CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

Wananchi kwa Msaada wa Lisu wataandika barua kwenye UN Court in The Hague ... thats all ...

Nobody has a more sacred obligation to obey the law than those who make the law
 
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.

CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.

Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?

CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu

Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza

acha kupost upepo huku wewe idiot!
 
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.
 
Brainless Mind! suck
 
Bottomless pit¬!¬
 
Eng Mayeye, Lissu na wenzake walienda Tarime kufuatia mauaji ya raia wasio na silaha! Na alienda huko ili kusaidia haki itendeke, na kama sio mauaji Lissu na wenzake wasingefunga safari na kwenda Tarime. Cha ajabu ni kwamba WALIOUWA hajakamatwa wala hat kuhojiwa, ila walioenda kutetea WAFIA ndio wamekamatwa! State assassination that's what I can think of!
 
Ukichukua ushauri wa mpumbavu basi wewe ni mpumbavu zaidi! Usijipendekeze Kenge wewe
 
Nadhani ni AMNEST International.

Umoja wa mataifa yuko Dr Asha Rose Migiro kwa hiyo ataweka chini ya carpet. Waanze kuwaandikia mabalozi wa nchi za nje walioko Tanzania na kuwaeleza in details ni kwa jinsi gani haki za binadamu zinakiukwa.
Kule si mahakama ya Kisutu ndugu yangu.
 
Tundu Lissu nimeambiwa bado yuko ndani, dhamana imekataliwa kwa sababu za kiusalama mpaka kesho
 
Eng Mayeye, Lissu na wenzake walienda Tarime kufuatia mauaji ya raia wasio na silaha! Na alienda huko ili kusaidia haki itendeke, na kama sio mauaji Lissu na wenzake wasingefunga safari na kwenda Tarime. Cha ajabu ni kwamba WALIOUWA hajakamatwa wala hat kuhojiwa, ila walioenda kutetea WAFIA ndio wamekamatwa! State assassination that's what I can think of!
Mmmmm:A S 41::A S 41::A S 41:
 
swali zuri sana hilo ila hapa si mahali sahihi...nakushauri nenda Tarime au Nyarugusu kawaulize wakesha hoi wa huko kwamba Tundu Lissu anataka kuishtaki JMT kuhusu hii ishu then so what kisha utapata jibu zuri papo hapo!! jibi linalomfanya Vuai na Pinda na Kikwete na wassira hadi leo wasiende kuto apole kwa wafiwa wa huko!!
 
Wenye uelewa wanaelewa jinsi ambavyo Tundu Lissu hupigania haki za raia kama alivyoonyesha jinsi Ngeleza ambavyo hatumii busara kutetea maslahi ya taifa.HIVI NI LINI CCM MTAKUWA NA UZALENDO? Ushauri: MWAKA 2015 hatutakubali mchukue nchi maana ni dhambi kwa mbwa kupewa kitakatifu.
 
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.

Unachanganya habari,inaelekea hujui kinachoendelea duniani,karibu JF lakini bado una kamba mguuni
 
hilo jina ni Tindu Lissu au Tundu Lissu? mnatuchanganya
 
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.

historia hadi sasa haijashuhudia mwanaharakati, mtetezi wa kweli wa wanyonge, mpigania haki za wanyonge akikosa kuwelkwa mahabusu au jela pia historia haijashuhudia fisadi, mtekelezaji wa state assassination,mwenye gamba akiwekwa mahabusu na magamba wenzake so you are not right kushangaa...watu dizaini ya Lissu mahabusu ni kwao ila wakati wao wanatoka nyie ndio mtakuwa mnaingia so it the matter of time!!
Reccommended reference: Hosni Mubaraka saga
 
Kwa wale wataalam wa sheria tunafaham Tundu hawezi toka mahabusu hadi hapo mtakapoamua nyie wanachama wake kuifanya tarime iwe shwari kiusalama. Na moja ya shart la dhamana ni akitoka mahabusu hatakiwi kuwepo eneo hilo la tukio kwa sababu za kiupelelezi hadi hapo atakapotakiwa kupanda kizimbani.. TUNAHITAJI UTULIVU WAKATI sheria inapochukuwa mkondo wake. Kama tundulisu alitaka kuwatetea marehemu angekwenda huko kisheria na jopo lake la wachunguzi bila kuhamasisha watu na bila kukisemea chama, achunguze kwa kina na kukusanya ushahidi wa kutosha kufungua kesi na kuipandisha mahakaman... Kwa jinsi ninavyomfaham huyo mdogo wangu na hekima za taaluma yake nilitarajia angefanya hivyo... Kwanin amekwendakufanya mambo anayoyajua fika yatamuharibia taaluma yake?
 
Back
Top Bottom