CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Inaonyesha wewe ni kati ya wale wachache wanaofaidika na wizi/upuuzi/ushenzi/ujinga/dharau n.k...... wa hao jamaa unaowasifia au pia unaupenda. Kweli umeishiwa. Upinzani usingepigia kelele mauzauza haya kwa akili zako finyu huyo m/kiti wako unafikiri angeyafanya hayo mabadiliko? Kazi yenyewe ilishamshinda first time around. Wizi kama kawaida ndo ulimrudisha magogoni. Aidea hii ya mabadiliko hata wewe na wenzio mfanye vipi hamuwezi kuiiba kama ccm wanavyoiba. U know the truth, just accept it for your own benefit and that of your children.........
 
hii thread yako haina mshiko tafuta wakina rejao wachangie huu umbea wako
hun jipya kenge mkubwa we,kwanini haikufanya mabadiliko kwa ridhaa yake,mpaka shinikizo la Chadema,nani maarufu alioshinikiza jambo hilo au aliyeshinikizwa na kukubali shinikizo?nina mashaka utakuwa una......rwa.chunga sana post zako Kufa Ulaya Mazishi Afrika, Wewe.
 
Heri angepunguza mfumuko wa bei! kuboresha maisha ya wananchi! kuacha kabisa safari za kitalii! na kufungua acc kwa kila mwananchi! kwa sababu ktk ilani yake hajaahidi kuvunja baraza mawaziri!

anaweza yule?? yule NJEGELE kashindwa kutekeleza ilani ya chama chake na ahadi kashindwa kutekeleza basi anaomba tu siku ziende ili 2015 ifike aondoke zake.ndo maana kila siku safarini utadhani konda wa ndege,nyumbani hapakaliki,na akisikia mziki wa M4C,ndo kabisaa anajihisi kuangukaanguka,ndo maana anaona bora aende jamaica akabembee ili angalau ajiliwaze
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
Inahitaji uwe na akili ya mwendawezi ili upost thread kama hii...
1. Title na content havina uhusiano. 2. Mwanzo wa hoja kuvunjwa baraza la mawaziri imeanzia CDM. 3. CCM imetekeleza matakwa ya kambi ya upinzani in the name of "kuridhia kwa CC". 4. CCM haikuwa na namna Zaidi ya kutekereza hoja, maana safari hii aliyetamka kuwa kuna wezi ni mwenzao CAG. Na aliwataja kwa majina na vyeo na wameiba nini, hivyo hakukuwa na namna ya kukwepa. 5. Hoja hii imewagawa wana CCM kwenye makundi mengi, hebu fikiri hadi mjumbe wa CC (Nimrodi Mkono) hakuwa na imani na PM.
 
kumbuken hayo yanafanyika kwa shinikizo kutoka wap na suala mahakaman sahau kwan bado kuna wengne kama kina karamag wanapeta kitaa
 
Rudi tena kwa waliokutuma, hoja haikuwa ya chadema tu, swala ni kwamba chadema imekuwa makini kusikiliza vilio vya wananchi na kuvifanyia kazi, nchi yote inalia toka kaskazini mpaka kusini toka kaskazini mpaka maghalibi lakini
ccm walikuwa wanajifanya hawasikii. Hoja ya chadema ililenga kumshinikiza rais kuvunja baraza la mawaziri na kuwachukulia hatua za kisheria sasa kama atalivunja baraza sawa ulitaka chadema ifame nini tena wakati ametekeleza?. Hilo ni moja swala la pili ni kuwachukulia hatua za kisheria wahusika wote ambalo ni jambo gumu kwa jk, hapo chadema lazima wanashindikize..
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Kuvunja baraza la mawaziri hakuipaishi CCM kihivyo kwa sababu:

1.0 Ni nguvu kubwa sana imetumika mpaka kufikia hapo. Watu wamejitolea kufa ndiyo aibu ikawashika!!!!

2.0 Hali ya uchumi kwa mtanzania bado ni mbaya. Serikali ya CCM ikifanikiwa hilo itakuwa juu na itatawala milele. Lakini kushindwa kutatua kero muhimu za maisha ya mtanzania za kila siku kama mfumuko wa bei n.k kumeiweka serikali ya CCM msambweni!!!!

3.0 Kuvunja baraza ni jambo moja na kuchukua sheria ni jambo la pili. Ni kipi kilichopelekea mpaka baraza la mawaziri kuvunja ibabidi kuchukuliwa hatua kali za kisheria jambo ambalo kwa serikali ya CCM ya kulindana ni muhali kufanyika!!!!
 
Sio kosa lako, akili yako imefungwa kwenye tenga. Unaangalia huoni chochote, ccm imewaathiri sana wapumbavu.
 
Hapa Mafilili unamaanisha kumpongeza mtu aliyekunya mezani halafu akazoa kinyesi yeye mwenyewe hivyo unampa sifa kwa kujitambua
 
Anayemlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo! Sasa hivi magamba wanafanya kila kinachoamuliwa na CDM. Tutaon. mengi mpaka kufika 2015.
 
JK na CCM yake wamepewa siku 14 kuanzia tarehe 23/04/2012 kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri vinginevyo wapambane na NGUVU YA UMMA!
 
sisi tunacho jua ni kwamba ssm wamefwata matakwa na shurutisho kutoka CDM, pamoja na wao kuwa dereva ila direction zinatolewa na CDM na watashika adabu huu mwaka
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Kwani wamesema linavunjwa au linasukwa upya?.
Usikurupuke tu, hawa jamaa ni wasanii mahiri.
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

if you have no research,no right to speak!!!,tatzo lenu ccm mnakurupuka tuu bila utafiti.Hz ni propaganda za kij..nga.Kajipange upya.
 
tuangalie sana ,huyu digidigi kachafua sana siku ya leo,ama kweli katika mwanga huu kuna watu wengi wajinga walio gizani.
 
Kama siyo chadema kushinikiza mngevunja? Si mlisema ni upepo tu unapita msijue ni kimbunga kinawazoa,kati ya mvumbuzi na mtekelezaji nani anapaishwa? Acha kutumia masaburi kufikiri
 
C.c.m ikulu chadema kwa wananchi wanafata kila wanaloambiwa tu,bendera vifata upepo ka misukule vile....
 
Hata baada ya kuvunjwa enzi za Lowasa ingetegemewa wananchi wairudie CCM lakini tukuulize,ni kweli wananchi walivutiwa kuwa na CCM hama ndo kwanza kukimbiwa kulikuwa dhahiri?

Alafu mbona yeye mwenyewe alikiri kwamba kuiwajibisha serikali itawapa wapinzani umaarufu na badala yake akaja na hoja ya eti ni upepo tu na utapita,kwani wananchi hatujuhi?huku si ndo kula matapishi yake mwenyewe?

Tuipongeze CDM na Sugu aliyesema bungeni kwamba huu si upepo bali ni tufani na lazima paa lidondoke na nyumba yake,si ndo haya?sasa kwanini tusiwe wakweli tukawapa CDM credit zao

Yafaa uwapongeze wapinzani hata kama wanakuhudhi make hamna njia nyingine na hautaweza kufanya vinginevyo,sema ....AKHSANTENI CHADEMA!
 
hii thread yako haina mshiko tafuta wakina rejao wachangie huu umbea wako

Pamoja na kutokuwa na mshiko na umbea CDM inataka mabadiliko na kama unafuatilia Bunge hiyo kazi inayofanywa na CCM ni msukumo, lakini kwa nini Rais ahitaji CC ya CCM wakati anatangaza Mawaziri alifanya uteuzi IKULU?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom