CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

kiujumla chadema imekosa sababu za kuikosoa serikali ndo maana wanataka makubwa yatokee ili wapate sababu za kwenda ikulu. Na watu kama hawa wakiingia ikulu kutoka kwake ni kwa tindo. Na wamekuwa wakifanya vituko visivyo na maana.inawezekanaje watu wanasikitika watu wao wameuawa halafu wao waende wakawafariji wakiwa kama wakinanani? Kama sio laana nini?

Hapo kwenye red nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri na uelewa wako wa hali ya kisiasa nchi,kwanini ccm inajivua magamba?kwanini serikali ilikurupuka na kupunguza bei ya sukari?
Na hapo kwenye blue nikama serikali ya magamba inavyotaka kutolewa kwa tindo,chama cha magamba ndo chanzo cha kufanya vituko visivyo na maana kama ishu yao ya kujivua magamba wakati hali ya maisha imebana kila kona,sasa ss porojo zao za kujivua magamba zitamsaidia nini bibi yako kijijini anaye kufa kwa njaa,ndugu yangu we huoni kama ni vituko visivyo na maana hivyo.
Lisu ni mtetezi wa wanyonge upande wa haki utashinda.
 
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.

Viwango vyako ni vya chini sana wewe ni wa kariba ya kina Tambwe
Busara inanituma kukwambia kuwa mzazi mjinga ni mzigo kwa familia yake.

Kimtazamo huna hata uwezo wa kushauri familia yako,halafu unataka kujiaminisha
kuwa ulimshauri Tundu Lisu,potea na unafiki wako.
 
CDM ndio chama gani hicho? Mbona mnapenda kuchakachua mpaka majina ya vyama? Hao wananchi unaosema hawaendi shambani kulima, nani kakwambia watajikomboa kwa jembe la mkono? Ni mkulima gani amewahi kutajirika kwa jembe la mkono? Endelea kulala usingizi, utakapokuka kushtuka kitakuwa kimeshaeleweka!

ndugu Masaki,cdm ni kifupi cha chadema. Kiko halali kabisa na kiko kila document ya chadema.
 
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.

CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.

Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?

CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu

Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza

Ebu fafanua Dr Slaa angewekw kizuizini kwa sababu gani

Pili nikweli uchaguzi umeisha,je kwisha uchaguzi ni kuanza kwa mauaji?
mkerewe watanzaia wameuawa ndugu wanapewa ushauri na msaada wa
kisheria kuna tatizo hapo?watz waendelee kuuawa watu wakae kimya kwa sababu uchaguzi
umekisha?

Uvumilivu wa kikwete ni kwa mafisadi tu.
 
pole ww unaeendelea kuamn company of domestic product[cdm]nichama cha kisiasa kwa maendeleo ya watu na si madini
 
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.

Ndugu yangu wewe akili yako ina akili kweli au unaropoka tu ?
 
Ebu fafanua Dr Slaa angewekw kizuizini kwa sababu gani

Pili nikweli uchaguzi umeisha,je kwisha uchaguzi ni kuanza kwa mauaji?
mkerewe watanzaia wameuawa ndugu wanapewa ushauri na msaada wa
kisheria kuna tatizo hapo?watz waendelee kuuawa watu wakae kimya kwa sababu uchaguzi
umekisha?

Uvumilivu wa kikwete ni kwa mafisadi tu.

Huyu mpuuzi mkerewe kwao hata boti ya kwenda huko toka Mwanza hakuna leo anachekelea
 
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.

Huyu kama ni kweli ni Mhandisi (kwa maana aliehitimu kihalali BILA KUTUMIA MIG) basi ni living example kuwa kwenda shule si kuelimika. On the other hand, kama ni "Mhandisi" kwa maana ya kupata vyeti kama "PhD" za kina Nchimbi - yule waziri toka Chama Cha Magamba - au "Uhandisi" wake ni sawa na "Uprofesa" wa kina Prof. Maji Marefu basi ana kila haki ya kutoa maoni ya namna hii.
 
CCM wameshachemsha tokea kifo cha Nyerere mambo si shwari ksb hata viongozi nyerere alikuwa anawaonyesha kwamba yupi safi na yupi kimeo jkl alishawahi toswa na mzee
 
Safi! Umekajibu vizur ako kagamba kadogo! Tatizo ni kua magamba hutengenezwa na dead cells ndo mana mawazo yao ni mgando!
 
CCM wameshachemsha tokea kifo cha Nyerere mambo si shwari ksb hata viongozi nyerere alikuwa anawaonyesha kwamba yupi safi na yupi kimeo jkl alishawahi toswa na mzee

Umekosea, nyerere ndio cha =nzo= cha matatizo yote. Kikwete ndio anaweka mambo sawa.
 
Huyu kama ni kweli ni Mhandisi (kwa maana aliehitimu kihalali BILA KUTUMIA MIG) basi ni living example kuwa kwenda shule si kuelimika. On the other hand, kama ni "Mhandisi" kwa maana ya kupata vyeti kama "PhD" za kina Nchimbi - yule waziri toka Chama Cha Magamba - au "Uhandisi" wake ni sawa na "Uprofesa" wa kina Prof. Maji Marefu basi ana kila haki ya kutoa maoni ya namna hii.
<br />
<br />
Nenda the grid mtamuona jamaa,huyu ndo wale walioletwa humu May 2011
 
TAngu lini umejipachika kazi ya Utime Keeper?

Wenzio wanaojua kujipendekeza ni mawaziri na wengine wakurugenzi hata kama kusoma hawajui.

Dr Slaa ni mtu wa umri na wengi walio katika umri wake pamoja na mipesa yao ya wizi wako hoi bin Taabani.
Lakini cha ajabu unamsema Dr Slaa anasumbuliwa na Magonjwa ya kizee, Hivi Dr JM Kikwete kijna mdogo anasumbuliwa na ninini hadi kuanguka ovyoovyo Mjukwaani na hata ikulu??

Najua wewe una uono wa Nyani unaona makalio ya nyani wenzi na kucheka kumbe yako nayo yamenyonyoka manyoa na pengine yanatoka damu kwa kujikuna.

Hilo jeshi mnalojivunia wajomba zetu ndo wamejaa huko, mnajivunia hao maafande mbuzi wachovu wakuu wa wilaya na mikoa mlio wapa rushwa ya kisiasa??

Jeshi ni la wananchi si jeshi la CCM au Mafisadi.

Mesahau kwamba mlitupeleka jeshini JKT enzi zile mkatufunza namna kupiga Shabaha na mambomengine ya Uchaka??
Kwanza Mtoto mdogo wewe hujui kitu ngoja nicache mambo ya uchaka.

Kikwete siku zote atashindwa kumweka Dr Slaa ndani kwa Vile Thubutu hiyo hana kwani yeye hapo alipo wamemweka Mafisadi, wananchi walishamtosa Usalama wa Taifa kwa mkono wa Mafisadi wakamwokoa.

Cha Mtoto cha mtoto.

Back
Top Bottom