Chadema kaeni chonjo! Moto huu hauzimiki leo ama kesho

Piga kazi kijana usitegemee wanasiasa watakupa maendeleo. Hata CHADEMA wakichukua nchi watagawa pesa au watakupa mkate kila siku?

ishu sio kupewa mkate. mabadiliko ni lazima ili tuanze kukimbia badala ya huku kutambaa ama kutembea tufanyako. vua gamba kijana.
 
Aaaa Sawa kumbe wenyewe wanachofanya ndicho hicho!!!!. So si vibaya maana maendeleo ndio yanasonga mbele. Na hiyo sasa inafanya CCM kuwa imara au sio?

soonest, wananchi watachagua mabadiliko ya kweli. wameshagundua kuwa maendeleo ya kweli, hata hivyo hayawezi kuletwa na chama kile kile (cha magamba), na sera zile zile, eti kwa hali, nguvu na kasi zaidi! 2015 lazima patachimbika.
 
Karibuni mikoani kama hamtapopolewa na mawe mpaka mtapike mali za wananchi mulizoiba.
 
ishu sio kupewa mkate. mabadiliko ni lazima ili tuanze kukimbia badala ya huku kutambaa ama kutembea tufanyako. vua gamba kijana.

Hivi wewe kweli kwa akili zako kabisa una uhakika CDM wanaweza wakaongoza nchi. Naomba ueleze kilicho moyoni mwako. Sina uhakika Mwakajana nilisikia CDM wamepewa pesa na nchi ya uholanzi kwa kuendesha mambo yao. Hivi unawajua waholanzi wewe? Wele ni makaburu. Be carefull. Mimi nimeona Zimwi likujualo halikuli likakwisha. Mi simo au unasemaje?

Sina uhakika na taarifa hizi. Kama kunamwenye taarifa sahihi anaweza nielewesha.
 
soonest, wananchi watachagua mabadiliko ya kweli. wameshagundua kuwa maendeleo ya kweli, hata hivyo hayawezi kuletwa na chama kile kile (cha magamba), na sera zile zile, eti kwa hali, nguvu na kasi zaidi! 2015 lazima patachimbika.

Unajua tunatakiwa tuwe realistic tujetukatishwa na mihemuko ya muda mfupi. Fikiria vizuri usifuate mkumbo eti kwa sababu vijana wanapenda CDM ndio ufuate na wewe kichwa kichwa tu. No use ur common sense.
 
nipeni deal ya kufanya crowd multiplication ya video ni zaidi ya ile ya jana ya photoshop nagonga kitu kama cha hollywood ikirushwa TBC uwanja wote umejaa:majani7:
 
CHADEMA jana wameshaelezwa kinaga ubaga, tunakwenda Tanzania nzima kuwaona wananchi na kuwaeleza ana kwa nana ukweli wa mambo ulivyo, siyo hawa jamaa wanaowajaza uongo.
Kwamba maisha ni magumu na mishahara haitoshi mtawaambia?
 
Lakini katika mioto kuna mioto
Je huo moto CDM unasaidia nn nchi? kama sio uchu wa kutaka madaraka?
Mimi sina msosi na nimelala njaa hao CDM wanakula je ninapata faida gani?
Tuwe wakweli kuzunguka huku na huku na kutoa maneno haina faida yoyo sisi tunataka maendeleo bwana.

Wajaribu japo kuleta maendeleo hata kijiji kimoja Singida ambako watu njaa inawaua. Maneno matupu hayavunji mfupa bwana. Je hapo unasemaje?
Kwanini hukwenda Jangwani jana? kulikuwa na msosi na 5000/= juu!
 
Lakini katika mioto kuna mioto
Je huo moto CDM unasaidia nn nchi? kama sio uchu wa kutaka madaraka?
Mimi sina msosi na nimelala njaa hao CDM wanakula je ninapata faida gani?
Tuwe wakweli kuzunguka huku na huku na kutoa maneno haina faida yoyo sisi tunataka maendeleo bwana.

Wajaribu japo kuleta maendeleo hata kijiji kimoja Singida ambako watu njaa inawaua. Maneno matupu hayavunji mfupa bwana. Je hapo unasemaje?

huna akili wewe, serikali ya ccm ndiyo inayokusanya kodi na kusimamia rasilimali za nchi hivo ina jukumu la lazima kuleta maendeleo kijiji kimoja singida na popote pale tanzania
 
siku zote bondia anayekwepa ngumi nyingi ndiye aliyepiwa.
mfano ipo mingi na ukiona anayekimbizwa ndiye kibaka
ukiona anayesutwa ndiye mbeya.
ukiona aliyetazama chini hajavaa nguo ndiye kafumaniwa.
ukiona aliyepanda kizimbani ndiye mshtakiwa.
ukiona anayepeleka watu uwanjani wakamshangilie hana sera.
ukiona mtu anaongea na watu waliovaa nguo za aina moja jua anawadanganya.
ukiona mtu anahutubia kundi la kina mama anatafuta huruma.
ukiona chama kinatumia makada watano wakati kina mawaziri 60 jua kimechoka.
ukiona mtu anaita barabara ni maendeleo badala ya nyenzo ya maendeleo ju kafilisika.
ukiona chama kinarudishiwa kadi baada ya wiki 2 jua kimenunua.
 
Imetulia!!!!
 
Manjitahidi kweli kuwadanganya watanzania, nimekutana na magari yaliyojaa watu kutoka bagamoyo je huko nako ni dar na kwanini muwkodishie magari kama wakuja kwa ridhaa yao wenyewe? poleni kwa kutumia nguvu nyingi kudanganya ila yetu macho yanona kuliko nyinyi muwazavyo.
CCM oyee! Ni furaha ilioje chama chetu kuweza kukonga mioyo ya wananchi wa DSM waliofurika viwanja wa Jangwani kwa utashi wao na mapenzi kwa chama.

Timu ya jana imetoa salamu tosha kwa CDM kwamba CCM bado ni kipenzi cha wana darisalama kutokana na utekelezaji wa miradi yenye tija kwa wananchi wa TZ. DSM ikiwa ni kiwakilishi cha makundi ya watz toka mikoa yote, uwepo wa makundi mbalimbali ya wananchi ni uthibitisho kuwa CCM ni chombo cha wote tofauti ya CDM chombo kinachomilikiwa na watu wa Kaskazini.

Ni faraja ilioje kuwa mkutano wa Jangwani itafuatiwa na mikutano mingine Kinondoni, Ilala na Temeke ili kuwapelekea wananchi neno la matumaini kabla ya 2015.

Mikutano ya Ilala, Kinondoni na Temeke itafuatiwa na mlolongo wa mikutano katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Kigoma, Manyara, Mbeya, Mwanza, Ruvuma, Shinyanga na Kumalizia Iringa, hapo mwaka 2012 utakuwa umeisha. Miaka 2013 - itakuwa zamu ya mikoa mingine ikiwa na mazishi rasmi ya CDM katika mikoa ya ukanda wa Ziwa.
TAFADHALI MWANA CCM kuwa wazi na jasiri kutetea chama chako; KWA KUVUA GAMBA NA GWANDA, VAA UZALENDO
 
Nyie pigeni kelele tu mnadhani wenzenu bado miaka ya 2010. Sasa hivi CCM inabadilika. Kinachotakiwa CDM wabadilishe mfumo wa sera zao maana kiukweli kelele za CDM kimewafanya CCM wanabadilika.

USHAURI:

Wanatakiwa CDM wabadilishe mfumo wa Sera zao la sivyo mwaka 2015 itakuwa hivi:-

CCM 75%
CUF 10%
NCCR 7%
CDM 5%
UDP 2.5%
Others 0.5 %

Kuweni chonjo watanzania wanaakili sio wajinga. Vyama vyote vinatakiwa kubadilika

TRUTH SHALL SET YOU FREE

Hata shehe Yahayah majini yake yasinge mpa figure za namana hii kwa kimbunga cha CDM
 
Nimefuatilia huu mjadala kwa marefu saana! hawa ni wachache teena wenye uwezo wakujua hata internet ni nin...wameshajua maisha ya sasa ya mtanzania yakiongozaw na ccm yalivyo..sasa piga kura za walio changia ccm na CDM then ujumlishe na ndugu na jamaa zao wote!! ni fact ndogo tuu: sasa Mungu amesema BASI!! waachane wawe huru!!
 
CCM oyee! Ni furaha ilioje chama chetu kuweza kukonga mioyo ya wananchi wa DSM waliofurika viwanja wa Jangwani kwa utashi wao na mapenzi kwa chama.

Hata sisi tulioko mikoani tuliona T-Shirt, kofia na kanga zikiwa mpyaaaa zimevaliwa, hatukuonywesha zikiuzwa pale CDM Square. Watu walipelekewa magari ya kuwasomba bure toka nje ya mji, je hivyo vyote unasema walikwenda kwa utashi wao?

Umejichanganya mwanzo wa post yako ukaharibu ulichokusudia kutuhabarisha! Kimbunga cha CDM kinawanyima usingizi.
 
Kelele za mpangaji hazimuahamishi mwenye nyumba; hamuishi kusema uongo na majungu 5000/= za kumlipa kila muandamanaji CCM watatoa wapi? Wanaccm wamejitokeza kwa mapenzi ya chama chao. Endeleeni tu kuleta hadithi za kutunga mara ohh michuzi kaleta usanii wa picha mara ooh wametoa 5000/= tutakula sahani moja kelele za majungu zilikuwa nyingi saana sasa mmebaki mnaweweseka!!!!!!

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Kweli Mafilili mlikonga jana. Mitaa ya kwetu huku jet lumo walikuwa wanachukua elf tano kila mwanachama mlangoni unaposhuka kwenye coaster iliyowapeleka na kuwarudisha.
Hiyo ndo ilani pekee mliyoweza kuitekeleza, TAKRIMA NA BAKSHISHI. POLE.

mestod, jana baa yangu ilijaa wateja wengi wote wamevaa njano na noti zao mpya za alfu 5. ila wakawa wanasema hela tumechukua ila kura ni siri ya mtu mwenyewe.
 
Lakini katika mioto kuna mioto
Je huo moto CDM unasaidia nn nchi? kama sio uchu wa kutaka madaraka?
Mimi sina msosi na nimelala njaa hao CDM wanakula je ninapata faida gani?
Tuwe wakweli kuzunguka huku na huku na kutoa maneno haina faida yoyo sisi tunataka maendeleo bwana.

Wajaribu japo kuleta maendeleo hata kijiji kimoja Singida ambako watu njaa inawaua. Maneno matupu hayavunji mfupa bwana. Je hapo unasemaje?

jaribu kuwa great thinker annael,
kati ya cdm na ccm nani kapewa jukumu la kukusanya kodi hapa nchini, nikimaanisha ridhaa ya kuongoza nchi? naomba jibu la swali hili.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom