Chadema, CCM yametimia

Gud analysis mkuu ritz.
Tatizo la mashabiki na wanachama wa CDM hawayaoni haya. Kila siku chama kinazidi kudorora, wanashindwa kwenye chaguzi ndogo mbali mbali kwa tofauti kubwa, lakini halion hili!
Kazi kuimba tu Slaa, Slaa, Slaaa..
2Q==
images
images
 
Watatanzania wa mwaka 1995 na 2000 siyo wa leo. Mtoa mwenyewe anafahamu hilo ndiyo maana ccm hawalali. Uongozi wa Mkapa ni tofauti na huu ndiyo maana watu walirudi ccm tofauti na leo, na pia wengi sasa wana elimu ya uraia tofauti na enzi zile. Ukiniambia ccm wameogeza umaarufu kwa kuwaua raia wasio na hatia na kuwabambikia kesi hapo ninaweza kukubaliana na wewe, maana wanawatumia polisi vibaya.
 
Ni
Ni ushindi mkubwa! ukichukulia CHADEMA haikuwa ikitambulika vizuri maeneo hayo kabla! Mbona hujaweka matokea ya Igunga!

Hivi unajua kama Chadema uchaguzi mkuu walipata kura nyingi Uzini, kuliko hizi walizopata. walipomsimamisha mgombea ubunge...tena walishika nafasi ya pili nyuma ya CCM.
 
Wanabodi..
Mwenendo wa kisiasa, kati ya watani wa jadi CCM na Chedema sasa umeanza kuzua mijadala ndani ya jamii.

Wananchi wanahoji iko wapi kasi na upepo wa mabadiliko ilikuwa nao Chadema mwaka 2010 na mwaka jana ilikoyeyukia.

Huku CCM kilichokuwa kimeanza kudorora sasa kikionekana kupaa zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi.

Mwamko wa Chadema ulianza kushika kasi mara baada ya Slaa, kuteuliwa kugombea Urais, mwamko huo uliendelea hata baada ya uchaguzi, na hasa baada ya chama hicho kuamua kufanya siasa zake kwa njia ya maandamo mikoa ya Kanda ya Ziwa hadi Nyanda za Juu Kusini.

Wadadisi wa mambo ya kisiasa wameanza kuhoji ni wapi kasi hiyo imeyeyeka ghafla na kukipa nafasi tena CCM kuanza kutamba katika maeneo mbali mbali nchini.

Hali hiyo ya kuanza kudorora kwa Chadema imelezwa pia kukikumba chama cha CUF kupoteza mvuto.

Chadema inatakiwa ibadili sera zake na falsafa mpya za kuendelea kuwashawishi Watanzania.
wewe unaishi nchi gani?? hivi harakati zinazoendeshwa na bwana Heche mikoa mbalimbali huzioni?? akina mnyika na zitto Tanga huzioni?? Tafrani za igunga uzini na sasa arumeru huzioni?? au unataka maandamano tuu ndio ujue chama kipo hai?? pia chama kinathmini kujipambanua kwake kumepokeleaje na wapi pa kuongeza nguvu!! ccm wanatamba kwa rushwa, na ufisadi, na kuchota pesa hazina watakavyo, na kutumia jeshi la polisi kuuwa raia lakini hawatambi kwa kutetea maslahi ya wananchi au kuwaletea maendeleo..
 
Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.

CDM kitaendelea kufunua kila aina ya uozo mpaka mafisadi na ufisadi ukwishe kama si kutoweka kabisa.. Na ni nani kakwambia kuwa ccm inakuja juu!!! Kwa lipi hasa serikali ilofanya mpaka ikubalike, maisha yako juu, uchumi uko hovyo,serikali inauwa raia wasio kuwa na hatia moja kati ya mambo yanafanya watu tuichukie serikali, ww ritz huelewi unachokizungumza.
 
Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.
Wewe inakuhusu nini kama sera zao CDM haziwasaidii wenyewe?
 
Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.

Tutalalamika na UFISADI haadi utokomezwe kabisa. Subirini 2015 CDM iingie ikulu, wewe na baba yako inabidi muhame nji hii.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Wanabodi..
Mwenendo wa kisiasa, kati ya watani wa jadi CCM na Chedema sasa umeanza kuzua mijadala ndani ya jamii.

Wananchi wanahoji iko wapi kasi na upepo wa mabadiliko ilikuwa nao Chadema mwaka 2010 na mwaka jana ilikoyeyukia.

Huku CCM kilichokuwa kimeanza kudorora sasa kikionekana kupaa zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi.

Mwamko wa Chadema ulianza kushika kasi mara baada ya Slaa, kuteuliwa kugombea Urais, mwamko huo uliendelea hata baada ya uchaguzi, na hasa baada ya chama hicho kuamua kufanya siasa zake kwa njia ya maandamo mikoa ya Kanda ya Ziwa hadi Nyanda za Juu Kusini.

Wadadisi wa mambo ya kisiasa wameanza kuhoji ni wapi kasi hiyo imeyeyeka ghafla na kukipa nafasi tena CCM kuanza kutamba katika maeneo mbali mbali nchini.

Hali hiyo ya kuanza kudorora kwa Chadema imelezwa pia kukikumba chama cha CUF kupoteza mvuto.

Chadema inatakiwa ibadili sera zake na falsafa mpya za kuendelea kuwashawishi Watanzania.

Mimi nimekuelewa kweli chadema wasipotafuta strategy nyingine ya kuhakikisha operesheni zao zinawekwa kwenye vyombo vya habari wananchi watajua hawafanyi kitu wakati Naibu Katibu Mkuu wa Chadema yuko Tanga kwa wiki sasa habari zake hazijatangazwa na chombo chochote cha television wala radio,angalau baadhi ya magazeti wanaripoti
Lakini kila siku ukifungua TV station zote kubwa zinataarifa za Waziri Mkuu,Makamu wa Raisi,Aggrey Mwanri ,
Hili timbwili linahitaji kufanyiwa kazi
 
Mwananchi wa kawaida wa huko vijijini, mfano wa Igunga, Uzini au hata Arumeru wanakojiandaa na uchaguzi mdogo, haoni madhara ya ufisadi, Ufisadi mnaujua nyie wa mjini yule wa mjini ana kero zake kutopata maji safi na salama, huduma ya afya, soko la uhakika la kuuzia mazao yake.

Eti mwananchi wa kawaida??? Kwa hiyo wewe Ritz siyo mwananchi wa kawaida siyo??

Halafu unadiriki kusema hawajui madhara ya ufisadi kwa vile wako vijijini........... Wewe wa mjini unayajua?? Kwa vile unadai kero zao ni maji safi, huduma za afya, blah, blah blah... wewe mwenzetu wa mjini kero zako ni ni??

Kwa hiyo Ritz unataka kusema mjini wana maji safi na huduma bora za afya siyo?? Jifunze namna ya kupiga propaganda!!
 
Ushauri wa bure. Anayeutaka ataubeba, na asiyeutaka ataupotezea.

Nilitaka kuipotezea lakini Mungu amenikataza kwamba nisipotezee ufisadi bila majibu maana mimi si miongon mwa wale waliopotezea falsafa MAGAMBA.PIGA VITA MAFISADI MPAKA KIELEWEKE.KUHUSU CDM MUULIZE JJM ATAKUELEZA GIA NAMBA NGAPI INAFUATA KTK UJENZI WA CDM? Wanachama wamehold secret mpaka viongozi watamke maana si kila mtu msemaji ktk CDM.
 
Kwa hali ilionekana katika kampeni kwenye chaguzi ndogo viongozi wa Chadema kuacha kuzungumzia hoja za nini watawafanyia wananchi iwapo watawachagua.

Na badala yake kumuandama mgombea mpinzani kuwa fisadi, halipi kodi, hizi ni hoja dhaifu sana na ndio tunazitegemea Arumeru Mashariki.
 
Wanabodi..
Mwenendo wa kisiasa, kati ya watani wa jadi CCM na Chedema sasa umeanza kuzua mijadala ndani ya jamii.

Wananchi wanahoji iko wapi kasi na upepo wa mabadiliko ilikuwa nao Chadema mwaka 2010 na mwaka jana ilikoyeyukia.

Huku CCM kilichokuwa kimeanza kudorora sasa kikionekana kupaa zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi.

Mwamko wa Chadema ulianza kushika kasi mara baada ya Slaa, kuteuliwa kugombea Urais, mwamko huo uliendelea hata baada ya uchaguzi, na hasa baada ya chama hicho kuamua kufanya siasa zake kwa njia ya maandamo mikoa ya Kanda ya Ziwa hadi Nyanda za Juu Kusini.

Wadadisi wa mambo ya kisiasa wameanza kuhoji ni wapi kasi hiyo imeyeyeka ghafla na kukipa nafasi tena CCM kuanza kutamba katika maeneo mbali mbali nchini.

Hali hiyo ya kuanza kudorora kwa Chadema imelezwa pia kukikumba chama cha CUF kupoteza mvuto.

Chadema inatakiwa ibadili sera zake na falsafa mpya za kuendelea kuwashawishi Watanzania.

hauna jipya,another simple minded agent at work.
 
Ritz anaipenda sana CHADEMA. Hataki kuona chama hiki kinapoteza mvuto, kinasinzia wala kubweteka. Ndivyo ninavyoitafsiri thread hii. Nadhani yuko sahihi kwa maana kwamba tumaini hili pekee la upinzani likitoweka ni kazi ngumu kupata mbadala.
 
Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.

Mkuu ni kweli kelele za ufisadi zinawaumiza sana CCM na wao wamepanda chati kwa kuzikumbatia. Na sasa mna style mpya ya kupanda chati kwa kuua watu bila hatia mifano ni kule mbeya, mgomo wa ma Dr na sasa Songea. CCM kweli mmepanda chati hasa hasa kwa kuifilisi nchi na mikataba mingi ya mafuta na gesi halaf mnawasingizia Alshabaab eti ndo wanaongeza bei ya mafuta nchini na kusababisha mfumuko wa bei.
CCM ni noma
 
CCM oyeeeeeee!!
Kidumu chama cha mapinduzi!
Hata kama hautaitikia, ila habari ndio hiyo.
 
Ritz anaipenda sana CHADEMA. Hataki kuona chama hiki kinapoteza mvuto, kinasinzia wala kubweteka. Ndivyo ninavyoitafsiri thread hii. Nadhani yuko sahihi kwa maana kwamba tumaini hili pekee la upinzani likitoweka ni kazi ngumu kupata mbadala.

Mkuu wa WildCard,
Nashukuru kwa kunisoma kwa makini.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom