eliesikia
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 787
- 755
Mtoa thread, Mary Mwanjelwa sio Dk for your info. Najua ni ugonjwa wa magamba wa kupenda tittle ya u-Dk.
Hadi anatoka pale PSI mwisho wa 2010, she was doing just Advocacy issues, na yeye si MD na wala hakuwa na PhD and hakuwa anasoma any PhD course, may be atakua ameenda masomo ya PhD ya VODA FASTA, kama za kina magamba.
kaka nakubaliana na ww ndio maana nilitoka speed mpaka kwenye web ya parliament pale kaandika kuwa aliopoa masters ya bure toka saut 2009. sasa kwenye web kaandikwa dokta toka 2010 halafu eti firstname imeandikwa dr mary... sijui PhD imekuwa miaka mingapi huko maana 2009 mpaka 2010 mtu awe dokta?!!! tafadhalini saana. i am in one of the best public versity hapa lakin sijawahi ona hata prof kajiandika hivyo.... um so worried bora walivyomzomea... aksanten saaana warusha mawe wa Mbeya