CCM mna mkakati gani dhidi ya Lema?

Concrete

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,605
549
Toka asimamishwe ubunge wa Arusha mjini, Godbless Lema amekuwa akifanya harakati kubwa sana za kisiasa dhidi ya CCM, akipita kijiji kwa kijiji akitumia uwezo wake wa kuzungumza kwa ujasiri na hoja zinazogusa wananchi wa ngazi ya chini kabisa,

Sio siri tena athari kadhaa kubwa zimeanza kuonekana waziwazi kwenye kila eneo alilopita, kwa mfano:
1/Makada wengi kutoka CCM wamejiunga na Chadema.
2/Chadema imeanza kuota mizizi vijijini.
3/Chuki dhidi ya Serikali imeongezeka.
4/Woga wa kifikra miongoni mwa wananchi umeanza kutoweka.
5/Chadema imepata wanachama wengi sana maeneo mapya.

*Swali langu kuu kwa viongozi na makada wa CCM, mmejipangaje kukabiliana na hii hali, maana msipochukua hatua sasa mwisho wa siku ni kilio.
 
wanajilaumu sana juu ya maamuzi yao maana wameshagundua kama ukifanyika uchaguzi leo waaibika vibaya na tayari kesha wajeruhi vibaya sana.

watamrudishia ubunge wake muda si mrefu.
 
Bora wangemwachia awe mbunge angekua busy bungeni kuliko saivi yuko mtaani ndo anawacharanga vizuri
 
Toka asimamishwe ubunge wa Arusha mjini, Godbless Lema amekuwa akifanya harakati kubwa sana za kisiasa dhidi ya CCM, akipita kijiji kwa kijiji akitumia uwezo wake wa kuzungumza kwa ujasiri na hoja zinazogusa wananchi wa ngazi ya chini kabisa,

Sio siri tena athari kadhaa kubwa zimeanza kuonekana waziwazi kwenye kila eneo alilopita, kwa mfano:
1/Makada wengi kutoka CCM wamejiunga na Chadema.
2/Chadema imeanza kuota mizizi vijijini.
3/Chuki dhidi ya Serikali imeongezeka.
4/Woga wa kifikra miongoni mwa wananchi umeanza kutoweka.
5/Chadema imepata wanachama wengi sana maeneo mapya.

*Swali langu kuu kwa viongozi na makada wa CCM, mmejipangaje kukabiliana na hii hali, maana msipochukua hatua sasa mwisho wa siku ni kilio.

Hapo kwenye kijani, Usishangae mbona huo ni mwanzo tu! mlidhani mtamnyamazisha, kumbe mmempiga teke chura...mmemrahisishia safari.
Ila hapo kwenye red tafadhali msije mkamlimboka.....mjue hata nyinyi ikulu hakutakalika. "ukimbana sana paka..........."

Yaan CCM iwe na mkakati na Lema? CCM inashughulika na masuala hayo ya kushughulika na watu ni kazi ya CDM na vyama vingine vya kukusanya ruzuku.
 
Mbona mkakati upo kumuulia mbali, ila kwa sasa wameusitisha baada ya mpango mzima kuvuja kwa sasa wanaumiza vichwa kuja plan B ,C na D.
 
Toka asimamishwe ubunge wa Arusha mjini, Godbless Lema amekuwa akifanya harakati kubwa sana za kisiasa dhidi ya CCM, akipita kijiji kwa kijiji akitumia uwezo wake wa kuzungumza kwa ujasiri na hoja zinazogusa wananchi wa ngazi ya chini kabisa,

Sio siri tena athari kadhaa kubwa zimeanza kuonekana waziwazi kwenye kila eneo alilopita, kwa mfano:
1/Makada wengi kutoka CCM wamejiunga na Chadema.
2/Chadema imeanza kuota mizizi vijijini.
3/Chuki dhidi ya Serikali imeongezeka.
4/Woga wa kifikra miongoni mwa wananchi umeanza kutoweka.
5/Chadema imepata wanachama wengi sana maeneo mapya.

*Swali langu kuu kwa viongozi na makada wa CCM, mmejipangaje kukabiliana na hii hali, maana msipochukua hatua sasa mwisho wa siku ni kilio.

Wape pole sana maana washachelewa now
 
Mtoa mada naomba wewe uwashauri unachotaka CCM kifanye. Inawezekana una suluhisho la kuwasaidia wana CCM.
 
Ndg yangu NAKUBALIANA NAWE, huyu jamaa ni Mwiba huko walikompeleka. Anawamaliza kuliko wangembakiza Bungeni. Yawezekana ni wakati wa mauti kwa chama Tawala maana hawaambiliki. Maamuzi yao ni ya kidharura bila upembuzi wa matokeo ya maamuzi yenyewe kwa baadae.

Back
Top Bottom