Nani anachapisha pesa ya Tanzania?

Na ni bora zinaprintiwa ughaibuni - kupunguza uwezekano wa wajanja kuutumia vibaya kwa masilahi yao, na kuchangia pesa kushuka thamani!
 
Kuna kampuni moja ya kiswisi iliwahi kupewa tenda ya kuprinti noti mpya. Haijulikani kama bado wanaendelea na tenda hiyo au kuna kampuni nyingine
 
Back
Top Bottom