CCM Zanzibar: Uamsho ifutwe mara moja!

Laiti Uamsho, Ponda, et al. wangekuwa na muono wa kuwaunganisha watanzania wote bila kuegemea too much udini nchi hii ingeshakombolewa kutoka makucha ya magamba.

Inapotokea mtu anaongea issue inayogusa maslahi ya wananchi wote lakini katika kuongea huko hawezi ongea maneno kumi bila kutaja dini yake inakuwa khatari sana.

wenyewe wanakwambia dini yao ni mfumo kamili wa maisha sasa sijui mfumi kamili wa maisha ni chuki dhidi ya wengine na kuuana!?
 
Acha maswali ya kitoto wewe.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Litakuchoma saaana lakin ukweli unabaki pale pale Znz hakuna Udini kwa sababu more than 99% ya raia wake ni dini moja.

Pasi na shaka yoyyote yooote anayotokea yanapandikizwa na majirani zao wa upande wa pili kwa nia ya kutaka kuweka mfumo usio sahihi Znz.

Pole sana
 
Laiti Uamsho, Ponda, et al. wangekuwa na muono wa kuwaunganisha watanzania wote bila kuegemea too much udini nchi hii ingeshakombolewa kutoka makucha ya magamba.

Inapotokea mtu anaongea issue inayogusa maslahi ya wananchi wote lakini katika kuongea huko hawezi ongea maneno kumi bila kutaja dini yake inakuwa khatari sana.

UAMSHO = Zanzibar huru+UIslam;

PONDA = Tanganyika huru+Uislam
 
Back
Top Bottom