Chadema hizi pesa mtalizipaje?

credibility ya hili gazeti ikoje?

Haya magazeti ya msimu wa uchaguzi nayo yana mambo.

No comment kwa sasa.
 
What are talking about? Au sasa JF imekuwa ni gazeti la uhuru!!!!

Tiba
 
Watawala ni CCM, Sasa CDM itazilipaje hela zip? kutaja mnambwelambwela tu... zinatoka wap? sh ngap? na kwa nani? kwa makusud gan? hakuna majibu mpaka sasa...... sauti huru wanatafuta wateja tu, tusiwauhukumu wanajua walitendalo.

SINZA
CHAMA.
 
unajiuliza wewe mwenyewe na hao vilaza wenzako, usitujumlishe wote, watu tuna akili zetu tunajua wapi tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.
 
Hii nchi ilivyo ya ajabu, magazeti ya kijinga na kishenzi kama haya yanatamba mtaani, tena yakiwa na habari za kipuuzi na kijinga. Magazeti mahiri na makini yalikwisha fungiwa zamani sana. Huu ni ujinga, kuliacha hili gazeti na kulifungia mwanahalisi ni uendawazimu.
 
Gazeti lolote linalofichua maovu ya CHADOMI linakuwa la kipuuzi ndio hivyo eee? Linaloisifia UMBEA na UNAFIKI wao linakuwa lakijanja si ndio maana yake
 
unajiuliza wewe mwenyewe na hao vilaza wenzako, usitujumlishe wote, watu tuna akili zetu tunajua wapi tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.

Wee una akili au kuna watu wana kuremote? Jitambue kijana acha UZUZU jibu hoja acha kukurupuka
 
Hakuna awezaye kujibu hoja za Lissu, kama yupo ajitokeze na kukanusha huo ushahidi wake tuone kwani hata baadhi ya majaji walikuwa na malalamiko kibao, na huenda siku moja wakapinga yanayofanywa na huyo/hao mabosi wao kwa njia ya maandamano.
 
Back
Top Bottom