Mashindano ya CAFCL: Yanga akizifunga timu vigogo barani Afrika, Simba watakuja na kauli gani?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,387
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo Yanga atatinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika na kukutana na baadhi ya vigogo na kuwafanga hapa nyumbani au ugenini kwani kwa Yanga hili linawezekana kabisa.

Hii ni kwasbabu, baada ya Yanga kutinga makundi kombe la Shirikisho na kufikia fainali, Simba walibadili wimbo wa Yanga hawawezi mechi za kimataifa, na wakaja na santuri mpya kuwa "Yanga anakutana na timu mbovu/dhaifu".

Naomba nianze kubashiri watachosema makolo;

1.Al Ahly(ikitokea tumepangwa nao), hii sio sawa na ya mwaka jana au ile iliocheza na Simba.

2. Yanga imebebwa.

3. Wamebahatisha

4.Hata sisi tuliwafunga, n.k
 
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo Yanga atatinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika na kukutana na baadhi ya vigogo na kuwafanga hapa nyumbani au ugenini kwani kwa Yanga hili linawezekana kabisa.

Hii ni kwasbabu baada ya Yanga kutinga makundi kombe la Shirikisho na kufikia fainali, Simba walibadili wimbi wa Yanga hawawezi mechi za kimataifa, na wakaja na santuri mpya kuwa "Yanga anakutana na timu mbovu/dhaifu".

Naomba nianze kubashiri watachosema makolo;

1.Al Ahly(ikitokea tumepangwa nao), hii sio sawa na ya mwaka jana au ile iliocheza na Simba.

2. Yanga imebebwa.

3. Wamebahatisha

4.Hata sisi tuliwafunga,.,n.k
Kwani huyo Al ahly kafungwa mara ngapi na mnyama?
 
Timu haina ligi mnapiga makelele
Kipindi kile cha corona mlipopata mteremko mlikua mnajiona mmepaaataa
By the way, Al mereikh yupo daraja moja na al Hilal, kwenye ranking ya CAF Al mereikh yupo Namba 27
Wale power dynamo waliowakosa kuwabaka hata 75 Bora hawamo
Kila siku mnakutana na vihande
Nyasa big bullets
UD songo
Jwaneng galaxy
Premiero de agosto
Na sasa power dynamo
Hao wote hamna hata mmoja anaemkaribia Al mereikh
Hivyo utulie kolo ,huna jipya Zaidi ya kua kubwa jinga unaefeli form 4 kila ukireseat
 
Kwahiyo Simba haijawahi kuifunga El Meleikh?
 
Yanga hii unaamini itamfunga kigogo yupi?
Huyo kibonde ambaye nchi yake ipo vitani aliyecheza ukimbizini mmemfunga kwa taaaaaaabu tena kipindi cha pili.

Mmefunga hivyo viwili,basi ndio mnaona vigogo vyote ni vikimbizi eeeeh,Yanga akili ndogo mnoo aiseee
Embu kwanza tajeni kabisa vigogo ni timu zipi maana kauli zisije kugeuka bafae. Tajeni tuwatambue vigogo kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom