CCM na wazee, CHADEMA na vijana

CCM ndio inaelekea kaburini maana inapumua kwa mashine, kwetu ngudu hata wazee wanaisema vibaya kwani imewachosha sana
 
Kazaliwa shangwe ,nyingi,pongezi kibao, Kaoa(kuunga CCM) kulikuwa na vigelegele vingi na matarajio mengi mapaya , sasa kazeeka , matarjio hakuna, mabavu, majigambo, na kufitini kwingi, Wanachi wamechoka sana, ahadi kem kem, bila mpangilio,hadi magamba yakanuka rushwa, ufisadi,nk. Sasa umefika wakati CDM kchukua nafasi, CCM mwisho wake unaonekana upo karibu sanaa,mwenye macho, masikio hambiwi tazama wala sikia. muda haungoji wakati unaenda kizazi kipya kinakuja kinangojewa kwa mabadiliko. muda si mrefu CCM itavuna ilichopanda kwa miaka yote, angalia , Zambia,Libya,Malawi, Kenya, libya,nk.
 
Tatizo la vijana wengi huwa hawajitokezi kwenda kupiga kura japokuwa niwahudhuriaji wazuri wa mikutano ya kampeni.
 
Tatizo la vijana wengi huwa hawajitokezi kwenda kupiga kura japokuwa niwahudhuriaji wazuri wa mikutano ya kampeni.
We wataka kuchekwa, vp unaongelea tatzo la Enzi hizo? Mwaka jana ilikuwa mwanzo tu, we usihofu kaa mkao wa kula.
 
Ni kwa yanayotokea Igunga,hakika vijana wamevumilia na sasa wameamua kukata shauri la kukiwajibisha CCM na sasa ni wazee tu ndo wanaoonekana wakiwa wanamsikiliza Kafumu huku vijana wakiamsha vidole 2 vya CDM....kwa vile vijana ndo injini na ndo wanamapinduzi popote pale basi CCM waachie tu,waige ya Zambia
 
Naomba iwe hivyo na kwa maana hiyo upinzani hapo ni Chadema tu,si mnajua huyu mwingine wako katika ndoa!a ndio maana wanamshambulia sana lakini majembe yapo yanalima hata rami.
Alunta continua
 
Wana-Igunga sasa tukatimize wajibu wetu kikatiba; tujitokeze kwa wingi tukapige kura KUTOKOMEZA UFISADI nchini.

Wakati ndio huu umewadia wala asibaki nyumbani mtu mpaka siku matokeo kutangazwa rasmi mbele ya macho yenu bila ghiliba wala uchakachuaji wowote ule.

Tanzania ni zaidi ya chama wala mtu yeyote katikati yetu - kila mmoja wetu anao umuhimu sawa tu na wengine huko hivyo usijirahishishe kununuliwa kura yako.
 
Siamini ninachoendelea kukishuhudia kupitia taharifa ya saa2 ITV kuhusiana na mchakamchaka wa Igunga,ndugu zangu tokea juzi CCM inaonekana kukumbwa na uhaba mkubwa wa watu na kwa sasa mikutano yao inaudhuriwa na akina mama wazee pamoja na watoto wa nursery tofauti na wenzao CDM wanaoonekana kujawa na umati mkubwa wa watu kuanzia akina mama,mababa na hasahasa rika vijana wenye kuwa na hamasa kila dakika huku bashasha zao zikionesha dhairi kuikubali CDM

Nimejiuliza sana pasipokupata jawabu kwenye hili..nawasilisha wakuu,hebu tusaidiane

Mtafute Chakufwa Chihana wa Malawi akuambie kama uwingin wa watu kwenye mikutano ya kampeni ni tija!!!
 
Maisha ni magumu,vijana ndio wanaopigika zaidi ndio maana hatutaki kukiona ccm ikiendelea kutawala. Tunapoona ugumu wa maisha tunareflect uongozi mbovu wa nchi hii kuruhusu mianya ya rushwa,ufisadi,kutumia rasilimali zetu vibaya.

Mjumuisho huo hunipa kufikiri ccm ndiyo msababishi.

Ccm tutaikataa,tutaendelea kuwapinga,tutawatokomeya na tutawaondoa madarakani taka msitake.
 
Nakumbuka enzi zetu wakati tupo primary na mambo ya unajimu wa Napoleon!!!! Unaanza hivi: "Je, kweli zaituni ananipenda? Je, kweli zaituni ananipenda? Je, kweli zaituni ananipenda? Je, kweli zaituni ananipenda? Je, kweli zaituni ananipenda? " unasema hivyo mara tano huku ukichora tally kisha unaziunganisha mbilimbili!!!! Ukishamaliza hiyo kazi, unaangalia jibu ambapo unakuta jibu hili: "Anakupenda kwelikweli, kila siku halali akikuota wewe!" Baada ya jibu la braza Napoleon, unapata bonge la confidence na unaamua kutia timu kwa Zaituni ili ukamsomeshe ikibidi akupe mambo cku hiyo hiyo!!!! Ile kumgusa tu Zaituni, kudadadeki, si mitusi hiyo....."Unikome, we fa...ra nini; unikome kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yako....!! Duh! Unatoka pale mnyongeeee, halafu unaenda kuangalia kama uliziunganisha vizuri tally zako!!!!!!

ndio nini sasa,inatakiwa ukalale,halafu ubongo wako uuformat
 
Lowassa na kukosa kwake maadili alishawaambia CCM kwamba huwezi kuendesha chama bila vijana. Look at waht happened in all revolutions of recent Egypt, Tunisia, Libya who was runining the show? Look at ANC, TANU, KANU etc. Sasa unapowasikia vijana wa CCM wanasema eti mtaji wao ni akina mama na wazee jua something is very wrong!!!!!!!!!!
 
hapa Arusha kata ya kaloleni wazee walikuwa wakiiunga mkono ccm kwa wingi huku vijana wakiiunga chadema kwa wingi na bado ccm waliamini watashinda sijui akili za hawa jamaa zikoje kwenye familia moja wazee ni wa 2 huku familia moja inaweza kuwa na watotozaidi ya watatu kwa akili ya mtoto wa chekechea atajua anani atashinda..
 
Tatizo la vijana wengi huwa hawajitokezi kwenda kupiga kura japokuwa niwahudhuriaji wazuri wa mikutano ya kampeni.

ukiwa hamasisha watajitokeza mfano ni kesho nategemea vijana watajitokeza maana wamehamasika sana...
 
Back
Top Bottom