Je, kuna usalama kwenye pesa zinazohifadhiwa m koba?

J33

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,552
1,505
Vikundi vingi vya kusaidiana kwa sasa vimeamua kutumia M-Koba kama njia ya kuhifadhi pesa au kuchangisha.

Ni njia nzuri sana na yenye uwazi kwa wanachama wake.

Swala la msingi hapa ni usalama wa fedha hizi.

Kumekuwa na shida kukiwa na changamoto za miamala vodacom huwa wanasema wao ni mawakala tu ngoja wawasiliane na mkoba wenyewe....

Hii imekaaje?
 
Isije siku kikayukuta kitu... japo sidhan.. eeMungu epusha wooi natarajia kuvunja kibubu mwezi ujao tu.. kama hilo pepo emb lishindwe kiruu
 
M~Koba
Kumbe Vodacom Hawahusiki Na Hilo Jambo Naamini Ipo Siku Yaja
Watu Watalia Na Kusaga Meno Acha Tuone
Mr Kuku, Deci, Kalyanda Ilianza Hivi Hivi Baadaye Ikasepa Na Maokoto Ya Watu
 
Vikundi vingi vya kusaidiana kwa sasa vimeamua kutumia M-Koba kama njia ya kuhifadhi pesa au kuchangisha.

Ni njia nzuri sana na yenye uwazi kwa wanachama wake.

Swala la msingi hapa ni usalama wa fedha hizi.

Kumekuwa na shida kukiwa na changamoto za miamala vodacom huwa wanasema wao ni mawakala tu ngoja wawasiliane na mkoba wenyewe....

Hii imekaaje?
Nimebidi niufungue huu uzi haraka kwa kuona kichwa cha habari
Sipendi kuharibu biashara za watu ila hatutokaa turudie tena... mwaka mzima tunafuatilia hela yetu ambapo haijulikani ilipoenda..
Inaitwa "pack at ure own risk"
 
Mpaka leo mliipata au
 
Back
Top Bottom