Jakubumba
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 1,624
- 500
Siamini hao jamaa wako marekani! Na kama kweli wapo na wanongea ushuzi hivo basi kuwepo kwao marekani hakujawabadilisha akili mgando. Sasa mnachoshangilia hapo nini? Mnashindwa hata kujua ni nini kilichomleta nape hapo? Nilijua ukitoka nje ya nchi mawazo yanatanuka kumbe no. Mie niko us na Sina chama chochote pale home lakini nakerwa sana na jinsi ccm inavyowafanya watanzania wenzetu mazezeta. Huyo huyo nape amekuwa anafanya mikutano anaishia kuwataukana watu then ninyi mnaomba Tanzania iwe na mtu kama huyo. Shame on you all! Kuleni kodi zetu lakini ipo siku mtazirudisha. Nimeudhika sana kusikia mnatoa maoni utadhani mko shimoni.