CHADEMA acheni kupoteza muda, Tamko lishatolewa na Mtei

Ni kweli nauunga mkono 100% kuna udini ktika uteuzi wa wajumbe haiwezekani Tanganyika kukawa na wajumbe 4 tu waislam kati ya wajumbe 15, siungi mkono kabisa katika hili, ilitakiwa kuwena 7 kwa 7 na mmoja awe mpagani ili haki itendeke.
Upumbavu utakuua si muda mrefu. Kwa ujinga wako unaziona dini mbili tu katika nchi yetu.
 
Hamna haja ya kusbishana na pro-CCM ambao siku hizi wakisikia CHADEMA au mtu yeyote akimtaja mungu basi kwao inakuwa kama umewatusi hadi wanakuombea ban kwa mods. KAZI KWELI KWELI!

Watu wa pwani tuna msemo wetu....ukisikia mtu anakuambia "wenzako wanahesabu nazi, we unahesabu makumbi..!" fahamu kwamba ameshakudharau kwavile upo off-point!!! Akikuheshimu sana, atakuambia "Wenzako wanahesabu nazi, we unahesabu koroma!"
 
Nadhani ni hatari sana tukiangalia kila kitu kupitia dirisha la dini...wanaweza wakachaguliwa wajumbe wote kutoka bara wakristu na kama kawaida wote kutoka zanzibar waislam lakini product ya mwisho ikawa mbovu...! Cha msingi ni kuzingatia uadilifu wa wajumbe...! Mimi haitaniumiza hata kama wajumbe wote ni waislam as long as kuna uhakika wa kupata katiba nzuri...!
sweke34, huku bara tunabanwa kwamba kuna wajumbe wengi wakristo, sasa nimetizama nikaona kuwa kwenye kutafuta katiba ya Tanzania, waislam ndo wengi, so this is to "counter attack"
 
Huyu mtu anaitwa PASKO ni nani hasa kati ya watanzania miliona45?.

ni kweli kabisa hiyo tume inawalakini,haiwezekani tume kati ya wati 15 wa 4 tu ndiyo wakristu,hapo lazima twe na wasiwasi sana tu. Mimi siyo mkristu lakini hawa wenzetu lazima wawe na wasiwasi kwa uchaguzi huu. Tuweke embeni hisia zetu na utofati wetu na tutendee wenzetu haki.ingekuwa ni sisi waislamu ninavyo jua tungepiga kelele misikitini mpaka basi.nisawa tume pendelewa lakini pendeleo hu sio wa haki tunahitaji uwasawa katika kila eneo.hi ni katiba ya wananchi wote,nani moyo wa nchi tunataka itungwe kwa makini na isiache lawama kwa hata mmoja wetu.nilifahamu hili lazima litokee,sicho taka kutendewa usintendee mwenzako na kkimbilia HOJA YA UDINI,

Hoja hii niya msingi wenzetu wasikilizwe.
 
Katika mchakato huu wa kutunga katiba mtu yeyote anayejenga hoja zake kwa kutumia any demographic variable hafai kusikilizwa!
Lakini ni kweli kuwa hakuna ama huamini kwamba kuna watu wanaoqualify in "variable demographics"?

Kama ni kweli kwamba kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusiana na hizo "demographics" kwenye uteuzi, je ni sawa kulifumbia macho?

Huoni kama tusipozungumzia tunaweza kupata katiba itakayotuletea matatizo zaidi?
 
yeyote anaeingalia tume ya katiba kwa mising ya dini za wajumbe wake huyo ni kirusi asiyeitakia mema TANZANIA YETU...tumuogope huyu mzee

Kimsingi almost wajumbe wote ni waislamu. Lazima kuna ajenda ya siri hapa. Yeyote anayejifanya haoni hii atakuwa muislam pia hivyo anatetea waislam wenzake.

Huu udini ni mbaya sana, ikizingatiwa anayefanya hivi ni Rais mwenyewe. Narudia tena karibuni wajumbe wote ni Waislamu, hapa kutakuwa na maslahi ya waislamu au wanataka katiba kama ya Nigeria na nchi nyingine za Kiislamu.

Siungi mkono wajumbe wengi kuwa waislamu.
 
Jamani,as far as things are settled tusiishie kukosoa tu.tusifie pia na mazuri.
Huyu mzee Mtei kumbe ni mdini kiasi hicho eti anasema wajumbe wa Tanzania Bara kuna Wakiristo na wengine hawana dini nimemuliza tutajie hao ambao hawana dini kakimbia thread yake hawa wazee ndio wamelifikisha hapa taifa letu.
 
Huyu mtu anaitwa PASKO ni nani hasa kati ya watanzania miliona45?.

ni kweli kabisa hiyo tume inawalakini,haiwezekani tume kati ya wati 15 wa 4 tu ndiyo wakristu,hapo lazima twe na wasiwasi sana tu. Mimi siyo mkristu lakini hawa wenzetu lazima wawe na wasiwasi kwa uchaguzi huu. Tuweke embeni hisia zetu na utofati wetu na tutendee wenzetu haki.ingekuwa ni sisi waislamu ninavyo jua tungepiga kelele misikitini mpaka basi.nisawa tume pendelewa lakini pendeleo hu sio wa haki tunahitaji uwasawa katika kila eneo.hi ni katiba ya wananchi wote,nani moyo wa nchi tunataka itungwe kwa makini na isiache lawama kwa hata mmoja wetu.nilifahamu hili lazima litokee,sicho taka kutendewa usintendee mwenzako na kkimbilia HOJA YA UDINI,

Hoja hii niya msingi wenzetu wasikilizwe.

Unachangia usichokijua masikini!
 
Mzee Mtei anahaki kama mtanzania kutoa maoni yake, maoni hayo sio msimamo wa CDM
Mkapa kusema Vecent Nyerere sio mwana ukoo wa nyerere, je huo ni msimamo wa ccm?
Wasira kuchapa usingizi Bungeni, huo ndio msimamo wa ccm?
 
Mkuu,

Huyu mzee ni muasisi wa hichi chama au kitaalamu anaitwa founder wa Chadema ni sawa na Nyerere kwa CCM ana influence kubwa sana chamani kwake. Kama ana fikra hizi si hasha hata hao wengine wana mtazamo huo huo ni vema Chadema wakaja kukanusha hili kwani tunataka watu makini katika tume na sio dini? Tukitazama dirisha la dini mtaibua grievance za waislamu za siku nyingi ambazo zinaweza kupelekea nchi kubaya ni vema Chadema wakawa makini na hilo.

Tamko la chadema limeshatoka na umepewa link ujisomee kama ulikuwa hujaliona.
Sasa unataka waje kukanusha nini? Kwani mzee mtei hana uhuru wa kutoa maoni yake?
Punguzeni mihemko!
 
This all thing called Muungano ni upuuzi mtupu,haiwezekani a country of less million population watufanyie maamuzi ya kimsingi juu ya mustakbari wa maisha ya watu zaidi ya 40milioni kwa miaka 50 ijayo,this is absurd,ni matusi!
 
mzee kachoka vibaya,sasa anafikiri kwa kutumia tumbo,
hana jipya..nilimpenda na kumheshimu sana ila kwa hiliiii,ng'oooo!!
 
Katika mchakato huu wa kutunga katiba mtu yeyote anayejenga hoja zake kwa kutumia any demographic variable hafai kusikilizwa!

Mkumbo,

Nakubaliana na msemo wako ila kwa kuanzia mkanyeni muanzilishi wa chama chenu kwanza kwani unachokisema kinaanzia ndani ya nyumba yenu mzee huyu amechemka kwa kweli.
 
Ni kweli nauunga mkono 100% kuna udini ktika uteuzi wa wajumbe haiwezekani Tanganyika kukawa na wajumbe 4 tu waislam kati ya wajumbe 15, siungi mkono kabisa katika hili, ilitakiwa kuwena 7 kwa 7 na mmoja awe mpagani ili haki itendeke.

na zanzibat pia iwe sawa kwa sawa ndo safi sana
 
Huyu mtu anaitwa PASKO ni nani hasa kati ya watanzania miliona45?.

ni kweli kabisa hiyo tume inawalakini,haiwezekani tume kati ya wati 15 wa 4 tu ndiyo wakristu,hapo lazima twe na wasiwasi sana tu. Mimi siyo mkristu lakini hawa wenzetu lazima wawe na wasiwasi kwa uchaguzi huu. Tuweke embeni hisia zetu na utofati wetu na tutendee wenzetu haki.ingekuwa ni sisi waislamu ninavyo jua tungepiga kelele misikitini mpaka basi.nisawa tume pendelewa lakini pendeleo hu sio wa haki tunahitaji uwasawa katika kila eneo.hi ni katiba ya wananchi wote,nani moyo wa nchi tunataka itungwe kwa makini na isiache lawama kwa hata mmoja wetu.nilifahamu hili lazima litokee,sicho taka kutendewa usintendee mwenzako na kkimbilia HOJA YA UDINI,

Hoja hii niya msingi wenzetu wasikilizwe.
Pasco ni mmoja kati ya hao milioni 45, akipungua hawatakua milioni 45 tena, bali watabaki milioni 44,999,999!.
Ukisikia kudandia treni kwa mbele ndiko huku!, sio lazima kuchangia kila kitu ili angalau na wewe uonekane, upo, wakati mwingine, unaweza kujisomea tuu na usipoelewa chochote, unajikalia kimya, sio kuchangia .... na kutuonyesha ...wako!.

Tafuta majina ya hao wajumbe ndipo utajua umechemkia wapi!.
 
Pasco,

..Kwanini Zanzibar iwakilishwe na Mkristo mmoja tu kwa kisingizio kwamba 90 ya Wazanzibari ni Waislamu??

..Hivi kweli unaamini kwamba inashindikana kuunda Tume hii kwa idadi sawa ya Waislamu na Wakristo??
 
Back
Top Bottom