Chadema kulikoni? Utitiri wa Vyeo (Mpango madhubuti wa kulindana huku mkibomoa chama)

Status
Not open for further replies.
political movement - a group of people working together to achieve a political goal Palestine Liberation Organization, PLO - a political movement uniting Palestinian Arabs in an effort to create an independent state of Palestine; when formed in 1964 it was a terrorist organization dominated by Yasser Arafat's al-Fatah; in 1968 Arafat became chairman; received recognition by the United Nations and by Arab states in 1974 as a government in exile; has played a largely political role since the creation of the Palestine National Authority
Sinn Fein - an Irish republican political movement founded in 1905 to promote independence from England and unification of Ireland; became the political branch of the Irish Republican Army
Red Guard - a radical political movement by Chinese youths who espoused Maoist principles
syndicalism - a radical political movement that advocates bringing industry and government under the control of labor unions
cadre, cell - a small unit serving as part of or as the nucleus of a larger political movement
foreign terrorist organization, FTO, terrorist group, terrorist organization - a political movement that uses terror as a weapon to achieve its goals
social movement, movement, front - a group of people with a common ideology who try together to achieve certain general goals; "he was a charter member of the movement"; "politicians have to respect a mass movement"; "he led the national liberation front"

Leo utajuta kuingia Choo cha Kike, Tumeshamaliza Suala la Katibu wa Bunge CDM na Maadam kwa Mdomo wako Umekiri kwamba Katibu wa Wabunge CDM ni David Silinde naomba ujibu na Swali hili. Leo Siwaachi na hata kama Mtakimbia nataka Mkimbie kwa Aibu

3. Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA

Je Kuna Cheo Cha Kudumu kinachoitwa "Kaimu" Kokote katika taasisi yeyote hapa Duniani? Kaimu Katibu Mkuu wa CCM ni Nan
 
Acha Kukimbia Maswali yanayohisiana na Hii Thread. Kama huwezi kujibu haya Maswali anzisha Thread utuonyeshe Jinsi Temeke, Kinondoni, Ukonga, Ilala, Korigwe Maji yanavyotiririka kwa wingi

3. Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA

Je Kuna Cheo Cha Kudumu kinachoitwa "Kaimu" Kokote katika taasisi yeyote hapa Duniani? Kaimu Katibu Mkuu wa CCM ni Nan

Ndani ya CDM hakunaga sehemu nyingine duniani
 
Ndani ya CDM hakunaga sehemu nyingine duniani

Huna Hoja ngoja niongee na Mods wafunge hii thread kwa Sababu inaonekana hamna Hoja zaidi ya Fitna dhidi ya CDM chini ya Viongozi wake mahiri Zitto Zuberi Kabwe na John John Mnyika ha ha ha
 
Tatizo kubwa linalosumbua CDM ni kutokuwa tayari kukosolewa na kupokea mawazo toka upande wa pili. Hicho ni chama cha siasa kinachopaswa kupokea mawazo toka pande mbalimbali
 
CDM yabidi ijenge mfumo ambao utatoa fursa kwa vijana wenye sifa na uwezo waingie ndani ya chama na pia waweze kujitolea badala ya kutoa sababu zisizo na mshiko kuwa akina Mnyika wanarundikiwa vyeo vingi kwa vile wengine hawana wito wa kufanya kazi za kujitolea.

Busara itumike hiyo ruzuku badala ya KUMRUNDUKIA DR. SLAA igawiwe kwa shughuli za chama zifanyazo na vijaba husika badala ya kutoa VISINGIZIO kuwa hakuna pesa za kuwapatia vijana ili wafanye kazi za chama.

USHAURI wa BURE: Kupanga ni kuchagua, nyie mmechagua kumlipa mapesa ya walipa kodi Dr. Slaa badala ya kupanua chama.
Wanachadema ukiwashauri hivi watakuita wewe magamba, na kila aina ya jina.Wao wanaona chadema pale kilpo hakina mapungufu.Bila shaka umefikisha ujumbe mzuri
 
Wanachadema ukiwashauri hivi watakuita wewe magamba, na kila aina ya jina.Wao wanaona chadema pale kilpo hakina mapungufu.Bila shaka umefikisha ujumbe mzuri

Majungu unayaita Ukosoaji?

Can you answer these simple Questions?

1. Mkurugenzi wa vijana makao makuu ya CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Mkurugenzi wa Vijana CDM?

2. Katibu wa wabunge wa CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Katibu wa Wabunge wa CHADEMA?

3. Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA

Je Kuna Cheo Cha Kudumu kinachoitwa "Kaimu" Kokote katika taasisi yeyote hapa Duniani? Kaimu Katibu Mkuu wa CCM ni Nani

4. .Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam

Je Katibu wa Wabunge wa Mkoa wa Dar Es Salaam anachaguliwa na CDM au Dr. Slaa?
 
huyu jamaa mi nimeshamzoea kwa kifupi tuntemeke ni mtu wa majungu siku zote nilishasoma post zake nyingi.....mara ya kwanza nilimjua jukwaa la nafasi za kazi.....akitafuta kazi na ana elimu yake alikuwa amepost ni form 4.......alipata division 4 ya 30....na alikuwa anatafutA AJIRA SERIKALINI NA AKAWEKA NAMBA ZAKE ZA SIMU.....HUYU JAMAA UPEO WAKE BADO MDOGO SANA

Bado hujafikia kwenye point yako...endeleaa,kuishi kwa kuhisi hisi ni tatizo.Tuntemeke anakupa headache
 
Kuna ukweli kati ya kupeana vyeo na kulindana wala watu msichangiea kwa ushabiki na pamoja na kwamba tuntemeke ni mtu wa majungu sana lakini leo amesema ukweli na naomba dr slaa achb hasira na nyie msiyumbishe ukweli angalia.heche si mwajiriwa wa makao makuu lakini hivi sasa analipwa sawa na wakurugenzi kinyume na katiba na kanuni za chadema,

kuna mkt wa wazee na wanawake wao hawalipiwi nyumba wala posho.huku si kulindana?pili mnyika ni katibu wa bunge silinde anakaimu tu na hadi sasa wananchi wa ubungo wameanza kulala.

tatu wenje ni waziri kuvuli na mjumbe wa kamati kuu kuna haja gani kumpa ukurugenzi wa mambo ya nje na wakati ni waziri wa mambo ya nje?na je mjumbe wa kamati kuu ambaye ni mkurugenzi atahoji taarifa ya katibu mkuu?

nne suran lyimo ni mbunge,makamu mkt bawacha na kaimu mkt bawacha na pia mkurugenzi wa rasilimali je vyeo vyote hivyo ni lazima apewe yeye?sio lazima apewe tuntemeke lakini ni sahihi?

tano mkurugenzi wa fedha na utawala ni antony komu yeye anawapa watu kazi hata bila vikao mfano hawa mwaifunga hana utalaamu wowote labda kitandani kwa mujibu wa watu wa makao makuu chadema list ni ndefu ya kupeana vyeo,safari na nk kwa namna hiyo.sita mwigamba si mwandishi wa kudumu huwa anaandika tu makala na mkt si mtu wa kila siku ofisi.saba benson mramba anatakiwa kuachia ama kazi ya it makao makuu au ukatibu wa mkoa wa tanga hakuna mjadala.nane wajumbe zaidi ya 80 asilimia ni wa mlengo wa mbowe hivyo mbowe akisha kuelewana na dr slaa hakuna kupinga angalia wajumbe hawa wenge,msigwa,chiku abwao,lissu,mnyika,grace kihwelu nk hawa ndio wale ambao wanazuaia mbuyu!

kuna haja ya kupanga kurugenzi ziendane na uwezo na wakati wa sasa na kutoa nafasi kwa watu wengi kulingana na jiografia ya nchi mfano dhana ya uchaga itoelewe maelezo kwa vitendo angalia fedha-komu,bunge-mrema,rasilimali-lyimo,nje-wenje,uenezi-mnyika.maeneo haya ni strategic kulinda wakubwa.

mimi sihitaji cheo chadema wajiangalie na hata mchezo wa viti maalum wasirudie tena kupeana maana nasikia ni kujuana tu?acha niingie darasani kupiga chaki.

Ni sehemu ya mambo niliyokuwanategemea watu watayajadili,Kuna haja ya Dr.slaa kamamtendaji mkuu wa chama kuangalia mgawanyo wa kazi upya...hali iliyopo sasa pale makao makuu tunakosa imani na umakini wake!!!!
 
Huna Hoja ngoja niongee na Mods wafunge hii thread kwa Sababu inaonekana hamna Hoja zaidi ya Fitna dhidi ya CDM chini ya Viongozi wake mahiri Zitto Zuberi Kabwe na John John Mnyika ha ha ha

Mkuu Albedo,
Mbona sasa unataka kuongea na Mods waifunge hii thread wakati umeahidi leo mpaka wakimbie wenyewe sasa cha ajabu wewe ndio unataka kukimbia...usiondoke mkuu tunataka kuwasoma mnavyopambana kwa hoja.
 
Chadema hawajui walitendalo maana mawazo ya mbowe au Dr Slaa wanadhani ni mawazo ya wanachama wote kwa nini hamuwachi mawazo ya wanachama yakatoa maamuzi nani aongoze nini? Kuna methali isemayo "Mchelea mwana kulia mwishowe hulia yeye" hamtaki kukosolewa wala ukweli hamuutaki mtawezaje kuiongoza Nchi huru ya Tanzania?
Majungu unayaita Ukosoaji?

Can you answer these simple Questions?

1. Mkurugenzi wa vijana makao makuu ya CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Mkurugenzi wa Vijana CDM?

2. Katibu wa wabunge wa CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Katibu wa Wabunge wa CHADEMA?

3. Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA

Je Kuna Cheo Cha Kudumu kinachoitwa "Kaimu" Kokote katika taasisi yeyote hapa Duniani? Kaimu Katibu Mkuu wa CCM ni Nani

4. .Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam

Je Katibu wa Wabunge wa Mkoa wa Dar Es Salaam anachaguliwa na CDM au Dr. Slaa?
 
Chadema hawajui walitendalo maana mawazo ya mbowe au Dr Slaa wanadhani ni mawazo ya wanachama wote kwa nini hamuwachi mawazo ya wanachama yakatoa maamuzi nani aongoze nini? Kuna methali isemayo "Mchelea mwana kulia mwishowe hulia yeye" hamtaki kukosolewa wala ukweli hamuutaki mtawezaje kuiongoza Nchi huru ya Tanzania?

I thought Unajibu Maswali yangu kumbe umeishia kuni Quote halafu unalalama
 
Mkuu Albedo. Ni aibu kama huyu jamaa anaitwa Tuntemeke ni mwanachama wa CDM na alifikia ngazi ya kugombea uongozi BAVICHA anakuja hapa kutoa tuhuma za ajabu kama hizi kwa chama chake. Hizo nafasi zote umeuliza kama anashikilia JJ hautapata majibu. Kwasababu anajua amesema uwongo ili kujenga hoja yake ya kumchafua Mnyika na hao wengine.
 
Mkuu Albedo,
Mbona sasa unataka kuongea na Mods waifunge hii thread wakati umeahidi leo mpaka wakimbie wenyewe sasa cha ajabu wewe ndio unataka kukimbia...usiondoke mkuu tunataka kuwasoma mnavyopambana kwa hoja.

Nimeona Mnaogopa Kujibu Maswali yangu ( Of Course mna Sababu za Msingi za KUOGPA KUJIBU HAYO MASWALI ingawa MAJIBU MNAYO)
 
Kama madaraka/vyeo unavyovisema ni hivi hapa chini basi huijui katiba ya chadema. Kaipitie upya uone majukumu ya katibu mkuu na mamlaka yake ya kuteua viongozi. Kwa kifupi ni kuwa hatakiwe kukupa taarifa wewe kibwengo


Mkuu mbona una akili mavi kiasi hiki? Wamiliki wa chama ni wanachama wa chadema, na kama unamaanisha kina Mbowe katiba imetoa utaratibu wa kimajukumu. Kuwaita hao wamiliki wa chama ni kuwatukana kistaarabu. Na nafasi zao ni za kuchaguliwa, vipi waamue kulinda vyeo vyao? Unataka kusema viongozi wanatakla kutawala chama kidikteta? N a raslimali za kina Mbowe na Slaa ni zao binafsi, zinahusika vipi na chama?


Huu nao ni mpango wako wa kuchafua watu wenye heshima zao, haya maneno ya kwenye saluni za kike. Tupe japo nakala ya miniti za kikao cha siku waliyokubaliana kufanya huo mkakati

Ntaanza kwanza kupangua umbea uliourundika kwa Mbunge wangu then ntakuja kupangua za wengine. ila ujielewe kuwa ubongo wako una utapiamlo na matege makali. Huna hoja zaidi ya majungu, fitna na uzandiki. Kukosa kwakouongozi wa BAVICHA kunakukosesha usingizi nguruwe we!


1. Kwenye ubunge tumemchagua sisi wana ubungo, hajateuliwa na katibu wala mwenyekiti na kwataarifa yako hajawahi kuharibu hata siku moja, mimi mkazi wa Ubungo nafurahi kila siku iendayo kwa Mungu na ninajivunia usiku ule niliokesha pale LOYOLA kulinda kura za mheshimiwa Mnyika, na 2015 tutazilinda tena na inshaallah nikiwa hai nitafanya kama nilivyofanya 2010 kuhakikisha Mnyika anashinda tena
2. Taasisi zake hazina uhusiano na chama na hata kwenye taasisi yake sio mwenyekiti yeye, mhasibu yeye, ps yeye, mfagizi yeye, fuatilia utaratibu uliopo kwenye hiyo taasisi usikute yeye ni board member tu
3.Mwenyekiti wa Mkoa wa Kinondoni???? Yupo makau mwenyekiti na katibu mkuu, wanafanya kati nzuri sana. Rejea shule inayoitwa management by objective utaelewa ninachomaanisha
4. Mkurugenzi wa vijana???? Heche anafanya kazi iliyotukuka, na yeye inshaallah atashinda tu uchaguzi ujao kama ataamua kugombea.

5. Katibu wa wabunge wa chadema ni Silinde we bata acha uzandiki
6. Kwa mujibu wa katiba ya chadema, wabunge wake wote ni wajumbe wa kaati kuu automatically, hata Shibuda nae ni mjumbe wa CC ya CDM. Hateuliwi na katibu wala wenyekiti. vilevile, kwa nafasi yake ya ukurugenzi wa uenezi ni mjumbe pia wa cc kwaiyo hoja yako ni ya kiumbea umbea
7. Ushasema waziri kivuli, sasa ulitakaje? Weka hapa JD za waziri kivuli, ukweli ni kuwa hii kazi ya uwaziri kivuli ni kazi ya msimu hivyo kwa kiongozi akini kama Mnyika, ni suala la kujipanga tu
8. Kaimu katibu mkuu wa chama taifa tangu lini? Kipidi cha uchaguzi Mnyika alikaimu nafasi hii kwasababu zilizo wazi, yeye alikuwepo DSM muda wote wkt Slaa yupo mikoani kwenye kampeni, Zitto alikuwa Kigoma na wengineo walikuwa majimboni. Ulitaka babako aje kukaimu?
9. Msemaji wa chama, ndio, hii nafasi ni ya propaganda na Mnyika anaimudu propaganda. Ni nafasi isiyochukulia kabisa muda wake, nayo ni ya msimu
10. Katibu wa wabunge wa dsm we unataka kusema na hii pia aliteuliwa na Slaa? Na unaona kwenye kamati hiyo ya wabunge wa dsm kuna nini cha maana kimefanywa cha kufanya JJ awe busy kiasi hicho?

NIKUKUBUSHE TU WE MWEHU
1. Stephen Wasira,
-Waziri wa JMT
-Mbunge wa bunda
-Mjumbe wa CC ya Gamba
-jumbe wa NEC ya gamba
-Mlezi wa gamba Arusha
- Mjumbe wa bodi kadhaa
-Fisadi

2. Dk. Slaa alipokuwa mbunge
-Katibu mkuu cdm
-Mbunge wa jmt
-mWENYEKITI WA KAMATI ya kudumu ya serikali za mitaa
-Mjumbe wa CC ya cdm
- Mwenyekiti wa board ya wakurugenzi ccbrt

3. Mizengo Pinda
-
-
-
-

4
5
6

Kabla ya yote,hili hapa la kuchukua ugawaji wa vyeo wa ccm NA UKAFANANISHA NA WA CHADEMA ni kielelezo tosha kuwa wewe sio great thinker.Nilitegemea ungefananisha na republican au ANC n.k ,Yaani wewe umechukua bora kiongozi unamuwekea reference kwa kiongozi bora?
 
POLE SANA NDUGU,LEO UMEJIWEKA BAYANA KWAMBA WEWE NI MROHO NA UNAUCHU WA MADARAKA.JE UNAWEZA KUTUPA MFANO WA DHATI KWAMBA PALE CDM TOP PANA SERA ZA ZIDUMU FIKRA ZA M/KITI? Je UNAJUA MAANA YA MANAGEMENT? Kwa taarifa yako chama kinachojizatiti ni lazima kiwe na mipango thabiti ya kiutawala for future deligation through experienced personels.NAKUSHAURI PIA UWE NA +VE CONTRIBUTION KTK MANAGEMENT YA CDM KWAMBA WANAKAA KAMA JOPO BEFORE REACHING ANY DECISSION AT A THING.
 
Mnaogopa Maswali
Nakukumbusha tena uelewa wako ni FINYU; unatakiwa utoe ufafanuzi na yaliyowekwa hadharani na Tuntemeke na siyo kuja na maswali yako. Huo wote ni uthibitisho kuwa ndani ya CDM hakuna UTAWALA BORA, ni kufuata mawazo ya kiongozi tu
 
Mnaogopa Maswali

Naona unaongea maneno mengi unajipa vyeo vingi wewe kweli wewe kuna mtu wa kuogopa mpaka akimbie thread? Ha! Ha! Ha! Ha!.

Wenye chama wenyewe kina Slaa na Mbowe watu hawawaogopi wakuogope wewe!
 
Hii ni habari ya Chadema, mimi ni mwanaccm napita tu lakini kwa ufupi hicho ulichoandika ni mfumo ambao upo Tanzania lakini swali la msingi la kujiuliza je huko kupeana mlolongo wa vyeo ni kwenye kuboresha ufanisi au kulinda maslahi ya wachache? Turudi kwenye Chadema niliwahi kusema CDM walichofanya ni copy and paste utaratibu wa CCM lengo hasa la mfumo wa CCM ni kukifanya kikundi cha viongozi wachache kuwa na monopoly power dhidi ya wanachama wa kawaida, na ndio sababu maamuzi mengi makubwa yanayofanywa na CC na NEC ya CCM hayawakilishi maoni ya wanachama wa kawaida, siwezi kuilaumu sana CCM kwa sababu ni chama ambacho kilianza tukiwa na mfumo wa chama kimoja itachukua muda kujiendesha kidemokrasia; alichosema Tuntemeke hicho kipo ndani ya Chadema wala huitaji rocket science kulielewa, siongelei unazi wa kisiasa ila labda niwaulize wanachadema ile tenda aliyopewa mwenyekiti ya mamilioni ya fedha vilitumika vikao na vigezo gani? Kama chama kingekuwa na utaratibu wa kweli ni wazi mh. Mbowe asingeweza kufanya biashara ile, ilkuwa ni rahisi sana kwake kwasababu tayari alishautengeneza mfumo wa kulinda maslahi yake binafsi, ikiwa kama vyeo vyenyewe watu wanafanya kwa kujitolea kunasababu gani kumpa mtu majukumu mengi? Ukweli ni rahisi sana kurubuni watu 10 lakini ni kazi kubwa sana kurubuni watu 100.

Chama
Gongo la Mboto DSM[/QUOT
Ujumbe umefika,safi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom