CCM taabani Bukombe

Mzee wa upupu hivi CUF wna viti vingapi so far?

Sijui umevuta bangi au umelewe? Hivi chadema inakiti hata kimoja? unajua maana ya kuwa na kiti kama mahesabu alivyoandika hapo juu? (CCM INA VITI 21 VYA UBUNGE NA 500 VYA UDIWANI....15% YA VITI VYOTE....! )
Hivyo ni viti ambavyo CCM tayari wameshavipata na hakuna mpinzani, wewe hicho chakufikirika ambacho na wangine wanawagombea ndo unajiita umeshakipata? SIJUI NI UELEWA MDOGO! AGGGHHHH. Hivyo unavyoongelea wewe ni vya kufikirika. Lakini kwa sababu wengi humu ni mambumbumbu ndo maana wanasapoti tu. Ama kweli ni mambumbumbu.
 
Dawa ya mpuuzi ni kupuuzwa! Pole sana
 
Pipoooooooooooooooo pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.chagua chadema ikuletee demokrasia na maendeleo ya kweli.
 
huko kwingine vp jamani.....ccm bado ipo au ndo wanaandaa mtandao wa kuchakachua kura?........kweli ccm hoi wamebaki mabwege tu ambao wanategemea pilau za kila baada ya miaka mitano....
 
Issue iko kwenye uchakachuaji, mawakala watapewa kidogo dogo wakae kimya wakati wakichakachua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom