kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,077
- 1,728
Katika harakati zangu za kutembea sehem tofauti hapa tanzania nilipita moshi mwezi uliopita, nikalala kwenye lodge moja nzuri sana, palikua na tv pale ndani, ile tv sikuielewa mchanganyiko wa channel zake.
Kuna canal+ inaonyesha mpira
Kuna azam sports 1
Kuna channel za startimes
*Kuna wwe channel hii inakuaga kwenye dstv
*Kuna ITV, WASAFI,TANZANIA SAFARI
NA CHANNEL NYINGINE ZA KENYA NYINGNE ZA ULAYA
huu mchanganyiko kutoka ving'amuzi mbalimbali sijauelewa wamefanyaje, na kubadilisha channel sio Kwa kutumia remote ya king'amuzi chochote unatumia remote ya TV kama zamani ulivyokua tunatumia antenna za kawaida, na channel nyingne kama azam sports 1 mda mwingne inaonyesha na mchele mchele haipo clear.
Anaejua hii anifumbue macho.