Chadema kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi ya Kanda ya Ziwa Victoria, Mwanza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,788
218,416
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chama hicho leo kwa watu wote Duniani, kwamba Mkutano huo utafanyika kwenye ofisi za kisasa za chama hicho zilizopo Nyegezi.

Bila shaka Ratiba ya Maandamano na njia za kupita Jijini Mwanza vitatolewa

Screenshot_2024-02-07-11-57-31-1.png
 
KAZI ya Ukombozi wa fikra iendelee.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Mungu ibariki CHADEMA.

Amen
🤣duara na mviringo sawa na sifuri

kwamba na wewe umekombolewa fikra 🤣
halafu na wew unafanya kazi ya ukombozi wa fikra 🤣
 
Back
Top Bottom