Nini majukumu ya majeshi ya Zanzibar?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum.

Idara Maalum inajumuisha:
(A). Jeshi la Kujenga Taifa - JKU

(B). Kikosi Maalum cha Kumzuia Magendo - KMKM

(C). Chuo cha Mafunzo

Nafikiri, Chuo cha mafunzo ni mbadala wa Jeshi la Magereza.

Vikosi vilivyosalia - KMKM na JKU, vina majukumu gani?

Kuna Vikosi vingine vya Kijeshi Zanzibar zaidi ya hivyo vitatu?

Hivyo Vikosi vinamuduje kutimiza majukumu yake bila kugongana na majeshi ya Muungano?
 
Swali Dogo jingine; kwenye sherehe za mapinduzi, yule General anaekaa pembeni ya Rais wa Zenji kama Rais wa muungano anavokuwa na CDF kwenye sherehe za kitaifa, ni nani hasa pale zenji kwa cheo ?
 
Swali Dogo jingine; kwenye sherehe za mapinduzi, yule General anaekaa pembeni ya Rais wa Zenji kama Rais wa muungano anavokuwa na CDF kwenye sherehe za kitaifa, ni nani hasa pale zenji kwa cheo ?
Mkuu huyo huenda akawa kiongozi mkuu wa kikosi maalum cha "Janjaweed" kinachotumika kuteka, kutesa, kuumiza, na hata kuuwa raia kwa ajili ya kuilnda CCM isipoteze dola huko Zanzibar. Duh! Kumbe bado ni usiku mzito, ninaota tu!
 
Kwa vile tanganyika haina jeshi kias uje na swali hilo,ipo hivi zanzibar ina kila kitu chake siku huu muungano wa magumashi ukiisha hili swali hutokaa uulize tena.
 
Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum.

Idara Maalum inajumuisha:
(A). Jeshi la Kujenga Taifa - JKU

(B). Kikosi Maalum cha Kumzuia Magendo - KMKM

(C). Chuo cha Mafunzo

Nafikiri, Chuo cha mafunzo ni mbadala wa Jeshi la Magereza.

Vikosi vilivyosalia - KMKM na JKU, vina majukumu gani?

Kuna Vikosi vingine vya Kijeshi Zanzibar zaidi ya hivyo vitatu?

Hivyo Vikosi vinamuduje kutimiza majukumu yake bila kugongana na majeshi ya Muungano?
Wote hao ni jeshi la akiba la JWTZ, na CDF Mkunda ndiye mkuu wao. Kukitokea vita, wote wataingia ulingoni kuitetea Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom