Chadema hizi pesa mtalizipaje?

Hakuna awezaye kujibu hoja za Lissu, kama yupo ajitokeze na kukanusha huo ushahidi wake tuone kwani hata baadhi ya majaji walikuwa na malalamiko kibao, na huenda siku moja wakapinga yanayofanywa na huyo/hao mabosi wao kwa njia ya maandamano.

Ya LISU azishia Bandiko lake hapa tunajadili mengine au CHA arusha kiko kichwani nn?
 
Mkono wa Ole Sendeka kabla hajatimuliwa na Ole Milya kule Simanjiro...Lakini utakatika mapema.
 
Hakuna awezaye, cha msingi ni hoja..isaidie serikali kukanusha kwa njia ya hoja.
 
Kuwa na akili kidogo acha akili za kushikiwa

acha umbwisi wewe, Tumejitokeza kujibu maswali kama haya pale CHANNEL TEN, Cha ajabu NAPE anaulizwa maswali lakin anajiganyakanyaga cjui nani alimtuma apige simu. Naona ndo kawatuma na gazeti la MABWE. Kwendeni huko, na msisahau majibu ya TUNDU LISU.
 
Gazeti lolote linalofichua maovu ya CHADOMI linakuwa la kipuuzi ndio hivyo eee? Linaloisifia UMBEA na UNAFIKI wao linakuwa lakijanja si ndio maana yake

Sibishani na hoja toka kwa mtu asiyejua anasema nini...very stupid.
 
Bora wanaofugia nywele kuliko nyie mliojaza makamasi

Mkuu achana nao hao CHADEMA walaini kama Maini umewabana kwenye kona sasa wanakuanzishia matusi na hili sijukwaa lao wanakutafutia ban mkuu twende nao taratibu hawa vilaza waliopofuka na wakawa viziwi
 
Nape na team yake wawe makini na propaganda zao vinginevyo watajikuta wanakata mkono unaowalisha. Hiki kijigazeti ni cha CCM ya Nape, na kimekuwa kinaandika mambo ya kufedhehesha taaluma ya uandishi wa habari. Lakini hili la kuingiza serikali ya nchi nyingine kwenye propaganda za Tanzania linaonesha kufilisika kwa hoja kwa kiasi kikubwa sana.

Tanzania ni nchi ya tatu duniani kwa kupokea misaada, na Uingereza ndio wanaongoza kwa kutoa misaada Tanzania. Karibu asimilia thelathini (30%) ya bajeti ya serikali ya CCM inatolewa na serikali ya Uingereza. Nape na team yake ya SAUTI wanalijua hilo?

Membe alishajiingiza kwenye hizi siasa za maji taka, sasa naona hawa vijana wanarudia kosa, Diplomatically si jambo la heri, na mbaya zaidi unamsema mtu anayekulisha wewe na familia yako!
 
Gazeti la nani hilo.

Fanya uchunguzi Mkuu usiwe kama hawa Vilaza wa Chadomo wao kila linalosemwa kuhusu ULAGHAI UTAPELI na UFISADI wao si sahihi wao wanapenda kuandikwa kwa mazuri tu
 
Rumors, Rumors, Rumors, Rumors, Rumors, Rumors are carried by haters
spreaded by fools & accepted by
Idio*ts.
 
Chadema hawapiganii kukopeshwa hela, hoja iliyopo mezani haina mashiko.

Sera za chama hazijajielekeza katika kukopa ili kujenga chama ndani na nje ya nchi.

Sauti huru haiwezi kuwa huru,mpaka uhuru wanao ukumbatia wauainishe kwa vigezo.

Kama hoja zao ndo hizo,wateja wao watakuwa wasomaji wa Uhuru wa muda mrefu.

Kwa akili ya kawaida tu,gazeti la uhuru linajulikana ni lanani, kama wameuongezea neno SAUTI NA KUONDOA HERUFI "U" KATIKA UHURU na kufanya jina la gazeti lisomeke "SAUTI HURU " je hili litafanya gazeti hili kupendwa?
 
Baada ya kuona gazeti la uhuru halisomeki hata kwa bure, naona wameleta pacha wake. Hivi ninyi hizi pesa mnazotumia kuchapa gazeti kwa hasara wakati haliuziki ,nani anazilipa???
 
Tunashkuru sasa tumeanza kujua upande wapili wa CHADEMA
 
Baada ya kuona gazeti la uhuru halisomeki hata kwa bure, naona wameleta pacha wake. Hivi ninyi hizi pesa mnazotumia kuchapa gazeti kwa hasara wakati haliuziki ,nani anazilipa???

Kwa hiyo magazeti yanayofunua UCHAFU wa CHADOMO hayatakiwi?
 
Join Date : 6th August 2012
Posts : 57
Rep Power : 313
Likes Received5
Likes Given0
 
Back
Top Bottom