Elisha Ray
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 323
- 94
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.
Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.
Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
Inaonyesha wewe ni kati ya wale wachache wanaofaidika na wizi/upuuzi/ushenzi/ujinga/dharau n.k...... wa hao jamaa unaowasifia au pia unaupenda. Kweli umeishiwa. Upinzani usingepigia kelele mauzauza haya kwa akili zako finyu huyo m/kiti wako unafikiri angeyafanya hayo mabadiliko? Kazi yenyewe ilishamshinda first time around. Wizi kama kawaida ndo ulimrudisha magogoni. Aidea hii ya mabadiliko hata wewe na wenzio mfanye vipi hamuwezi kuiiba kama ccm wanavyoiba. U know the truth, just accept it for your own benefit and that of your children.........