Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,599
- 368
Hao wadadisi wa mambo ya siasa ni akina nani? REDET, SYNOVATE AU wewe mwenyewe? sisi huku kwetu Bugula ChaDeMa ndio chama tawala sijui huko kwenuWadadisi wa mambo ya kisiasa wameanza kuhoji ni wapi kasi hiyo imeyeyeka ghafla na kukipa nafasi tena CCM kuanza kutamba katika maeneo mbali mbali nchini.
Hali hiyo ya kuanza kudorora kwa Chadema imelezwa pia kukikumba chama cha CUF kupoteza mvuto.
Chadema inatakiwa ibadili sera zake na falsafa mpya za kuendelea kuwashawishi Watanzania.