CHADEMA na ofisi za biashara

Fuatilia matukio makubwa mkuu daima mwanzo wake ni kitu kidogo kabisa. Arab spring kule Tunisia ilianza na muuza matunda. Muda utakujibu vizuri subiri.

Acha porojo wewe Tunisia ndio walikuwa wanauza matikiti maji?

Labda ungeshauri zile Fuso za CDM zitumike kubeba hayo matikiti wasambaze sehemu tofauti tofauti mpate pesa mkajenge ofisi za CDM makao Makuu
 
mpiganaji hawezi kuiba mke wa mtu wakati wanawake wapo wengi mtaani. Huyo ni fisadi wa mapenzi.
Prezidaa kaiba wangapi?Na kawazalisha wangapi?Jitu zima lina ndoa yake still lina vitoto vya miaka 2,3 nje ya ndoa.Mbwa nyie wote.
 
Pro-CDM-JF mnashindwa kujenga hoja bila kutukana?
 
Acha porojo wewe Tunisia ndio walikuwa wanauza matikiti maji?

Labda ungeshauri zile Fuso za CDM zitumike kubeba hayo matikiti wasambaze sehemu tofauti tofauti mpate pesa mkajenge ofisi za CDM makao Makuu

Ritz, kwa nini huwezi ku connect dots? Subiri siku ambayo mdogo kabisa atakapowezeshwa kuwa na nguvu kubwa kutokana na people's power.
 
Nimeshtuka sana kuona hii picha,..
sijui kama ndo kukusanya hela za kuendeshea chama au vipi.
Lakini ofisi ya chama kugeuzwa kuwa sehemu ya biashara?
sielewi ati

View attachment 39240
Lazima CDM ni chama cha wananchi wapenda Haki/Maendeleo ya wa-TZ haina kushangaa utakuta hiyo ni nyumba ya Mpenda haki mmoja ameitoa kwa ajiri ya Chama,Pia ofisi ya chama watu hawakai mda mwingi wapo kwa wananchi kuona nn wanataka.
 
Chadema kinapata milioni mia tatu kila mwezi ambayo ni ruzuku kutoka serikalini na ni kodi ya watanzania walalahoi lakini cha kusikitisha asilimia60 ya ruzuku mbowe anajilipa akidai alikikopesha chama pesa nyingi zisizo kua na idadi huku akimzima mdomo DK slaa kwa kumlipa milioni saba kila mwezi ili asihoji sasa kwa mwendo huu chadema watajenga ofisi kweli.Tatizo watanzania wanaifahamu chadema kwa nje tu ninaamini siku watanzania wakiijua chadema kiundani watakata tamaa na vyama vya upinzani ikiwemo chadema.
 
Nchi hii bana full usanii tu, hakuna cha CCM wala CDM, wote wachumia tumbo tu.
Hiyo picha ya ofisi binafsi haija nishangaza sana, lakini unaijua makao makuu ya CDM?
Inatia aibu kiukweli, wanapata ruzuku mamilioni yote yanaishia kwa kundi la wafanyabiashara kwa kigezo cha kuendesha shughuli za chama, shughuli za chama hata ofisi ya maana wanashindwa kujenga.
Wapo bize kulipana mishahara mikubwa tena yenye kila harufu ya ufisadi, eti mshahara kidogo kisha marupu rupu kibao ilimradi tu kukwepa kulipia kodi(rabish) kweli nyani haoni kundule.Leo hii mapato ya Slaa ni ufisadi mwingine na kwa wenye akili timamu ni kufidia ubunge alio uachia ilikugombea uraisi
Ni rahisi sana kuiona CDM mkombozi ikiwa nje ya madaraka kwa sababu CCM imepoteza dira kabisa, nikama nchi imewashinda, na mkombozi unayeweza "kumdhania" kwa sasa ni CDM, lakini CDM pia kuna tatizo pale, tatizo ambalo hatuwezi kuliona kwakuwa CCM imetukinai,imepoteza matumaini yetu.
Mleta mada Pengine marehemu Chacha Wangwe ndio hichi alikuwa anapigania, ruzuku zipelekwe mikoani na kisha wilayani kujenga chama(ikiwemo ofisi), akaishia kujenga bifu zito na "wenye chama"
Kimsingi kama unaupeo wa kufikiri hatua kadhaa mbele utaona tofauti kati ya CCM na CDM ni kuwa kimoja kipo madarakani(kwenye neema) na kingine kinapigania kuingia kwenye neema.
Siamini tena ukombozi wa kweli kupitia hivi vyama vyetu, labda bila kujali nani kashinda tukiwa na uwiano unaoendana wa wabunge wa upinzani na wamadarakani na wagombea binafsi na bunge likipewa meno walau tunaweza fika tuendako
LAKINI KWA SASA WOTE NI FULL USANII TU

Well said, mwenye kuelewa kaelewa. Thanks, nice comments paulss!
 
Nimepitia hapo ofisini nimemuuliza huyo mama anauza bei gani matikiti maji ? Akanijibu we chagua tu bure! Mbona mmezoea kuchagua mavichwa ya ccm haya ni yale yale toka uhuru mara mmechagua
m=mkapa
a=ally hassan mwinyi
t=tulway sumaye
i=ikaingia
k=kikwete
i=ikaanza
t=timbwilitimbwili
i=ingine

m=makinda
a=andrew chenge
j=jairo
i=ipo siku yatakwisha
basi akasema haya ndo majina ya haya mavichwa unayoyaona hapa chagua moja unalo taka unaondoka nalo bei ni bure kabisa

Nchi hii bana full usanii tu, hakuna cha CCM wala CDM, wote wachumia tumbo tu.
Hiyo picha ya ofisi binafsi haija nishangaza sana, lakini unaijua makao makuu ya CDM?
Inatia aibu kiukweli, wanapata ruzuku mamilioni yote yanaishia kwa kundi la wafanyabiashara kwa kigezo cha kuendesha shughuli za chama, shughuli za chama hata ofisi ya maana wanashindwa kujenga.
Wapo bize kulipana mishahara mikubwa tena yenye kila harufu ya ufisadi, eti mshahara kidogo kisha marupu rupu kibao ilimradi tu kukwepa kulipia kodi(rabish) kweli nyani haoni kundule.Leo hii mapato ya Slaa ni ufisadi mwingine na kwa wenye akili timamu ni kufidia ubunge alio uachia ilikugombea uraisi
Ni rahisi sana kuiona CDM mkombozi ikiwa nje ya madaraka kwa sababu CCM imepoteza dira kabisa, nikama nchi imewashinda, na mkombozi unayeweza "kumdhania" kwa sasa ni CDM, lakini CDM pia kuna tatizo pale, tatizo ambalo hatuwezi kuliona kwakuwa CCM imetukinai,imepoteza matumaini yetu.
Mleta mada Pengine marehemu Chacha Wangwe ndio hichi alikuwa anapigania, ruzuku zipelekwe mikoani na kisha wilayani kujenga chama(ikiwemo ofisi), akaishia kujenga bifu zito na "wenye chama"
Kimsingi kama unaupeo wa kufikiri hatua kadhaa mbele utaona tofauti kati ya CCM na CDM ni kuwa kimoja kipo madarakani(kwenye neema) na kingine kinapigania kuingia kwenye neema.
Siamini tena ukombozi wa kweli kupitia hivi vyama vyetu, labda bila kujali nani kashinda tukiwa na uwiano unaoendana wa wabunge wa upinzani na wamadarakani na wagombea binafsi na bunge likipewa meno walau tunaweza fika tuendako
LAKINI KWA SASA WOTE NI FULL USANII TU

propaganda hizi zilishagonga mwamba we bado unaendeleza, wasiliana na wenzako wanaandaa zingine hizi za kwako hata usalama wa taifa wameshindwa ku-spin tena. ur outdated
 
kama kwa sasa tunaofisi hadi huko kijijini, kweli ukombozi unakuja. hayo mambo mengine cc hatujui.
 
Chadema kinapata milioni mia tatu kila mwezi ambayo ni ruzuku kutoka serikalini na ni kodi ya watanzania walalahoi lakini cha kusikitisha asilimia60 ya ruzuku mbowe anajilipa akidai alikikopesha chama pesa nyingi zisizo kua na idadi huku akimzima mdomo DK slaa kwa kumlipa milioni saba kila mwezi ili asihoji sasa kwa mwendo huu chadema watajenga ofisi kweli.Tatizo watanzania wanaifahamu chadema kwa nje tu ninaamini siku watanzania wakiijua chadema kiundani watakata tamaa na vyama vya upinzani ikiwemo chadema.

Hakuna dhambi mbaya duniani kama kukata tamaa! Akina Mandela, Quatara, Sata wangekata tamaa, wasingefikia mafanikio waliyoyapata! Amka ndugu yangu. Leo unazungumzia ruzuku "kubwa" wanayoipata cdm huku ukitaka kuwatenga waliopigana hadi ikapatikana!? Tafakari mafanikio ya cdm halafu uwaweke mbele walioyafanikisha utajikuta umeachana na propaganda za kijinga zinazoenezwa na ccm! Sio kazi rahisi kwa chama kutoka wabunge 5 hadi 23 majimboni!
 
Acha porojo wewe Tunisia ndio walikuwa wanauza matikiti maji?

Labda ungeshauri zile Fuso za CDM zitumike kubeba hayo matikiti wasambaze sehemu tofauti tofauti mpate pesa mkajenge ofisi za CDM makao Makuu

kwani ofisi ni nini?
 
Back
Top Bottom