luhala
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 412
- 142
Nyie pigeni kelele tu mnadhani wenzenu bado miaka ya 2010. Sasa hivi CCM inabadilika. Kinachotakiwa CDM wabadilishe mfumo wa sera zao maana kiukweli kelele za CDM kimewafanya CCM wanabadilika.
USHAURI:
Wanatakiwa CDM wabadilishe mfumo wa Sera zao la sivyo mwaka 2015 itakuwa hivi:-
CCM 75%
CUF 10%
NCCR 7%
CDM 5%
UDP 2.5%
Others 0.5 %
Kuweni chonjo watanzania wanaakili sio wajinga. Vyama vyote vinatakiwa kubadilika
TRUTH SHALL SET YOU FREE
Ala! Nilisahau, hivi daktari aliyekuruhusu Mirembe kwa "schizophrenia" alikuambia urudi lini vile? Maana naona kuna kila dalili za kurudiwa. Naona akili zitarudi 2015 mkisukumiziwa upinzani.