msafara unaenda kwa taratibu sana kwakuwa barabara imeshona sana.Mjii umepambwa kwa vidole viwili na bendera nzuri za CHADEMA.

Kila raheri huko Kagera.

Dar Es Salam lini?? Nafikiri wanachinga tunasubiri kwa hamu!!!
 
Hebungoja nitoke ndotoni, hivi ni kweli Tanzania, tunaandamana??? kuelezea kero zetu za uongozi uliopo??? kweli tumepiga hatua. Saa ingine nadhani naota.

Hongreni sana mlio mstari wa mbele
 
viva cdm..harufu ya ukomboz inanukia...naunga mkono hoja ya kuchangia chama ili kuimarisha majengo ya chama na kuanzisha vyombo vya habari ie radio& tv...nw njia ni nyingi za kuchangia like mpesa, sms, bank ac...please anzisheni hii maneno wadau tuchangie hata mia mia tu..peoples power.:peace:
 
attachment.php

Picha hizo zinaanza kuja
 
Attachments

  • DSCF0305.jpg
    DSCF0305.jpg
    37 KB · Views: 336
Hichi chama kijengwe vizuri upya ili kiing'oe CCM 2015 madarakani!!so far nawapa big up!
 
viva cdm..harufu ya ukomboz inanukia...naunga mkono hoja ya kuchangia chama ili kuimarisha majengo ya chama na kuanzisha vyombo vya habari ie radio& tv...nw njia ni nyingi za kuchangia like mpesa, sms, bank ac...please anzisheni hii maneno wadau tuchangie hata mia mia tu..peoples power.:peace:

Mtaishia kunusa tu na kusikia harufu lakini Hamli ng,oo.

nchi ina wenyewe hii
 
"unavyo vuta manati ndivyo unaongeza speed ya jiwe"
Nimeipenda sana hii! Usemi huu unapply kwenye mambo mengi sana! Kwenye soka(ukitaka shuti kali yakubidi urudi nyuma), ukitaka kutupa mkuki au mshale inabidi urudi nyuma kidogo!
Mambo mazuri huwa hayakosi misukosuko. Mabadiliko ya aina yoyote lazima iwepo sacrifice (opportunity cost). Kuna watakaoumia lakina fadhira za mola hulipwa bila upendeleo.
Tuwapuuze wanaobeza juhudi za cdm!
 
Naongeza zingine

attachment.php

attachment.php

Attachments

  • DSCF0302.jpg
    DSCF0302.jpg
    24.8 KB · Views: 419
  • DSCF0300.jpg
    DSCF0300.jpg
    34.7 KB · Views: 892
Akhsante dada Regia. tuko pamoja saa zote! miradi bubu nui kweli suala la ofisi dodoma linahitaji attention maalumu hasa kwa sasa na ukizingatia ni makao makuu. kwa sasa uongozi wa mkoa unatafuta ofisi ya kupanga ambayo iko easily accessible na in at least a decent location. karibu ofisini kwa mawazo.....onana na uongozi wa mkoa.
 
Back
Top Bottom