CHADEMA kama mnataka kushinda Arumeru Mashariki kuweni makini na huyu jamaa!

Huyu jamaa hata igunga alikuwa anachanja mbuga tukasema anacheza tu mwisho wa siku tukabaki kusingizia kuibiwa. Taarifa nilizonazo jana pia alikutana walimu kribu mia na hamsin. Tayari alishakutana na wazee Wa mila, viongozi wa dini na wanachuo. Jamaa ni super strategist
Mi nimewaonesha tu mojawapo ya kazi zake (achilia mbali ile ya ugoni). Sasa mwenye macho na aone, mwenye masikio na asikie!
 
Huyu jamaa hata igunga alikuwa anachanja mbuga tukasema anacheza tu mwisho wa siku tukabaki kusingizia kuibiwa. Taarifa nilizonazo jana pia alikutana walimu kribu mia na hamsin. Tayari alishakutana na wazee Wa mila, viongozi wa dini na wanachuo. Jamaa ni super strategist
 
Huyu jamaa mtakosea sanaa kama mtampuuza kwa kusema wameru ni tofauti na igunga. Huyu hata DSM anaweza kushawishi
 
Huyu jamaa mtakosea sanaa kama mtampuuza kwa kusema wameru ni tofauti na igunga. Huyu hata DSM anaweza kushawishi
Nilikuwa katibu wa kamati ya maandalizi ya ya harusi ya rafiki yangu fulani hivi, huyu jamaa alikuwa mwekahazina wa hiyo kamati (ana undugu wa na huyo jamaa)....namfahamu vizuri huyu jamaa sio wa kumdharau! Hafai!
 
ye atoe watu wale lakini mwisho CDM kama kawaida tunasepa na jimbo kmyakmya
 
Tuanzishe utaratibu wa kupiga kura kwa kunyoosha mikono tuwatambue wasaliti wa wenye vyama ,probably italipa otherwise kura ni siri ya mpiga kura .
 
Haukuweza kujua walikuwa wakiongea/kupanga mikakati gani?? It seems ulikuwa karibu kabisa na kila neno ulifuatilia!
jamaa wanamsikiliza kwa makini anaweza kuwaokota kama si kumi basi hata watano kwa ccm ni mtaji. ndo ndo si chururu. cdm hamjui siasa. mnapiga maneno debe shinda,in fascial expression hawaonyesi kumkinai.
 
Jamaa ni noma kwa kampeni

Sio noma kwa kampeni, noma kwa wizi sasa nakuhakikishia hapa amenoa. You Can Cheat Some People at Some Time, or You Can Cheat All The People at Some, BUT YOU CANNOT CHEAT ALL THE PEOPLE ALL THE TIME. CCM wanajua hilo na saa ya ukombozi si kesho ni sasa.!!!!
 
Si mwingine ni Mwigulu Mchemba.
Alichokifanya Igunga kinajulikana.
Na sasa ameshaanza kampeni katika jimbo la Arumeru Mashariki hata kabla ya muda uliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi haujafika.

Leo asubuhi alikuwa katika eneo la Tengeru akifanya "fitna" kwa waendesha bodaboda wa maeneo hayo.
View attachment 48095


View attachment 48093View attachment 48092

Meru siyo Igunga, asipokuwa makini mtaletewa marehemu, ninavyoamini mkakati wake utashindwa na uovu wake unaweza kuwa hapa ndipo kikomo
 
Mwigulu haiendi kupiga kampeni bali kuzini na makada wa chama chake. Mkamateni na kumfanyia kitu mbaya aachane na ukware.
 
Yaani magwanda wakimwona mwigulu wanalegea kweli kweli, cdm wote wakisikia jamaa katia timu mavi yanagusa chupi. Loo, na hapo lazima awarambe
 
Ni nyumba kwa nyumba ..... mikutano ni ya watoto tu. Nyumba kwa nyumba, kundi kwa kundi..... ni kupiga mguu mpaka juu Akeri,poli, kote huko.... mikutano sidhani kama inaleta matokeo ya maana.
 
Badala ya kumwaga sera mnatanguliza pesa, sasa mkisimama jukwaani mtajikuta mnaongea
kuijenga chadema....kama mungu aishivyo hata wale waliompigia kura jsumari mwaka huu
wamegeukia cdm.

Magamba mtaongea kitu gani huko meru? Kama ni njaa hakunana, kama ni ujinga hakunaga
kama ni uvivu hakunaga.

Sasa wameru ni watu wa msimamo, siyo msimamo wa kudumu na matatizo muda wote hapana,
ni msimamo kwamba hatutaki tena.

Pia mjue mna mambo ya kujibu mengi, ardhi yetu mmeigawa kwa waholanzi, mashamba yaliyobakia
mojawapo likiwa lile lililokatwa migomba mmewapa agha khan ekari 100.

Hapo jukwaani hapatatosha.
 
Back
Top Bottom