NGUVUMOJA
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,347
- 325
Ushauri wa bure. Anayeutaka ataubeba, na asiyeutaka ataupotezea.Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.