Chadema kuna wakati mnaudhi kweli!

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
kuna viongozi wana njaa sana hapo makao makuu yenu,ndugu yangu anaishi nje ya nchi na wanataka kusaidia kujenga chama kwa watanzania wanaoishi pale,nimempa contact kiongozi mmoja wa Chadema mwanamke eti amemwambia ndugu yangu huyo atampa kadi 10 za bure halafu kila kadi na katiba watakayoitaji atawatoza 10usd??????????????????huu ni upuuzi uliokithiri,hata kama ccm tumechoka nao angalieni sana kuna watu hapo njaa zinawasumbua na watawaletea matatizo lazimaaa shauri yenu,ndugu yangu amekata tamaa na ameachana na upuuzi wa kumtengenezea mtu pesa
 
Tutakuaminije???
 
unge mtaja jina ili apate anacho taka kwani na jua chadema hawa taki wezi kama huyo kwani aki achwa ata halibu movement uyo
 
Mtabaki kutokuamini fanya mchezo na pesa nini.Mbona watu wanagombania kusimamia vikapu kwenye mikutano
 
Mimi sikuamini mleta mada id yako ni siri yako alafu unachoficha nini si weka mambo hadharani au wasiliana na Tumaini makene, au mtu aliyejuu ya huyo mdada
 
kuna viongozi wana njaa sana hapo makao makuu yenu,ndugu yangu anaishi nje ya nchi na wanataka kusaidia kujenga chama kwa watanzania wanaoishi pale,nimempa contact kiongozi mmoja wa Chadema mwanamke eti amemwambia ndugu yangu huyo atampa kadi 10 za bure halafu kila kadi na katiba watakayoitaji atawatoza 10usd??????????????????huu ni upuuzi uliokithiri,hata kama ccm tumechoka nao angalieni sana kuna watu hapo njaa zinawasumbua na watawaletea matatizo lazimaaa shauri yenu,ndugu yangu amekata tamaa na ameachana na upuuzi wa kumtengenezea mtu pesa
Mbali ya kutumia viwakilishi nafsi vingi ambayo ni dalili ya Majungu pia Tuhuma zako hazija nyoka. Unashutmu viongozi wengi kumbe aliyevulunda ni mmoja (Naye huna hata ubavu wa kumtaja). Kwa hiyo thread yako haisaidii yoyote.
 
Acha kabobo za kutunga wewe utakua unaundugu na mwigulu story zako hazina mashiko,inawezekana huyo ndugu yako ndo mwizi ndo hela zinamfanya aishi uko nje anauza kadi km njugu mwambie akome na wewe ukome kuleta upuuzi usiokuwa na mashiko,komaaaaa!
 
Hatari!!!!!!,,,, magamba wana staili nyingi sana, tujihadhari na watu kama mtoa mada. Huyu ni gamba live.
 
Mbali ya kutumia viwakilishi nafsi vingi ambayo ni dalili ya Majungu pia Tuhuma zako hazija nyoka. Unashutmu viongozi wengi kumbe aliyevulunda ni mmoja (Naye huna hata ubavu wa kumtaja). Kwa hiyo thread yako haisaidii yoyote.

Kuna watu tunapenda vibaya sana!kwan viongoz wa chadema ni malaika?mtawatisha watu wasitoe uozo wakiuona hayo makosa ya lugha ni kitu kidogo suala ni kufanya uchunguz kama ni kweli hiyo tuhuma?otherwise mnatupeleka kulekule kwenye mbinu za ccm kila tuhuma wao ni lete ushahid au ni majungu..
 
kuna viongozi wana njaa sana hapo makao makuu yenu,ndugu yangu anaishi nje ya nchi na wanataka kusaidia kujenga chama kwa watanzania wanaoishi pale,nimempa contact kiongozi mmoja wa Chadema mwanamke eti amemwambia ndugu yangu huyo atampa kadi 10 za bure halafu kila kadi na katiba watakayoitaji atawatoza 10usd??????????????????huu ni upuuzi uliokithiri,hata kama ccm tumechoka nao angalieni sana kuna watu hapo njaa zinawasumbua na watawaletea matatizo lazimaaa shauri yenu,ndugu yangu amekata tamaa na ameachana na upuuzi wa kumtengenezea mtu pesa

.....Ungekuwa mtu msaada zaidi kwa mov't kama ungemtaja kwa jina mtuhumiwa huyo na ushahidi uliotukuka ktk tuhuma zako...lkn kidole na jicho chambilecho watu wa pwani..hata mbuyu ulianza kama mchicha....kuna dalili ya kuwepo kwa ma "snake in the monkey shadow" ktk kada zetu...let's nt get loose...walioiharibu magamba ni wafanyibiashara...ambao tunao ktk mov't....
 
Kuna watu tunapenda vibaya sana!kwan viongoz wa chadema ni malaika?mtawatisha watu wasitoe uozo wakiuona hayo makosa ya lugha ni kitu kidogo suala ni kufanya uchunguz kama ni kweli hiyo tuhuma?otherwise mnatupeleka kulekule kwenye mbinu za ccm kila tuhuma wao ni lete ushahid au ni majungu..

mimi nashangaa sana na hawa washabiki wa chadema,mimi sio shabiki mimi ni real,hawa viongozi hawajatoka mbinguni,wala sio watakatifu,na kwa taarifa ya wanachadema wote ni kwamba viongozi wote wa chadema walikuwa ccm mwanzoni,tuhuma kama hizi nilifikiri zitafanyiwa kazi na uongozi na kuandaa idara maalamu ya kushughulikia watanzania wanao ishi nje ya nchi
 
hayo majungu tu,hakuna evidence anataka tuamini porojo zake.magamba at work.au anataka kutuonesha kuwa ana ndugu nje?huvi vipii!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom