Chadema kulikoni? Utitiri wa Vyeo (Mpango madhubuti wa kulindana huku mkibomoa chama)

Status
Not open for further replies.
Kitila mkumbo safi sana,huyu nadhani ni wale wanaosafiria meli ya kafulila na zitto.wa2 wenye asili ya kigoma ni tabu

Uonapo mtu anatanguliza udini, ukabila na eneo atokalo mhusika, UTAMBUE uwezo wake wa kufikiri ni KIDUCHU, pole sana kaka
 
Majungu Express on the move...vijana hivi vyeo vitawaumiza sana matumbo fanyeni kazi mjiletee maendeleo kwani lazima wote muingie Bavicha? Heche sasa yuko kwenye full time employment hadi 2016.

tatizo chadema nkikosolewa mnakua na jazba sana..sasa huu ukereketwa uliopitwa kiasi sijui unasaidia nini taifa...cult worship and politics in action
 
CDM yabidi ijenge mfumo ambao utatoa fursa kwa vijana wenye sifa na uwezo waingie ndani ya chama na pia waweze kujitolea badala ya kutoa sababu zisizo na mshiko kuwa akina Mnyika wanarundikiwa vyeo vingi kwa vile wengine hawana wito wa kufanya kazi za kujitolea.

Busara itumike hiyo ruzuku badala ya KUMRUNDUKIA DR. SLAA igawiwe kwa shughuli za chama zifanyazo na vijaba husika badala ya kutoa VISINGIZIO kuwa hakuna pesa za kuwapatia vijana ili wafanye kazi za chama.

USHAURI wa BURE: Kupanga ni kuchagua, nyie mmechagua kumlipa mapesa ya walipa kodi Dr. Slaa badala ya kupanua chama.
 
tatizo chadema nkikosolewa mnakua na jazba sana..sasa huu ukereketwa uliopitwa kiasi sijui unasaidia nini taifa...cult worship and politics in action

Can you answer these simple Questions?

1. Mkurugenzi wa vijana makao makuu ya CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Mkurugenzi wa Vijana CDM?

2. Katibu wa wabunge wa CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Katibu wa Wabunge wa CHADEMA?

3. Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA

Je Kuna Cheo Cha Kudumu kinachoitwa "Kaimu" Kokote katika taasisi yeyote hapa Duniani? Kaimu Katibu Mkuu wa CCM ni Nani

4. .Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam

Je Katibu wa Wabunge wa Mkoa wa Dar Es Salaam anachaguliwa na CDM au Dr. Slaa?
 
a. Mnyika ana uroho wa madaraka na hii ni hatari huwezi kusema no please..unajua vyao hadi 10 lol..

b. Mnyika ameziba nafasi 7 muhimu za vijana wengine kuonyesha uwezo wao...na ajira pia..

c. Mnyika either ana uwezo sana au ni kwamba ni yes man..vyeo zaidi ya 10?

conclusion: Nimesahau kumbe tunaongelea chagga development manifesto..lol
you are a mere idiot
 
CDM yabidi ijenge mfumo ambao utatoa fursa kwa vijana wenye sifa na uwezo waingie ndani ya chama na pia waweze kujitolea badala ya kutoa sababu zisizo na mshiko kuwa akina Mnyika wanarundikiwa vyeo vingi kwa vile wengine hawana wito wa kufanya kazi za kujitolea.

Busara itumike hiyo ruzuku badala ya KUMRUNDUKIA DR. SLAA igawiwe kwa shughuli za chama zifanyazo na vijaba husika badala ya kutoa VISINGIZIO kuwa hakuna pesa za kuwapatia vijana ili wafanye kazi za chama.

USHAURI wa BURE: Kupanga ni kuchagua, nyie mmechagua kumlipa mapesa ya walipa kodi Dr. Slaa badala ya kupanua chama.

Can you answer these simple Questions?

1. Mkurugenzi wa vijana makao makuu ya CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Mkurugenzi wa Vijana CDM?

2. Katibu wa wabunge wa CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Katibu wa Wabunge wa CHADEMA?

3. Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA

Je Kuna Cheo Cha Kudumu kinachoitwa "Kaimu" Kokote katika taasisi yeyote hapa Duniani? Kaimu Katibu Mkuu wa CCM ni Nani

4. .Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam

Je Katibu wa Wabunge wa Mkoa wa Dar Es Salaam anachaguliwa na CDM au Dr. Slaa?
 
UKUBWA wa Jimbo la UBUNGO hauendani na uwezo wa MNYIKA, uongozi wa CDM inabidi muwe na huruma kwa huyu kijana, JIMBO LIMESHINDA, KWA NINI MNAMPA MIZIGO MINGINE
 
Furaha ya wanachadema ni kuona haya yanasemwa kule>>>>ccm,cuf,tlp...yaani hapo hamuwezi kumuita mtu mental impired au katumwa kuja kuichafua ccm,cuf na tlp.
Hivi mnajibu hoja au mnaegemea kuangalia huyu ninani na kapost nini?au kumchambua mtu ilihali hata maandishi hamjasoma?.
Tujadiliane juu ya hili la mrundikano wa vyeo na sio jina la TUNTEMEKE, yaani limekuwa mwiba kwenu?

Can you answer these simple Questions?

1. Mkurugenzi wa vijana makao makuu ya CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Mkurugenzi wa Vijana CDM?

2. Katibu wa wabunge wa CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Katibu wa Wabunge wa CHADEMA?

3. Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA

Je Kuna Cheo Cha Kudumu kinachoitwa "Kaimu" Kokote katika taasisi yeyote hapa Duniani? Kaimu Katibu Mkuu wa CCM ni Nani

4. .Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam

Je Katibu wa Wabunge wa Mkoa wa Dar Es Salaam anachaguliwa na CDM au Dr. Slaa?
 
UKUBWA wa Jimbo la UBUNGO hauendani na uwezo wa MNYIKA, uongozi wa CDM inabidi muwe na huruma kwa huyu kijana, JIMBO LIMESHINDA, KWA NINI MNAMPA MIZIGO MINGINE

Can you answer these simple Questions?

1. Mkurugenzi wa vijana makao makuu ya CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Mkurugenzi wa Vijana CDM?

2. Katibu wa wabunge wa CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Katibu wa Wabunge wa CHADEMA?

3. Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA

Je Kuna Cheo Cha Kudumu kinachoitwa "Kaimu" Kokote katika taasisi yeyote hapa Duniani? Kaimu Katibu Mkuu wa CCM ni Nani

4. .Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam

Je Katibu wa Wabunge wa Mkoa wa Dar Es Salaam anachaguliwa na CDM au Dr. Slaa?
 
Can you answer these simple Questions?

1. Mkurugenzi wa vijana makao makuu ya CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Mkurugenzi wa Vijana CDM?

2. Katibu wa wabunge wa CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Katibu wa Wabunge wa CHADEMA?

3. Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA

Je Kuna Cheo Cha Kudumu kinachoitwa "Kaimu" Kokote katika taasisi yeyote hapa Duniani? Kaimu Katibu Mkuu wa CCM ni Nani

4. .Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam

Je Katibu wa Wabunge wa Mkoa wa Dar Es Salaam anachaguliwa na CDM au Dr. Slaa?

Amepewa na wakubwa zake ndani ya CDM kutokana na ukaribu na wakuu wake
 
Umetoa ushauri mzuri kwa CHADEMA lakini kwa jinsi ninavyowafahamu lazima watakushambulia na kukuona huna maana yoyote....kudumisha fikra za mwenyekiti wa chama kutavimaliza vyama vya upinzani ambavyo hadi sasa walioko ngazi za juu hawataki wengine washike nyadhifa hizo na pale wanapobainika kuonyesha nia ya kutaka nyadhifa hizo wanafukuzwa uanachama...hili limetokea kwa Hamad Rashid na David Kafulila. Lakini tusisahau kuwa ZITTO ZUBERI KABWE naye alinusulika kufukuzwa CHADEMA lakini adhabu waliompa hakuna asiyeona kwa sasa, amewekwa pembeni na yupo kama jina tu.
 
Najua Maswali yangu yatawakimbiza watu hapa kwa Sababu Nataka WAO NDIO WAYAJIBUand so long as hawatayajibu ( Najua hawatayajibu kwa Sababu Majibu yake yatapelekea watu kujua ni Duhumuni la Tuntemeke Mwana CDM aliyamua kupambana na CDM pasipo kutambua kwamba CDM si mtu bali CDM ni MOVEMENT)
 
Kuwa na vyeo vingi au majukumu mengi hatukatai. Lakini kinachopingwa hapa ni ulimbukeni wa CDM wa kuwalimbikizia watu wachache madaraka.

Rejao ni mtu mzima lakini unashindwa hata kujibu hoja kwa umakini,sijui una matatizo gani kichwani..MM ameuliza ni kiongozi gani makini ana cheo kimoja tu? na hiyo unayosema kuwa ni kurundukiana kazi ni unafiki na uongo mtupu ona hizo kazi anazosema huyu mzushi kuwa Mnyika anazo hapa chini,nyingi sio za CDM.....
JOHN MNYIKA(Mbunge wa Ubungo)
Huyu ni mbunge wa jimbo la ubungo,amepewa majukumu ya fuatayo kuhakikisha nguvu ya vijana inaonekana.
1.Huyu ni mwenyekiti wa taasisi ya kiraia iitwayo ubungo foundation development.-INA UHUSIANO GANI NA CHADEMA?
4.Katibu wa wabunge wa CHADEMA-KATIBU NI SILINDE LABDA UKO LESS INFORMED
6.Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA-KWA UWEZO WAKE ANASTAHILI
8.Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA-zitto ni nani?
10.Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam-Hii si nafasi ya CDM
 
UKUBWA wa Jimbo la UBUNGO hauendani na uwezo wa MNYIKA, uongozi wa CDM inabidi muwe na huruma kwa huyu kijana, JIMBO LIMESHINDA, KWA NINI MNAMPA MIZIGO MINGINE

Hilo wanaliona lakini sababu ni kama ilivyoelezwa na mleta uzi na inaeleweka, ukaribu wake na tops wa chama ndiyo unaosabasha alundikiwe majukumu hayo maana wanahofu na wengine kama akina ZITTO ambao kwa vyovyote vile wasingeweza kuendekeza uovu unaofanywa na viongozi hao wa ngazi za juu.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na umakini wa viongozi wake katika kuhakikisha kwamba vijana ni nguvu mabadiliko na wanauwezo wakuongoza na kulinda rasilimali za chama na mgawanyo wa madaraka.Sasa the top wa chama hicho wameamua kimyakimya kugawa madaraka/vyeo kwa watu wanaoona watatumika kulinda siri na mambo mbalimbali ya viongozi wa juu(zidumu fikra za Mwenyekiti)

Naweza kusema CHADEMA sasa imekomaa na kukua kuliko vile jamaa walivyokuwa wanategemea,kiasi kwamba imewawea vigumu kuukumbatia mbuyu huu wenye matawi yake karibia tanzania nzima.Hii imewapa wakati mgumu wamiliki wa chama namna gani wanaweza kulinda rasilimali zao na vyeo vyao....

Hao watu makini (tunaowaita sisi watanzania)wamekuja na mpango kabambe wa kuwagawia madaraka wale watu wanaoona watahakisha wanadumisha fikra za mwenyekiti

Naomba kutumia baadhi ya watu kama mifano tu...ilikuleta maana ya kile ninachokisema.

A.JOHN MNYIKA(Mbunge wa Ubungo)
Huyu ni mbunge wa jimbo la ubungo,amepewa majukumu ya fuatayo kuhakikisha nguvu ya vijana inaonekana.
1.Huyu ni mwenyekiti wa taasisi ya kiraia iitwayo ubungo foundation development.
2.Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa kinondoni
3.Mkurugenzi wa vijana makao makuu ya CHADEMA
4.Katibu wa wabunge wa CHADEMA
5.Waziri kivuli wa nishati na madini
6.Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA
7.Mjumbe wa sekretarait wa CHADEMA makao makuu
8.Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA
9.Mkurugenzi wa habari na uenezi wa CHADEMA TAIFA
10.Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam
Hivi huyu mtu anajigawaje katika majukumu yote haya,bila shaka ni kpenzi cha the top kwa sababu anadumisha fikra za mwenyekiti.

B.HEZEKIEL WENJE
1.Mbunge wa Nyamagana Mwanza
2.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema
3.Mjumbe wa sekretarait wa Chadema
4.Na sasa Katibu mkuu wa chadema amemteua kuwa mkurugenzi wa mambo ya nje wa chadema ambapo automatic anahudhuria vikao vya utendaji wa chama makao makuu...ambavyo karibia kila baada ya siku 2 mbili vinafanyika nainatakiwa ahudhurie,,,Jimbo lipo wazi pale mwanza kwa sababu muda wake mwingi yupo pale makao makuu kwenye vikao vya chama.

C.MWIGAMBA
1.Ni mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima(freeman mbowe)
2.Ni mwenyekiti wa mkoa wa arusha
3.NI muhasibu wa chadema makao makuu
Huyu ameacha mkoa ukiwa hauna mwenyekiti(Dr.slaa analiona hilo) nakuitwa kuja kusimamia fedha za chama(uhasibu wa chadema makao makuu)Hadi dakika hii Arusha hapana mwenyekiti wa mkoa wa chama.

D.BENSON MLAMBA
1.Katibu wa CHADEMA mkoa wa tanga
2.Afisa wa habari wa chadema makao makuu
Huyu ameondolewa tanga kuja pale makao makuu kwa sababu za kusaidia kukumbatia mbuyu usiguswe na watu wengine.Ameacha mkoa wa tanga bila kuwa na katibu...huku Dr. akijua kwamba mkoa wa tanga hatuna diwani wala mbunge na chama kina suasua,Kwa mantiki hiyo huyu mtu alikuwa nakazi ya kujenga chama pale tanga.

MY TAKE:
Kumbuka hakuna chama chenye vijana wasomi na wenye utashi/uthubutu mkubwa wa kufanya mambo katika tanzania hii kama CHADEMA.....Lakini hili si rahisi kuliona Dr.slaa kwa sababu vijana waliowengi wameshatumika kwenye mbio za uchaguzi mkuu na sasa hawana thamani tena ndani ya chama hiki.
Kuna vijana wengi sana wamejitolea kujenga chama na wengine wameshapoteza degree zao kwa sababu wanakipenda chama.Wengine wamethubutu kuingia katika vinyang'anyiro mbalimbali vya udiwani,ubunge na wengine wamekuwa wakijitolea kuratibu kampeni mbalimbali za CHADEMA lakini kwa sasa nikama makarai mabovu ya kujengea nyumba.

Je?Kama chadema bado hawachukua dola wamesahau vijana wao,itakuwaje wakishika dola?
Au huu ndio ule mkakati madhubuti wa kulinda na kula keki ya chama watu wa chache huku mkiweka MORANI(tajwa) pembezoni msiguswe?.

Najua kunawatakao tukana na kukejeli kwa sabubu wamepofoka na mapenzi yao juu ya chama,huku wakijisahau kuwa chadema kinamapungufu yake hasa katika matumizi ya rasilimali watu(vijana) na kuwa dampu kama taka.

Kama wewe ni mwanachama wa CDM ninakuomba uwe unatoa ushauri kwa viongozi wako moja kwa moja kama hushiriki katika vikao na kama unashiriki hata vya kata au kitongoji ni vyema ukatoa huko ushauri wako na nini cha kufanya lakini ukilopoka humu sisi tunakuona hamnazo,humu lete critical issues za kitaifa na namna ya kujikomboa kutoka katika hii shida tulionayo ya kuanguka kwa taifa letu kwa wachache na vizazi vyao kunufaika huku wengi wakipiga miayo mikavu na macho kutowatoka machozi kwa sababu wamekaukiwa hataile akiba katika miili yao.
Viongozi CDM msikilizeni huyu mwanachama wenu amaliza kilio chake humu JF maana kila akija humu ni uongozi umefanya hivi mara vile,tumemchoka sana.
 
Mnakataa kusemwa humu ila CCM ikisemwa mnaona ni sawa tu. Hii pia ni forum ambayo mnaweza kupokea ushauri, lakini kama hamtaki hakuna anayewalazimisha ila mtakuja kukumbuka siku mzimu wa CHACHA WANGWE utakapoanza kuwatafuna.
 
Najua Maswali yangu yatawakimbiza watu hapa kwa Sababu Nataka WAO NDIO WAYAJIBUand so long as hawatayajibu ( Najua hawatayajibu kwa Sababu Majibu yake yatapelekea watu kujua ni Duhumuni la Tuntemeke Mwana CDM aliyamua kupambana na CDM pasipo kutambua kwamba CDM si mtu bali CDM ni MOVEMENT)

Nilijua CDM ni chama cha siasa kumbe ni movement....let us see how far this movement will last!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom