CHADEMA: Hatutashiriki Kongamano la Amani la TCD, limefadhiliwa na CCM!

Naunga mkono hoja, Mtwara watu wananyanyaswa kama wahamiaji haramu kisa gesi harafu leo wanataka kukaa Dar wakila bite na kunywa maji ya kopo eti kongamano la amani.Huu ni unafiki mkubwa sana hivyo, nakubaliana na maamuzi ya CHADEMA-Makao Makuu!
 
CHADEMA, hili jambo la kitaifa na halihitaji itikadi.

Iweje leo ndio mjue kuwa 'serikali' ndio muhusika wa kubomoa amani halafu kwenye dhifa ya serikali MBOWE kama mwenyekiti wa CHADEMA ashauriwe na Dr Slaa ajumuike?

This is insanity. CHADEMA you're not ready.
Mkuu hamy yawezekana kesho hakuna msosi ndiyo maana hawaendi jamaa na msosi damudamu.

Lakini pia wao wanahubiri vurugu na mada za kesho zitakuwa zinahusu amani kwa hiyo si zao any way tuendelee kuwapa shule ili vichwa vyao vifunguke .
 
CDM hizi ndizo statements bold tulizozizoe zikitoka kwa waelewa kama nyinyi.Msikubali kutumika kama maji ya kunawa wachinjaji wa binadamu mbele ya dunia.
 
Mnatoa matamko halafu mwenye chama anaibukia. Baadae mnakuja kugeuza maneno. Hiki sio chama tena bali ni kikundi cha wasanii wa bongo movie
 
Ukosefu wa ajira za kueleweka ndio umesababisha mkubali kuwa misukule ya lumumba kwa ujira wa buku saba tu per day. Hata hamjionei aibu kwa namna mnavyotumika?

nyie ni washari watanzania tumeshawajua, hamuwezi kushiriki kujenga amani ya nchi

TCD ni jumuiko la vyama vya siasa vyenye wabunge unaposema haikushirikisha taasisi za dini unamaanisha nini??? acheni uzuzu chadema

chama cha vurugu na mauaji na maandamano na matamko na shari

mtaandamana kuelekea wapi kwa hiyo

Bora msiende tu make mtaanza kutukana tu hatimaye kuharibu mkutano,vipi mandamano hamtafanya make ndiyo zenu.

Hebu tupime hizi kauli za viongozi wa chadema
1.NCHI HAITATAWALIKA
2.kaskazini ijitenge
3.hadi damu imwagike

hizi ndio kauli za shari, ubabe, vitisho na zinazotishia usalama na amani ya nchi

Kwanza kunawengine wanatembea na sumu bora wasiende ili wasiende kudhuru watu wasiokuwa na hatia kwanza hata mngeenda mkeongea nini wakati hamna hoja zaidi ya matusi.

mtu aliyejaa chuki fitna na mpenda vurugu utamjua matendo yake tu, amejaa unafki na amevaa sura ya kondoo wakati ndani ni muuaji. huwezi kususia kongamano la amani ukaendelea kujiita ww ni chama cha kuhubiri amani na demokrasia

tumeshawaju wazee wa maandamano na mauaji.
 
CHADEMA, hili jambo la kitaifa na halihitaji itikadi.

Iweje leo ndio mjue kuwa 'serikali' ndio muhusika wa kubomoa amani halafu kwenye dhifa ya serikali MBOWE kama mwenyekiti wa CHADEMA ashauriwe na Dr Slaa ajumuike?

This is insanity. CHADEMA you're not ready.

View attachment 101340
Uwezo wa kugundua mambo ya msingi ni mdogo mno. Pole sana
 
Naunga mkono hoja, Mtwara watu wananyanyaswa kama wahamiaji haramu kisa gesi harafu leo wanataka kukaa Dar wakila bite na kunywa maji ya kopo eti kongamano la amani.Huu ni unafiki mkubwa sana hivyo, nakubaliana na maamuzi ya CHADEMA-Makao Makuu!
Wanaopokea kichapo mtwara siyo watu ila ni jamii wa watu waliotaka kujifanya watu wakaleta za kuletwa wakaota mapembe sasa yanakatwa na bado.
 
nyie ni washari watanzania tumeshawajua, hamuwezi kushiriki kujenga amani ya nchi

Gharama ya unafiki ni kubwa sana, nawaunga mkono CDM ktk hili, amani ya nchi yetu ni zaidi ya vyama vya siasa.
Sioni mantiki ya CCM kuhubiri amani mchana wakati usiku wao ndio wachochezi na wanaoligawa Taifa letu kwa kupandikiza chuki za kidini na kikanda.
 
Amani haijadiliwi! Kweli Kigaila?
Inaweza kuwa kweli CCM kupitia TCD imefadhili huu mkutano. Lakini sidhani kama hiyo ni sababu ya kususia.
Chadema inasema ina ushahidi usio na shaka kuhusiana na jinsi serikali ya CCM inavyohusika kueneza chuki na magomvi. Naamini mkutano kama huu ambao CCM wangehudhuria ni fursa ya Chadema kuyasema haya mbele ya CCM huku watu wengi wakisikia na kuchangia.
Njia moja nzuri ya kumjua adui yako ni kumweleza ukweli mbele yake, si kujificha kipembeni na kuanza kumsema ubaya wake.
Naamini Chadema wanapoteza nafasi nzuri sana ya kufanya kile ambacho kingeweza kuonyesha chama hicho kinasimamia nini katika suala hili.
Vema, Chadema imemua kutoshiriki mkutano huu kwa sababu ilizozitoa. je, chenyewe sasa kinadhani nini kifanyike ili kuiridisha nchi katika amani iliyopotea au iliyo katika hatari ya kupotea?
Hicho wanachodhani kinapaswa kufanyika, je, hii haikuwa nafasi ncuwi ya kukisema tena mbele ya wale ambao wanapaswa kutenda ili kutunza amani ya nchi?


Pili, Chadema haitashiriki mkutano huo kwa kuwa Amani haijadiliwi. Amani inatengenezwa na kuwapo kwa mazingira ya haki na usawa; na kwamba aliyebobea katika uvunjaji wa haki hizo, ni serikali yenyewe.
Katika mazingira haya, CHADEMA inaona hakuna umuhimu wa kushiriki kwenye mkutano ambao washiriki ni wale wale wanaotuhumiwa kuvunja haki za binadamu.
 
big up!

Hatua hii ni sahihi kabisa. Huwezi kujadili au kufanya jambo ambalo ndani yake kuna unafiki.

Hatua hii ni muhimu sana na ni sahihi CDM iliyochukua
 
naunga mkono huo ni uamuzi sahihi. unafiki wa ccm na kikwete ni lazima uwekwe wazi na kujiepusha nao
 
46 Reactions
Reply
Back
Top Bottom