Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,804
- 71,231
Mwita wewe unajira gani unatumika kama tambala la deki tangu umepelekwa kata ya mianzini kwenda kuitetea chadema ukagongwa na chama kimekufa mianzini ndo basi tena ulidhani bongo ni moshi.Ukosefu wa ajira za kueleweka ndio umesababisha mkubali kuwa misukule ya lumumba kwa ujira wa buku saba tu per day. Hata hamjionei aibu kwa namna mnavyotumika?
Amani haijadiliwi! Kweli Kigaila?
Inaweza kuwa kweli CCM kupitia TCD imefadhili huu mkutano. Lakini sidhani kama hiyo ni sababu ya kususia.
Chadema inasema ina ushahidi usio na shaka kuhusiana na jinsi serikali ya CCM inavyohusika kueneza chuki na magomvi. Naamini mkutano kama huu ambao CCM wangehudhuria ni fursa ya Chadema kuyasema haya mbele ya CCM huku watu wengi wakisikia na kuchangia.
Njia moja nzuri ya kumjua adui yako ni kumweleza ukweli mbele yake, si kujificha kipembeni na kuanza kumsema ubaya wake.
Naamini Chadema wanapoteza nafasi nzuri sana ya kufanya kile ambacho kingeweza kuonyesha chama hicho kinasimamia nini katika suala hili.
Vema, Chadema imemua kutoshiriki mkutano huu kwa sababu ilizozitoa. je, chenyewe sasa kinadhani nini kifanyike ili kuiridisha nchi katika amani iliyopotea au iliyo katika hatari ya kupotea?
Hicho wanachodhani kinapaswa kufanyika, je, hii haikuwa nafasi ncuwi ya kukisema tena mbele ya wale ambao wanapaswa kutenda ili kutunza amani ya nchi?
Mkuu mwanakijiji kama kunachakula kunawatu wataenda kinyemela.Nawaunga mkono kabisa; hili ndilo lililopaswa kufanyika kuhusiana na mwaliko wa Ikulu/Ubalozi kwenye dhifa.
a. Mnakaa chini na kuchukua msimamo wa pamoja (ambao naamini ulipaswa kuchukuliwa wiki kadhaa kabla ya Obama kuja)
b. Mnawaambia waandishi wa habari kuwa mmepokea au hamjapokea (haina tofauti) mwaliko
c. Mnaelezea umuhimu na heshima ya Obama kuja Tanzania na mahusiano ya karibu na watu wa Marekani
d. Mnakataa kwa heshima na taadhima zote kwanini hamtoenda kwenye dhifa hiyo
e. Mnatoa sababu kama walivyofanya hapa kwa sababu sababu zilizotolewa hapa ni hizo hizo - la labda na ushahidi zaidi - ambazo zingetolewa.
Sasa kwa vile wamesahihisha kosa lile vizuri sana; natumaini msimamo huu hautakuwa na kigeugeu hadi baadhi ya mambo ambayo mnapigania yanatekelezwa vinginevyo waambieni tukutane 2015.
Ninyi ni mashahidi wa jinsi Waziri Mkuu Pinda alivyo mstari wa mbele katika kuhubiri kauli za chuki, uhasama, uchochezi, ubabe na ukiukwaji wa haki za binadamu nchini. Siyo mara moja wala mbili, Waziri Mkuu Pinda amesikika, tena ndani ya Bunge, akihamasiha vyombo vya usalama kuvunja sheria kwa kupiga, kuteka na kung'oa meno watu wanaotumia haki zao za kikatiba kushinikiza serikali kuchukua hatua dhidi ya maovu.
Tangu lini Kikwete ana hatimiliki ya Ikulu?
Hebu tupime hizi kauli za viongozi wa chadema
1.NCHI HAITATAWALIKA
2.kaskazini ijitenge
3.hadi damu imwagike
hizi ndio kauli za shari, ubabe, vitisho na zinazotishia usalama na amani ya nchi
TCD ni jumuiko la vyama vya siasa vyenye wabunge unaposema haikushirikisha taasisi za dini unamaanisha nini??? acheni uzuzu chadema
Vipi sura ya slaa imekaa kama nini hata kwenye aina ya viumbe vya mungu sidhani kama ipo,pinda anakunyima raha ee,pole pinda kaletwa na mungu utafanya nini wewe kidampa tu.Hii imekaa vizuri................ Pinda ni zaidi ya Gaidi. Roho ya Mizengo Pinda ni sawa na sura yake kabisa.