CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

Kwanza kabisa hauna uwezo wala haki ya kumuonya RPC wewe siyo IGP, Pili hatupendi utushirikishe watanzania wote kwe huo mpango wako wa kuondosha amani,, waliokamatwa wanahaki ya kufunguliwa mashtaka na kupandishma mahakaman kwa mujibu wa sheria. Kwa taarifa tu HAKUNA yaan nikimaanisha NEVER Raia aliye juu ya sheria. Kwahiyo futa kauli yako mara moja kabla na wewe haujafunguliwa mashtaka ya Jinai kutishia kwa maneno au kesi ya kuhamasisha na kukusudia kufanya UHAIN.
 
Namuuliza RPC mara nyingi hapa dar,ndugu wa mme au mmke hugombea mwili wa marehemu pale muhimbili mortuary,mpaka inabidi mahakama itoe uamuzi nani akazike!jee mbona hatujawahi ona polisi wakija na mabomu na kukamata ndugu za marehemu?imekuaje tarime polisi kuingilia taratibu za mazishi kwa nguvu kubwa na kukamata watu?jee mbunge haruhusiwi kwenda mortuary kuona utendaji wa hospital ktk idara hiyo?
 
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.
Tukiwa na ma eng kama nyinyi basi nchi hii imekwisha kabisa.
 
Nadhani ulikuwa ukimaanisha RPC wa kanda Maalum ya Trime ama mkoa wa Kipolisi wa Tarime! kama unazungumzia walioshikwa Tarime
 
Waislam huwa hawana mchezo,pangechimbika tarime.hukuona juzi jeneza la yahya husein lilivyobebwa juu juu badala ya kubeba na gari?
 
U miongoni mwa watu ambao ni MYOPIA ndo mana unauliza Lissu ni nani? Umemjua Lissu baada ya kuwa mbunge wakati yeye ni mwanaharakati wa kutetea wachimbaji wadogo zaidi ya miaka 10 iliyopita na ni ktk sheria amechagua upande(specialization)!
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.
 
Waislam huwa hawana mchezo,pangechimbika tarime.hukuona juzi jeneza la yahya husein lilivyobebwa juu juu badala ya kubeba na gari?

Wasi wasi wangu ni kuwa kikwete ameamua kuwadhalilisha wakristu
 
kuna mijitu mipumbavu humu!!! We nani hata utoe amri kama hiyo kwa RPC? Usitushirikishe watanzania wote kwa mawazo ya kibwege *****.
 
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.

Do kumbe kuna watu wamechanganyikiwa humu ndani ya JF kama Eng Mayeye Sasa subiri uone moto utakovyowaka.
 
Duh!
Wangewabebaje hao marehemu kama wasingekuwa kwenye majeneza?
Siamini kwenye udini kwenye hili, ila inasikitisha jinsi ambavyo serikali inavyoweza kudharau raia kiasi cha kufanya hata dhihaka na wafiwa na maiti za ndugu zao ambao hata hawajazikwa.

This is just too much!
 
Kwanza kabisa hauna uwezo wala haki ya kumuonya RPC wewe siyo IGP, Pili hatupendi utushirikishe watanzania wote kwe huo mpango wako wa kuondosha amani,, waliokamatwa wanahaki ya kufunguliwa mashtaka na kupandishma mahakaman kwa mujibu wa sheria. Kwa taarifa tu HAKUNA yaan nikimaanisha NEVER Raia aliye juu ya sheria. Kwahiyo futa kauli yako mara moja kabla na wewe haujafunguliwa mashtaka ya Jinai kutishia kwa maneno au kesi ya kuhamasisha na kukusudia kufanya UHAIN.
<br />
<br />
We eng wa mabomba siasa umezijulia wap? Nenda "THE GRID'' Ulipokuwepo mana humu sio saizi yako.
 
Duh!
Wangewabebaje hao marehemu kama wasingekuwa kwenye majeneza?
Siamini kwenye udini kwenye hili, ila inasikitisha jinsi ambavyo serikali inavyoweza kudharau raia kiasi cha kufanya hata dhihaka na wafiwa na maiti za ndugu zao ambao hata hawajazikwa.

This is just too much!

Mkuu Bigirita elewa hapa kuna ishu ya udini na ukweli ni kwamba wale marehemu wangekuwa kwenye majeneza ya Kiislam wasingetupwa porini. Pia elewa wamefanya hivyo maana wanajua Wakristu sio walalamishi na hawatafanya lolote. Nataka watz wafumbuke macho waone jinsi kikwete alivyo na chuki na Wakristu wa Tanzania.
 
eng mayeye nenda kafungue mashtaka acha kujambajamba,hatuogop kufa n wajibu.chadema mkomboz wa wanyonge tutashinda
 
Nadhani ni AMNEST International.

Umoja wa mataifa yuko Dr Asha Rose Migiro kwa hiyo ataweka chini ya carpet. Waanze kuwaandikia mabalozi wa nchi za nje walioko Tanzania na kuwaeleza in details ni kwa jinsi gani haki za binadamu zinakiukwa.

Kama ni AMNEST sawa lakini AMREF ni shirika la utafiti wa magonjwa barani afrika
 
Dini "zimewahi sana" kuja Afrika. Kila kitu sasa reference ni dini...!! Hata hivyo.............,, tuache tu!!
 
Back
Top Bottom