Mkuu hamy yawezekana kesho hakuna msosi ndiyo maana hawaendi jamaa na msosi damudamu.CHADEMA, hili jambo la kitaifa na halihitaji itikadi.
Iweje leo ndio mjue kuwa 'serikali' ndio muhusika wa kubomoa amani halafu kwenye dhifa ya serikali MBOWE kama mwenyekiti wa CHADEMA ashauriwe na Dr Slaa ajumuike?
This is insanity. CHADEMA you're not ready.
nyie ni washari watanzania tumeshawajua, hamuwezi kushiriki kujenga amani ya nchi
TCD ni jumuiko la vyama vya siasa vyenye wabunge unaposema haikushirikisha taasisi za dini unamaanisha nini??? acheni uzuzu chadema
chama cha vurugu na mauaji na maandamano na matamko na shari
mtaandamana kuelekea wapi kwa hiyo
Bora msiende tu make mtaanza kutukana tu hatimaye kuharibu mkutano,vipi mandamano hamtafanya make ndiyo zenu.
Hebu tupime hizi kauli za viongozi wa chadema
1.NCHI HAITATAWALIKA
2.kaskazini ijitenge
3.hadi damu imwagike
hizi ndio kauli za shari, ubabe, vitisho na zinazotishia usalama na amani ya nchi
Kwanza kunawengine wanatembea na sumu bora wasiende ili wasiende kudhuru watu wasiokuwa na hatia kwanza hata mngeenda mkeongea nini wakati hamna hoja zaidi ya matusi.
mtu aliyejaa chuki fitna na mpenda vurugu utamjua matendo yake tu, amejaa unafki na amevaa sura ya kondoo wakati ndani ni muuaji. huwezi kususia kongamano la amani ukaendelea kujiita ww ni chama cha kuhubiri amani na demokrasia
tumeshawaju wazee wa maandamano na mauaji.
CHADEMA, hili jambo la kitaifa na halihitaji itikadi.
Iweje leo ndio mjue kuwa 'serikali' ndio muhusika wa kubomoa amani halafu kwenye dhifa ya serikali MBOWE kama mwenyekiti wa CHADEMA ashauriwe na Dr Slaa ajumuike?
This is insanity. CHADEMA you're not ready.
Wanaopokea kichapo mtwara siyo watu ila ni jamii wa watu waliotaka kujifanya watu wakaleta za kuletwa wakaota mapembe sasa yanakatwa na bado.Naunga mkono hoja, Mtwara watu wananyanyaswa kama wahamiaji haramu kisa gesi harafu leo wanataka kukaa Dar wakila bite na kunywa maji ya kopo eti kongamano la amani.Huu ni unafiki mkubwa sana hivyo, nakubaliana na maamuzi ya CHADEMA-Makao Makuu!
angalia slaa asije kukukanaTunaongelea Kongamano Kamanda na sio Taasis iliyoandaa
Mkuu picha mbona ya dk.........s.....l.....a.....a au umemsahau angalia vizuri mkuu.View attachment 101340
Uwezo wa kugundua mambo ya msingi ni mdogo mno. Pole sana
Lakini hakwenda ubalozi wa Marekani, alienda Ikulu ya Kikwete sio?
nyie ni washari watanzania tumeshawajua, hamuwezi kushiriki kujenga amani ya nchi
Amani haijadiliwi! Kweli Kigaila?
Inaweza kuwa kweli CCM kupitia TCD imefadhili huu mkutano. Lakini sidhani kama hiyo ni sababu ya kususia.
Chadema inasema ina ushahidi usio na shaka kuhusiana na jinsi serikali ya CCM inavyohusika kueneza chuki na magomvi. Naamini mkutano kama huu ambao CCM wangehudhuria ni fursa ya Chadema kuyasema haya mbele ya CCM huku watu wengi wakisikia na kuchangia.
Njia moja nzuri ya kumjua adui yako ni kumweleza ukweli mbele yake, si kujificha kipembeni na kuanza kumsema ubaya wake.
Naamini Chadema wanapoteza nafasi nzuri sana ya kufanya kile ambacho kingeweza kuonyesha chama hicho kinasimamia nini katika suala hili.
Vema, Chadema imemua kutoshiriki mkutano huu kwa sababu ilizozitoa. je, chenyewe sasa kinadhani nini kifanyike ili kuiridisha nchi katika amani iliyopotea au iliyo katika hatari ya kupotea?
Hicho wanachodhani kinapaswa kufanyika, je, hii haikuwa nafasi ncuwi ya kukisema tena mbele ya wale ambao wanapaswa kutenda ili kutunza amani ya nchi?
hivi ndugu yangu wewe kula yako ni wapi?Ukosefu wa ajira za kueleweka ndio umesababisha mkubali kuwa misukule ya lumumba kwa ujira wa buku saba tu per day. Hata hamjionei aibu kwa namna mnavyotumika?
tangu 2005 mpaka 2015.Tangu lini Kikwete ana hatimiliki ya Ikulu?