CHADEMA acheni siasa za majitaka, Dk Mary Mwanjelwa hajazomewa

huyu mama namjua sana, ni form six failure, alikua ana degree ya kizushi ya chuo kikuu swazi aliyopewa na mwalimu mtanzania aliyekua akiishi huko, walikua pamoja. ni tapeli mfano hakuna. profession yake ninayoijua mimi ni secretary mvivu asodhamini kazi. hata huko PSI alipata kazi baada ya kupata vyeti vya kununua.
alisoma miaka miwili tu chuo gani sijui mjini, ghafla akapata u Dr. wala sikushangaa maana namjua yuko tayari kuvuliwa chupi kwa chochote kitachompa manufaa. ana watoto wawili wavulana kazaa na wazito wawili ambao nawahifadhi.


Mtoa thread, Mary Mwanjelwa sio Dk for your info. Najua ni ugonjwa wa magamba wa kupenda tittle ya u-Dk.
Hadi anatoka pale PSI mwisho wa 2010, she was doing just Advocacy issues, na yeye si MD na wala hakuwa na PhD and hakuwa anasoma any PhD course, may be atakua ameenda masomo ya PhD ya VODA FASTA, kama za kina magamba.
 
Nimekukubali...unamjua vizuri huyu mama. mengine tuyaache mkuu maana tukiandika sana tutamdhalilisha sana huyu mama.

Hii nchi ni ya ajabu sana, pamoja na uwananmke wake na viti maalumu vya uchupi, inawezekanaje mtu aliyeiba tena mataulo hotelini Arusha akathubutu kutaka kuongea na wananchi na mkataka ashangiliwe? anajua nini kuhusu katiba huyu mama? je hajui kwenye katika tumeongelea values za ungozi? kama angeijua angeachia kwanza hiyo nafasi alioyoipata kwa njia za panya na ambayo inaongeze kutunyonya wananchi kwa starehe zao. Very good wana mbeya wapeleke upumbavu wao huko huko walikokuzoea sio mbeya, ndagha mubhombile bhatata, ndagha bha mama mulobwike. Mary mama huna heshima katika jamii, umepata ubunge kwa njia zisizofaa, umechakachua Phd kwa kulipia pale kwa mama Lwakatare, hata PSI ulikokua habari zako tunazotele ukiwatisha wazungu kwamba wewe ni partner wa jamaa, nao wakakuweka tu ili mradi siku zako ziishe, jambo pekee nalo lliheshimi ni jinsi ulivyoweza kujitoa kwenye u secretary, kufoji elimu katika kila level ikiwemo ya kuandikiwa thesis na waganga njaa eti ya chuo cha diplomasia (masters) nasikia kinyaa hawa ndio wabunge wetu katiba unayoipigia debe ifute nafasi hizi zilizojaa harufu ya ufuska na kugeuza bunge letu kuwa ......industry
 
Jamii forum ni sehemu huru ya kutoa mawazo binafsi lakini mmh! Imegeuka sehemu ya matusi, kashifa, fitina na majungu. Mtu anaongea chochote anachojisikia hata kama haina ukweli, na hii sio njema kumdhalilisha mtu ni kukiuka haki yake. Kila mtu anahitaji heshima, kuna mambo ya public lakini pia kuna mambo binfsi ya mtu ambayo hapaswikuingiliwa na kuamliwa na yeyote. Tafadhali ndugu zangunidhamu na kuheshimiana kutawale sio mambo hayo una kuwa ni ujinga sasa kama tutaendelea hivi na matusi
 
Kumezuka madai kwamba Mbunge wa viti maalum (ccm) mkoa wa Mbeya, Dk.Mary Mwanjelwa amezomewa na wananchi wakati wa ziara yake aliyoifanya Jijini Mbeya leo na kuzungumza na wananchi wa Mwanjelwa na Sido juu ya mchakato wa katiba. Mimi siyo kwamba nina maslahi yeyote kwa Dk. Mwanjelwa lakini jamani tuache uongo Chadema wamezusha uongo huo tu kutokana na siasa zao ambazo nazichukulia kama ni siasa za majitaka.

Chadema tuache wivu, mbunge huyu siyo kwamba namfagilia lakini ukweli ni kwamba ni mchapakazi mzuri na mkutano wake ulikuwa wa amani na mimi nilikuwepo na wananchi walimshukru sana kwa ahadi aliyotoa ya kwenda kuonana na Mkurugenzi wa Jiji ili tatizo la ubovu wa barabara liweze kupatiwa ufumbuzi. Katika mkutano wake wananchi walimuuliza maswali na yeye aliyajibu kwa umakini mkubwa.

Mwanadada huyu kiukweli anakubalika sana Mbeya, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni tungekuwa na wabunge watano wanawake kama huyu dada kichwa tungefika mbali anafanyakazi zake kwa vitendo na kwa umakini, anatekeleza ahadi zake kwa vitendo bila bulabula. Sijui ni watu gani wataongea uzushi kuhusu huyu dada huyu.

Tusifukue makaburi
 
Back
Top Bottom