Uchaguzi 2020 CHADEMA kupoteza majimbo yafuatayo

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Kimahesabu, CCM ndio washindi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kabla hata ya mwenda kwenye Box la Kupigia kura.

Ushindi huu wa CCM ambao umetokana na utekelezaji kabambe wa miradi mbali mbali chini ya serikali ya awamu ya tano.

HESABU ZA KISIASA zinaonesha majimbo yafuatayo ya Upinzani yanakwenda Kurejea CCM.

1. Ubungo CHADEMA-Mh Mnyika ameshindwa kutatua kero kwa za Wana Ubungo hata kuzisema amekwama.

2. Kawe CHADEMA- Wamekosa mtu wa kuwasemea,Dada ayeongoza Jimbo hilo amejikita kwenye siasa za Kitaifa.

3. Arusha CHADEMA- Miradi inayotekelezwa chini ya Awamu hii na udhibiti wa siasa maji taka katikati ya Mji, Mbunge wa Jimbo hili harudi Bungeni. Mradi wa Maji Mkubwa wa zaidi ya Bilion kadhaa unaotekelezwa Mkoa wa Arusha ni TOKEN ya kurejesha Jimbo.

4. Mbozi CHADEMA-Mlowo ameshindwa kutatua kero za wakulima hata kuwasemea

5. Hai -Mkuu wa wilaya anachapa kazi Kuliko Mbunge, na wanahai wamefunguka macho kwamba miaka Mingi wamechelewa kwenye maendeleo

6. Mbeya- Wamekubali kwamba Tulia ndiye Mbunge wao ajaye, na hawapo tayari kuwekeza kwenye misimamo ya kijinga wanataka maendeleo kwa sasa

7. Iringa- Huyo Mbunge wa hapo anarejea kwenye Ujenzi wa Kanisa. Salum Hapi na Kasesela kazi yao ya kuchapa kazi imemzidi mbunge.

8. Mikumi-50/50

9. Tundama-Inarejea CCM

KWA CCM, MAJIMBO yafuatayo yanaweza kuwa si salama.
 
Tunajua CCM mtashinda bila kupingwa, kama kawaida yenu kwa kutumia "DOLA", ila kumbukeni maneno ya mkwere na muweke akiba ya "MANENO na MATENDO" yenu.

Mnayowafanyia "RAIA" hamyazungumzi kabisa, kama vile "KUULIWA, KUTEKWA, KUBAMBIKIZWA KESI ZA UHUJUMU UCHUMI, KUDHALILISHWA, UMASIKINI KUONGEZEKA, MADENI YA TAIFA KUONGEZEKA, UCHUMI KUYUMBA, BIASHARA KUFUNGWA KWA WINGI WA KODI, AJIRA HAKUNA, ONGEZEKO LA MISHAHARA HAKUNA, KUTUNGA SHERIA KANDAMIZI, WAKULIMA KUDHULUMIWA, KUFUNGWA MIDOMO WAANDISHI WA HABARI NA WATETEZI WA HAKI ZA BINAADAMU"
tapatalk_1578155980234.jpeg
 
TUNTEMEKE,
Mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna kipimo cha ujinga wa mtu mweusi linapokuja suala la kusaka madaraka. Kinachoendelea nchi hii sio siasa za ushawishi, bali ni ccm kujimwambafai kupitia madaraka ya urais. Kwa maneno marahisi sasa hivi hakuna siasa, bali kuna ushenzi katika siasa. Kama hakuna tume huru ya uchaguzi hakuna mtu mwenye akili timamu atashiriki huo ushenzi
 
Kimahesabu, CCM ndio washindi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kabla hata ya mwenda kwenye Box la Kupigia kura.

Ushindi huu wa CCM ambao umetokana na utekelezaji kabambe wa miradi mbali mbali chini ya serikali ya awamu ya tano.

HESABU ZA KISIASA zinaonesha majimbo yafuatayo ya Upinzani yanakwenda Kurejea CCM.

1. Ubungo CHADEMA-Mh Mnyika ameshindwa kutatua kero kwa za Wana Ubungo hata kuzisema amekwama.

2. Kawe CHADEMA- Wamekosa mtu wa kuwasemea,Dada ayeongoza Jimbo hilo amejikita kwenye siasa za Kitaifa.

3. Arusha CHADEMA- Miradi inayotekelezwa chini ya Awamu hii na udhibiti wa siasa maji taka katikati ya Mji, Mbunge wa Jimbo hili harudi Bungeni. Mradi wa Maji Mkubwa wa zaidi ya Bilion kadhaa unaotekelezwa Mkoa wa Arusha ni TOKEN ya kurejesha Jimbo.

4. Mbozi CHADEMA-Mlowo ameshindwa kutatua kero za wakulima hata kuwasemea

5. Hai -Mkuu wa wilaya anachapa kazi Kuliko Mbunge, na wanahai wamefunguka macho kwamba miaka Mingi wamechelewa kwenye maendeleo

6. Mbeya- Wamekubali kwamba Tulia ndiye Mbunge wao ajaye, na hawapo tayari kuwekeza kwenye misimamo ya kijinga wanataka maendeleo kwa sasa

7. Iringa- Huyo Mbunge wa hapo anarejea kwenye Ujenzi wa Kanisa. Salum Hapi na Kasesela kazi yao ya kuchapa kazi imemzidi mbunge.

8. Mikumi-50/50

9. Tundama-Inarejea CCM

KWA CCM, MAJIMBO yafuatayo yanaweza kuwa si salama.
Mkuu Tuntemeke, mbona hii imekaa ki ramli zaidi? 🤔 hebu iboreshe zaidi kwa kuipa nyama nyama kidogo! Salum Hapi ndio nani ?
 
"NIKUTEUE MIMI, NIKULIPE MSHAHARA MIMI, NIKUPE NA GARI HALAFU ETI UNAMTANGAZA MGOMBEA WA UPINZANI KASHINDA! HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!" (JIWE, 2019)
 
Huwa ninauliza swali moja kila wakati lakini watu wa ccm hamtaki kunipa jibu. Swali lenyewe ni hili "Kila siku viongozi/wanachama wa ccm mmekuwa mnawaaminisha watanzania kwa kauli kuwa CHADEMA imeshajifia siku nyingi, sasa kwanini mnahangaika kupambana/kushindana na maiti?"
 
"NIKUTEUE MIMI, NIKULIPE MSHAHARA MIMI, NIKUPE NA GARI HALAFU ETI UNAMTANGAZA MGOMBEA WA UPINZANI KASHINDA! HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!" (JIWE, 2019)
Haingii mtu uchaguzi mkuu bila Tume huru ya uchaguzi. Na vile vyama "B" vya CCM endapo vitafanya zile tabia zao za kuharibu makusudio ya wananchi basi tutachukulia ile kauli ya Rais kuhusu wasaliti wa wananchi.
Na hawa ndio watakuwa wenyewe hasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimahesabu, CCM ndio washindi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kabla hata ya mwenda kwenye Box la Kupigia kura.

Ushindi huu wa CCM ambao umetokana na utekelezaji kabambe wa miradi mbali mbali chini ya serikali ya awamu ya tano.
Naunga mkono hoja, ila kwa maoni yangu, watakaopoteza majimbo sii hao pekee bali wabunge karibu wote wa upinzani, watapoteza!. Na kukitokea mbunge yoyote wa upinzani amerudi Bungeni, huyo mbunge anarudi Bungeni kwa personal merits na sio kwasababu ni wa upinzani.

Kimahesabu, CCM ndio washindi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kabla hata ya mwenda kwenye Box la Kupigia kura.

Ushindi huu wa CCM ambao umetokana na utekelezaji kabambe wa miradi mbali mbali chini ya serikali ya awamu ya tano.

HESABU ZA KISIASA zinaonesha majimbo yafuatayo ya Upinzani yanakwenda Kurejea CCM.

1. Ubungo CHADEMA-Mh Mnyika ameshindwa kutatua kero kwa za Wana Ubungo hata kuzisema amekwama.

2. Kawe CHADEMA- Wamekosa mtu wa kuwasemea,Dada ayeongoza Jimbo hilo amejikita kwenye siasa za Kitaifa.

3. Arusha CHADEMA- Miradi inayotekelezwa chini ya Awamu hii na udhibiti wa siasa maji taka katikati ya Mji, Mbunge wa Jimbo hili harudi Bungeni. Mradi wa Maji Mkubwa wa zaidi ya Bilion kadhaa unaotekelezwa Mkoa wa Arusha ni TOKEN ya kurejesha Jimbo.

4. Mbozi CHADEMA-Mlowo ameshindwa kutatua kero za wakulima hata kuwasemea

5. Hai -Mkuu wa wilaya anachapa kazi Kuliko Mbunge, na wanahai wamefunguka macho kwamba miaka Mingi wamechelewa kwenye maendeleo

6. Mbeya- Wamekubali kwamba Tulia ndiye Mbunge wao ajaye, na hawapo tayari kuwekeza kwenye misimamo ya kijinga wanataka maendeleo kwa sasa

7. Iringa- Huyo Mbunge wa hapo anarejea kwenye Ujenzi wa Kanisa. Salum Hapi na Kasesela kazi yao ya kuchapa kazi imemzidi mbunge.

8. Mikumi-50/50

9. Tundama-Inarejea CCM

KWA CCM, MAJIMBO yafuatayo yanaweza kuwa si salama.
Usiseme CCM watashinda kwani hawezi kushinda kihalali, sema watapora ushindi. Hilo ndilo wanaweza kufanya na ndicho wanachojiandaa kufanya kuoutia Tume isiyo huri ambayo wameiajiri pamoja na wakurugezi wa miji, manispa na wilaya ambao ni makada wa CCM. Hilo tunalijua mapema. Kwahiyo usidanganye watu.

CCM ndio kikwazo cha maendeleo. Unafanya njama kuzuia wagombea uenyekiti wa mitaa wenye Diploma na elimu nyingine wa upinzani eti wamekosea fomu zao unakuja mpitisha bila kupingwa mwenyekiti 'msomi' kama huyu?
IMG_20200114_163117.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom