Unajua nini. Lazima uwe fisadi ili kuaminisha watu kwamba Watanzania wamechoshwa na kelele za ufisadi. Afadhali ungesema kuwa serikali ya sasa imechukua juhudi makini kupambana na ufisadi na inaonekana hivyo, dhana yako ingekuwa na mantiki. Mnataka kusahaulisha watu ufisadi unaondelea ili muendelee kuifisidi nchi bila kukosa usingizi. Taa yenu tunayo na tunawamulika madirishani mnapolala.Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.