Elections 2010 Ccm wahaha kutafuta ushindi 2010

kwa hali ilivyo, CCm hawawezi kushinda bali wanaweza kutangaza washindi. Ndiyo maana wanasomba watu ili waonekane kuwa watu wako wengi maana siku wakiiba kura, watu wakija juu, waweze waseme unaona mahudhurio ya wananchi katika mikutano yetu? Lakini wote tunajua janja ya nyani kula mahindi mbichi. Kwa uhalali, CCM hawawezi kuzidi 20%
 
Ccm is not a political party but a criminal entrprises, jk is running arround the country campaining for the
people who are known as criminals in a court of public opinion. Some of these people who he is campaining for have been brought to court for commiting grand corruption/theft. He is asking tanzanians to vote for people who are facing serious criminal charges.
 
Kwa JK kusem kwamba Akina Mramba na Lowasa ni safi... tayari ameingilia uhuru wa mahakama wa kuamua kama Mramba will be found guilty of not na any chances of successfull procesution for Lowasa in future...

Kapeleka majibu kwa mahakimu na wawezee wa mahamakama wanaosikiliza hizo kesi za matumizi mabaya ya madaraka...

JK should be brought to Books ... ashitakiwe kwa contempt of court kwa kutangaza kwamba wahusika ni safi kabla ya mahakama kuamua...
 
Back
Top Bottom