OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,107
- 103,389
Kupingana na ukweli nayo pia ni aina ya umalaya. Jitu haliamini kama kamati za upinzani oversight committee ndio chanzo cha haya, jitu haliamini kama sahihi za Zitto wa CHADEMA ndio chanzo cha haya, jitu halijui kama JK alighairi kuvunja cabinet lakini tishio la M4C na kimbunga cha sombasomba ya Lema ndio kimewastua Magamba kuona kuna dalili za kukimbiwa na hata wabunge. Kupingana na ukweli nayo ni umalaya pia