CCM watelekeza mamia ya watu Mwanza waliowachukua vijijini kuwaleta kwenye maadhimisho yao

Tangu nikiwa nasoma nao (na demu wangu alikuwa msukuma) niligundua wasukuma ni kama ng'ombe wao tu.
Wana adabu za kifala, walafi (hasa kwa maugali) na ni washamba sana
Kama unabisha muulize JK
 
Hakika kipigo cha jana kwa cdm ilikuwa over doose!! Poleni sana watani na hii ni hang'over ya jana!!! Endeleeni kujifariji!

Kijana Nape hongera kwa kucheza mduara ambao kwa kawaida unakurudisha pale palen ulipoanzia.

Ebu wahurumieni hao mnawatelekeza mna uwezo wa kuwasaidia. Na kuhusu kinachoitwa umafia naomba ukisustain kwa kutimiza ahadi za kutuondolea ugumu wa maisha. I

la jana kuanzia mwenyekiti wenu hadi mamuluki wenu mlifanikiwa sana kuigiza origino komedi hongereni.
 
Hakika kipigo cha jana kwa cdm ilikuwa over doose!! Poleni sana watani na hii ni hang'over ya jana!!! Endeleeni kujifariji!
Hongera sana mheshimiwa, hasa ule wimbo wa vicky Kamata, wa kuwa mke wa CCM, na kwamba mipigo ya CCM ni ya ukweli. Naomba ushauri, mnatumia nini vile, mkuyati au dawa ya kimasai, siamini katika viagra!
 
Okay, here is a suggestion: CDM wachangamkie kuwasaidia hawa watu kurudi makwao. Ili wakifika vijijini wakasimulie jinsi CCM ilivyowapeleka mjini na kuwatekeleza, hadi chama kinachojali watu cha CDM kilipojitolea kuwasaidia kurudi nyumbani.
Hakika CDM itavuna mara dufu!
Dada Leticia changamkia hii tenda ya wanaoenda Kwimba, mtaji wa imani for 2015.
Haa! wacha utani, hukmusikia vicky akiimba jana kwamba wapinzani wananuka shombo kama wavuvi?
 
Hakika kipigo cha jana kwa cdm ilikuwa over doose!! Poleni sana watani na hii ni hang'over ya jana!!! Endeleeni kujifariji!

Nape hizo milioni 400 mulizotoa ilikuikomboa kata ya kirumba mwaloni kwenye uchaguzi mdogo wa diwani unaotarajiwa tunazifaidi mno mpaka sasa mie nimeshamaliza kujenga nyumba ya pili pale Nyakato na kila cku niko bar,sasa shida itoke wapi?nikula ccm halafu unalala cdm,nakuhakikishia hiyo kata hamuipati,Bavicha Mwanza tuko makini kuliko mnavyofikiria.
 
mkuu unajua CDM walifanya mikutano ya siri na katika maadhimio ya kikao walikubaliana kuwasomba makada wao kwa malori kutoka bukwimba, ngudu, misungwi,magu na sengerema iliionekana ccm ndio imefanya hivyo halafu baada ya sherehe waliwatawanya watu wao mitaani ilikuonyesha ccm imewatelekeza, mimi nipo hapa mkuyuni ndio napata hizi habari
8002055tb6e.gif
 
Wakuu;

Nipo mwanza na habari ni kuwa ccm wamewatelekeza watu wengi sana bila ya kuwapatia usafiri wa kurudi makwao.

Hii ni baada ya kuwasomba jana kuwaleta kwenye maadhimisho ya miaka 35 ya chama chao.

Utawahurumia akina mama wengi na baadhi ya wanaume jinsi walivyokosa matumaini kwa sababu mabasi yaliyowaleta hawayaoni na wala viongoz wa ccm hawaonekani, yaani wanahangaika kwelikweli

Ni aibu sana kwao pamoja na kujikomba bungeni kwa naibu spika kuwa uwanja ulitapika.

Ni jambo zuri sana ili wajifunze kuwa mtu anaekukumbuka wakati akiwa na shida tu siyo mzuri kabisa pia mkuu umekosea hapo uliposema hawajayaona mabasi yaliyowaleta wakati ni malori
 
Ni aibu kwa hao akina Baba na mama kuacha familia zao na kazi zao kuja kula nyama na Ubwabwa wa CCM!!! Sasa CCM wameamua kuwaonyesha their true colors!!

Unadhani wana kazi basi waliwakota wale wasiokuwa na kazi we unadhani wenye kazi wana muda wa kupoteza kuadhimisha unyonyaji wa ccm badala ya kupumzika kwa maandaliza ya kazi j3. Waliwakusanya jobless
 
Baadhi yao walikuwa pale kona ya furahisha mida ya saa moja usiku wanashangaa tu cha kusikitisha watu walikuwa wanawazomea tu huku makonda wa daladala wakikataa kuwabeba kwenye magari yao,yaani inatia huruma na wengi walikuwa peku na wachache na ndala miguuni ila juu tisheti na kofia za ccm kama kawa

Hawa hata nikiwapa lift nawapa sheria 2. Ya kwanza wavue na kuyatupa mavazi ya ccm na pili waniahidi hawatakuja tena kurudia tena kujikombakomba tena kwa ccm
 
Back
Top Bottom