Chadema kuna wakati mnaudhi kweli!

Mleta mada hebu taja jina la huyo kiongozi ibilisi ili tumajadili, kama yule Juliona shonza wa BAVICHA we mtaje tu wala usiogope.
 
kuna viongozi wana njaa sana hapo makao makuu yenu,ndugu yangu anaishi nje ya nchi na wanataka kusaidia kujenga chama kwa watanzania wanaoishi pale,nimempa contact kiongozi mmoja wa Chadema mwanamke eti amemwambia ndugu yangu huyo atampa kadi 10 za bure halafu kila kadi na katiba watakayoitaji atawatoza 10usd??????????????????huu ni upuuzi uliokithiri,hata kama ccm tumechoka nao angalieni sana kuna watu hapo njaa zinawasumbua na watawaletea matatizo lazimaaa shauri yenu,ndugu yangu amekata tamaa na ameachana na upuuzi wa kumtengenezea mtu pesa
Hapo kwenye RED We mleta mada unaonekana sio mwenzetu kwa hiyo ulichokiandika hakina msaada kwetu unachofanya hapa ni kuleta vipropaganda vyenu visivyo na mashiko.
 
kwa nini usiamini,unafikiri naweza kutunga uongo kama huu,huo ni ukweli na chadema angalieni sana ,mambo kama haya
Kwasababu ulianzisha thread kule MMU kuwa umetembea na wake saba wa watu huko FB wakakuamini ndo unadhani pumba zako zitaaminika jukwaa hili?We kweli hamnazo.Weka evidence,otherwise peleka huu ***** kule FB.
 
Nina mashaka na taarifa zako,kabla ya kuuleta uzi huu apa kwanza ungejiuliza ni nani anamamlaka ya kutoa izi kadi pale makao makuu?
 
kuna viongozi wana njaa sana hapo makao makuu yenu,ndugu yangu anaishi nje ya nchi na wanataka kusaidia kujenga chama kwa watanzania wanaoishi pale,nimempa contact kiongozi mmoja wa Chadema mwanamke eti amemwambia ndugu yangu huyo atampa kadi 10 za bure halafu kila kadi na katiba watakayoitaji atawatoza 10usd??????????????????huu ni upuuzi uliokithiri,hata kama ccm tumechoka nao angalieni sana kuna watu hapo njaa zinawasumbua na watawaletea matatizo lazimaaa shauri yenu,ndugu yangu amekata tamaa na ameachana na upuuzi wa kumtengenezea mtu pesa
Mtaje jina tumshughulikie. Vinginevyyo itakuwa majungu.
 
Kuna ugumu gani wa kumuweka huyo mtu wazi? unaficha nn. Hata hivyo kadi huwa zinauzwa hata huku bongo japo tuna njaa lakini tunanunua kama kawa. Sasa ugumu uko wapi tena umepewa za bure kumi?
 
Back
Top Bottom