CHADEMA mtafakari kauli zenu

Lisu kachanganyikiwa. Alidhani kuongea Kiingereza basi vyombo vyote vya habari duniani vitamzungumzia. Anadhani yeye ni mtu mkubwa sana anayepapatikiwa na vyombo vyote vya habari kumbe ni kajitu ka kawaida tu. Sasa inabidi genge la Chadema litafute mbinu nyingine.
Hahaha.genge la wauwaji ccm litafute mbinu nyingine
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini mkono wa Serikali katika suala hili la TL na kama vyombo vya Serikali vilihusika why risasi 30 na isiwe moja! Hii ni inside job ndo maana CDM wanamficha
Na serikali ikiwa na vyombo vyote vya uchunguzi imeshindwa kuikatamata hiyo inside job ya chadema???
 
Hamtaki kucooperate kwa kujificha huko nje! Rudi TZ mchakato uendelee ili mbivu na mbichi zijulikane!
Hahaha...kabisaaa...hapa umejipiiinda kuandika
Kama lissu na simon wangekuwa kaburini uchunguzi usingefanyika?
Je...hujui kuwa unaweza kuwahoji kina lissu popote pale duniani...ilimradi ufuate taratibu za kimataifa..kwa nini mmeahindwa hadi sasa kuwahoji...au tuseme kuchukua maelezo yao?
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini mkono wa Serikali katika suala hili la TL na kama vyombo vya Serikali vilihusika why risasi 30 na isiwe moja! Hii ni inside job ndo maana CDM wanamficha
Ingekua serikali ndio inamkingia mtu kifua mvua za mawe zingenyesha!
 
Lisu kachanganyikiwa. Alidhani kuongea Kiingereza basi vyombo vyote vya habari duniani vitamzungumzia. Anadhani yeye ni mtu mkubwa sana anayepapatikiwa na vyombo vyote vya habari kumbe ni kajitu ka kawaida tu. Sasa inabidi genge la Chadema litafute mbinu nyingine.
LISSU hajafa plani zenyu zimebuma na hamkuwa na plan b
Sasa subirini kibano demokrasi naona imewashinda
Mnategemea
Marisasi yooote mliyommiminia mungu kasema LISSU HAFIIIII NG'OOOOOOO
 
Umechanganya mambo mengi kwenye post namba moja. Kwa ujumla ww na wenzako mnajaribu kuleta utetezi dhaifu kwa jambo lililo wazi. Jikalie kimya tu, kwa hili lina ukweli mwingi kiasi propanda hazifui dafu.
Kwanza nikutakie heri ya mwaka mpya mdogo wangu tindo,hivi bado unaliamini hili genge la wapenda pesa hapa hakuna propaganda ila kuna kukumbushana tu!
 
Duh kumbe ni mbeba box. Yaani hapo ndio unajiona umefikaa, ha ha ha.

Kumbe ndio unagundua now?
Sasa huo upiga ramli wa kuwapa watu maeneo ya kuishi wakati hujui walipo uliutolea wapi kama sio ukichaa!

Na yeyote kukaa au kuishi popote duniani hakumpunguzii Utanzania wake...
 
Na malipo ni hapahapa Duniani.
Mungu atalipa tu,tena kwa adhabu Kali.

Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
 
Back
Top Bottom