Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Ndio maana nikataka ufafanuzi na facts zako labda tunasoma vitu tofauti na wewe unajua zaidi, mbona vitu basics sana na avina ujuvi hivyo.Hujajibu chochote zaidi Sana ulijitahidi uonekane mjuvi kumbe zoba
Sina mda nawe tena nyie type ya kina kisangi na Lusinde huwa naona najisi kubishana nanyi....
Mjadala unaendelea bado Una nafasi ya kujifunza mengi ila Nina rekebisho moja tu
Jina la jaji ni Utamwa sio Utumwa.
Aim sio kujibu hapo aim ni kupata facts zako au comprehension hukupitia?