rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
kuna viongozi wana njaa sana hapo makao makuu yenu,ndugu yangu anaishi nje ya nchi na wanataka kusaidia kujenga chama kwa watanzania wanaoishi pale,nimempa contact kiongozi mmoja wa Chadema mwanamke eti amemwambia ndugu yangu huyo atampa kadi 10 za bure halafu kila kadi na katiba watakayoitaji atawatoza 10usd??????????????????huu ni upuuzi uliokithiri,hata kama ccm tumechoka nao angalieni sana kuna watu hapo njaa zinawasumbua na watawaletea matatizo lazimaaa shauri yenu,ndugu yangu amekata tamaa na ameachana na upuuzi wa kumtengenezea mtu pesa