sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Hayo ni mafanikio ya chadema.
Na ya CCM ni mkulu kuwa na watoto kila kona ya nchi eeh?
Hayo ni mafanikio ya chadema.
Na ya CCM ni mkulu kuwa na watoto kila kona ya nchi eeh?
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo katika Jumuiya ya Ulaya Andris Piebalgs(wapili kushoto), balozi wa jumuiya ya ulaya nchini Cerian Philberto Sebregondi(kushoto),Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes na Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe wakikata utepe kuzindua rasmi mradi wa maji safi na mazingira Mjini Mbeya leo mchana.
zomba sijaona kitu cha maana mpaka unaleta ushabiki usio na tija na mimi nilidhani JK kaanza kutekeleza zile ahadi za mwaka 2010 kumbe yeye kama kawaida kaenda kuzindua tu na huyo Pinda na yeye kaenda kuzindua tu viongozi wa CCM ni cheap sana
mtoa mada ana matege ya ubongo,aliyekuambia moshi kuna shida ya maji nani?huko tumemaliza enzi ya mwalimu,lami mpaka migombani,umeme mpaka mikahawani kamuulize cptn komba.ttz kwenu mnaohangaika na kansa ccm