ccm jangwani katika picha

njaa kweli ki2 kibaya..hao unawaona jangwani yote ni shauri ya mgao wa 'nusu msimbazi'. raia wanahitaji maombi ya sala na dua, manake wanaendekeza njaa kuliko maelezo!
 
ccm is no longer, limebaki jina tu, hata mtu akifa leo hawezi kusahaulika ghafla, kama lipo hata moja ambalo alilifanya, atakumbukwa kwalo, so ccm, ilishakufa, inakumbukwa kwa kutuletea umaskini na maisha magumu, that's all!!!!!
 
Kwahiyo macho yako yalipoupelekea ubongo wako na wenyewe ukatafsiri hii ndo nyomi. Teh teh te teh nicheke niongeze siku miye

Hii comment yako imenikera tena sana. je nimefanya kosa kuchpiga picha na kureport? au unafikiria mimi gamba. Siku nyingine usitumie lugha za dharau. hayo maneno ya nyomi alikuwa anayasema nape sio mimi. mwanamke kujiheshimu bibi eeh!..Ukirudia siku nyingine utajuta kunifahamu. Mia
 
Walikuwa wakifanya mkutano wa kampeni? Mbona walichosema ni kile kile wanachosema kila mara? Ni kitu gani kipya walichosema!? Aibu tupu.
 
CCM kweli ni kiboko, yaani walipeleka ng'ombe kwenye mkutano wao!!!!!
Hili si gari la kubebea ng'ombe
389729_456476651031085_136882625_n.jpg
 
Walikuwa wakifanya mkutano wa kampeni? Mbona walichosema ni kile kile wanachosema kila mara? Ni kitu gani kipya walichosema!? Aibu tupu.

waliaibikajee?. yaani wenyewe wanajua mipasho tu. inaonekana nia yao ilikuwa kuchafua chadema. halafu walikuwa hawajajipanga nini cha kuongea. Mia
 
KIKWETE chama kinamfia mikononi mwake. Uongozi wakufuata mtandao uliopo umegeuka sumu.

Chama kimekwisha kufa kimebakia kuzikwa na ndio maana kwa kuogopa aibu huu mkutano uliitishwa na mkoa na sio viongozi wa magamba Taifa; kwani kukosekana kwa wananchi kwenye mkutano litaelezwa kuwa ni aibu ya ccm mkoa na sio Taifa ingawa wakina Nape na mawaziri walikuwepo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom