CCM yamwaga Mamilioni kuivaa CHADEMA; Watu wasombwa kwa malori

Anaorodhesha nini huyo wakati ndio kazi ambayo anatakiwa kufanya. Sasa mwalimu atajisifu kuwa anafundisha darasani? Asipofundisha atafanya nini? Ccm hawana lao tena. Kodi tukatwe sie, wenyewe wajisifu eti wamejenga barabara! Wametoa pesa kwenye biashara za CCM kwani?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Personally sikutegemea cha maana kutoka kwenye mkutano huu,nasubiri debe tupu nape liingie hapa
 
Ndugu wanajamvi,katika siasa mbaya watawala wetu wanazoleta zitatupeleka pabaya. Ktk mkutano wa ccm leo jangwani mh magufuli kaomba wanaorudi ccm walete kadi,ghafla wakatokea wawili,babu na mtoto mmoja na apo apo kundi la watu kama 30 wakaja mbele na kadi ambazo kwa mbali zote ni mpya pamoja na bendera mbili. Kinyume na sheria zetu za nchi,mh magufuli kasimamia kuchana bendera na kadi zimechanwa vipande vipande mpaka nape aliposema kadi ziachwe kuchanwa ila zikusanywe,vijana walikuwa wanaendelea na kuchana bendera ya chadema,kwa maelekezo aya ya mh nape na magufuli kuchana bendera ya chama pinzani ni kuwaruhusu waovu wawe wanachana na hata kuchoma moto nembo za maasimu wao na mwishowe ni kuandaa mapigano ya kichama na kuleta machafuko. NIMECHUKIZWA SANA NA MAAMUZI AYA YA NAPE NA MH MAGUFULI...MNAZIPELEKA SIASA SAFI KABURINI,MNAANDAA HATARI.

Hawa wote waili ni wanasiasa uchwara na wala hawajui maana ya upinzani, wenye hekima hawaezi fanya kitu kama hicho ni wale tu wa aina hiyo wanawezafanya hivyo. Watavuna walichopanda kwa kufanya kitendo hicho ambacho ni jazba tu na wala hakina Tija hata kwa chama cha mapinduzi.
 
Sasa itabidi wawe wapole bendera zao zitakapoanza kuchanwa tanzania nzima, maana wao ndiyo wameonyesha mfano.
 
nakumbuka hata CHADEMA walishawahi kuchoma moto kadi za Magamba ilikuwa Makumira University, siasa za bongo zinaonekana ni chuki hakuna fair play
 
Hawa wote waili ni wanasiasa uchwara na wala hawajui maana ya upinzani, wenye hekima hawaezi fanya kitu kama hicho ni wale tu wa aina hiyo wanawezafanya hivyo. Watavuna walichopanda kwa kufanya kitendo hicho ambacho ni jazba tu na wala hakina Tija hata kwa chama cha mapinduzi.
yani nimeshangaa sana kitendo cha kuchana chana bendera mbele ya waziri wa serikali! Siasa si uhasama,si chuki wala jazba,matusi na vitendo viovu kama ivi vinawafanya watawala wetu kutoaminika kabisa,kwa hatua hizi,zikifikirika pamoja na ukatwaji mapanga wabungi wa upinzani zinaandaa kizazi cha kulipizana na mwishowe kuzaa uasi!
 
nakumbuka hata CHADEMA walishawahi kuchoma moto kadi za Magamba ilikuwa Makumira University, siasa za bongo zinaonekana ni chuki hakuna fair play
Na hapo ndipo nia ya kuwa na siasa mbadala linajitokeza!
 
Ndugu wanajamvi,katika siasa mbaya watawala wetu wanazoleta zitatupeleka pabaya. Ktk mkutano wa ccm leo jangwani mh magufuli kaomba wanaorudi ccm walete kadi,ghafla wakatokea wawili,babu na mtoto mmoja na apo apo kundi la watu kama 30 wakaja mbele na kadi ambazo kwa mbali zote ni mpya pamoja na bendera mbili. Kinyume na sheria zetu za nchi,mh magufuli kasimamia kuchana bendera na kadi zimechanwa vipande vipande mpaka nape aliposema kadi ziachwe kuchanwa ila zikusanywe,vijana walikuwa wanaendelea na kuchana bendera ya chadema,kwa maelekezo aya ya mh nape na magufuli kuchana bendera ya chama pinzani ni kuwaruhusu waovu wawe wanachana na hata kuchoma moto nembo za maasimu wao na mwishowe ni kuandaa mapigano ya kichama na kuleta machafuko. NIMECHUKIZWA SANA NA MAAMUZI AYA YA NAPE NA MH MAGUFULI...MNAZIPELEKA SIASA SAFI KABURINI,MNAANDAA HATARI.

Unalia lia nini hayo ni majibu kwa Chadema, CCM nadhani wanalipiza kisasi tabia ya kuchana kadi za vyama walianza Chadema...umeumia sana mkuu pole sana.
 
Vyama Vingi Vya Upinzani Nchi za Magharibi Havina Bendera wala Kadi za Wanachama; Unajiandikisha kwenye Computer System basi wanajua wewe ni Chama Gani.

Kubebe kadi na Bendera Hakuna... Kwahiyo hivyo ni vitu vya kuondolewa kwenye Vyama Vya Kisiasa

Kinachobani ni Bendera ya Taifa Lenu tu na Bendera ya Rais Wa Nchi

sawa lakini utambue kuwa utaratibu kwetu haujawepo ivo kwa utaratibu wa sasa bado kadi na bendera ni nembo muhimu kichama!
 
Ndugu wanajamvi,katika siasa mbaya watawala wetu wanazoleta zitatupeleka pabaya. Ktk mkutano wa ccm leo jangwani mh magufuli kaomba wanaorudi ccm walete kadi,ghafla wakatokea wawili,babu na mtoto mmoja na apo apo kundi la watu kama 30 wakaja mbele na kadi ambazo kwa mbali zote ni mpya pamoja na bendera mbili. Kinyume na sheria zetu za nchi,mh magufuli kasimamia kuchana bendera na kadi zimechanwa vipande vipande mpaka nape aliposema kadi ziachwe kuchanwa ila zikusanywe,vijana walikuwa wanaendelea na kuchana bendera ya chadema,kwa maelekezo aya ya mh nape na magufuli kuchana bendera ya chama pinzani ni kuwaruhusu waovu wawe wanachana na hata kuchoma moto nembo za maasimu wao na mwishowe ni kuandaa mapigano ya kichama na kuleta machafuko. NIMECHUKIZWA SANA NA MAAMUZI AYA YA NAPE NA MH MAGUFULI...MNAZIPELEKA SIASA SAFI KABURINI,MNAANDAA HATARI.

Gsana,

..mimi nadhani sheria iruhusu kuchana au kuchoma bendera as long as mhusika ni mmiliki wa bendera hiyo.

..hata vitabu vitakatifu kama BIBLIA na KURAN iwe ruksa kuvitia kiberiti as long as ni mali ya mhusika na amechoka navyo. kama bookshelf yako imejaa and u need to make some room, why not burn a few books that u dont need??

..napendekeza haki hizo ziainishwe ndani ya katiba mpya.
 
Hivi Chadema wangechana bendera ya CCM, CCM, wangeongeajehivi kama unataka kurudi kwenye chama chako, kadi yako ya chama ulichopo muda huo inachanwa, unaichana au unarudisha kwenye ofisi ya hiko chama unachokihama?, embu watu waheshimiane bhana na kufuata taratibu zinazostahili, wasiwe kama watoto wadogo wanaogombea gololi!
Ndugu wanajamvi,katika siasa mbaya watawala wetu wanazoleta zitatupeleka pabaya. Ktk mkutano wa ccm leo jangwani mh magufuli kaomba wanaorudi ccm walete kadi,ghafla wakatokea wawili,babu na mtoto mmoja na apo apo kundi la watu kama 30 wakaja mbele na kadi ambazo kwa mbali zote ni mpya pamoja na bendera mbili. Kinyume na sheria zetu za nchi,mh magufuli kasimamia kuchana bendera na kadi zimechanwa vipande vipande mpaka nape aliposema kadi ziachwe kuchanwa ila zikusanywe,vijana walikuwa wanaendelea na kuchana bendera ya chadema,kwa maelekezo aya ya mh nape na magufuli kuchana bendera ya chama pinzani ni kuwaruhusu waovu wawe wanachana na hata kuchoma moto nembo za maasimu wao na mwishowe ni kuandaa mapigano ya kichama na kuleta machafuko. NIMECHUKIZWA SANA NA MAAMUZI AYA YA NAPE NA MH MAGUFULI...MNAZIPELEKA SIASA SAFI KABURINI,MNAANDAA HATARI.
 
Deus nakuelewa vizuri sana!CDM wanaposema Chama cha Mafisadi hawajaiinua nchi yetu ni kweli.Wanaorudisha kadi tuwaelewj?
 
sawa lakini utambue kuwa utaratibu kwetu haujawepo ivo kwa utaratibu wa sasa bado kadi na bendera ni nembo muhimu kichama!

Yeah lakini havibebi heshima kama Bendera ya Taifa... Bendera za Vyama hazina heshima yoyote hakuna anayeziabudu Duniani kokote kama za Taifa

Kwahiyo Mtu yoyote anaamua lolote; Hauwezi hata kuweka kwenye Katiba ya Nchi; Labda sheria za Polisi kama kuingiliwa
 
Hili jambo la kurudisha kadi za vyama kwenye mikutano ni jambo liliopitwa na wakati. Wanasiasa wanatakiwa waachane na hii strategy. Kitu muhimu kwenye uchaguzi ni kura sio wingi wa watu kwenye mikutano.
 
Wamezitengeneza wenyewe wanazichana wenyewe si za CHADEMA ila zina rangi inayotumika na Chama cha Demokrasia na Maendeleo achana nao.Kule Kwetu si tunaletewa za CCM hatutengenezi
 
Back
Top Bottom